Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Aisee haya mambo sijasimuliwa nilijionea mwenyewe juzi. Kuna jamaa yetu alikua anaumwa kwa muda mrefu ikabidi kwenda kumsabahi hapo Mwananyamala hospital. Tulipofika ndio hio siku akawa...
30 Reactions
259 Replies
13K Views
Watu wengi tumepofushwa sana siku hizi! Ile nguvu yetu ya asili tumeweka kapuni tukiamini ni dhambi! Zamani wazee walilinda mashamba kwa nguvu za asili, wezi walikipata cha moto! Damu ya mdude...
11 Reactions
17 Replies
959 Views
Ukabira wa JPM yani leo ukiwa usukumani huwezi kuwaeleza kitu kuhusu huyu mtu. Ili sasa naliona muhusika mwenzake kuona hana hapa lake tanganyika katumia udini wake. Naeleza ili kila watu 10 wa...
0 Reactions
0 Replies
186 Views
Kwenye kujenga mahusiano ya hiari na urafiki wa hiari, kama umezaliwa kwenye tarehe zinazoanzia Januari 20 mpaka Februari 18, wazingatie zaidi waliozaliwa kwenye tarehe zifuatazo mwishoni -...
1 Reactions
2 Replies
258 Views
Kuna kitu nimekiona kwenye kesi nyingi za ndoa ila si wazi kusema wakiachana. Uchumba hakuna ratiba ya kuombana kuhusu upwiru. Ila mkiwa kwenye ndoa ndio mnaanza katiba za wasiojulikana mwisho...
0 Reactions
2 Replies
269 Views
Hivi mtu aliye na Diploma akiingia Jeshini (JWTZ) anaanza na Cheo gani?
10 Reactions
62 Replies
5K Views
Wakuu kwa udadisi wangu ningependa kujua kwa watu weneye ujuzi kuhusu sajinu meja au RSM kazi zake na majukumu yake. Sababu sijawahi kumuona Askari toka nazaliwa akiwa na cheo hiko kuanzia kwenye...
1 Reactions
18 Replies
830 Views
Nami pia namjibu Mke wa Gambo kuwa hakuna Eneo ambalo lina Wanawake MABOYA kama la Kaskazini mwa Tanzania ambako anatoka Yeye Mke wa Gambo. Kwanza nilikuwa simjui Mkewe Gambo, ila nilivyomuona tu...
2 Reactions
4 Replies
640 Views
Msaada kuhusu elimu na vyeo jeshini
7 Reactions
216 Replies
57K Views
Idara hizi tunaishi nazo mtaani na zinashiriki wanazengo kama wanataka kujiona kazi zao ni ndugu zao tuweke ajenda kuwa hata ukipata tatizo tukuangalie tu. Nchi hii mnapoipeleka kuna siku hawa...
0 Reactions
2 Replies
287 Views
Samaleko.. Kabla hujawaza kwenda Ulaya, America au Asia kula maisha jitaidi sana uanzie Zanzibar ujionee maajabu ya bei za vitu. Kiufupi Huku Zanzibar ni sawa tu na Ughaibuni, ukiweza kumudu kula...
21 Reactions
140 Replies
10K Views
Kuna kasumba kubwa imewaingia watanzania. Kujadili mpira hasa Simba na Yanga masaa 24 kwa siku 7 kwa wiki hii ni hatari kwa mustakabali wa Taifa. Tumelala kushabikia Simba na Yanga huku nchi...
11 Reactions
40 Replies
2K Views
Hii ni part 2 ya somo letu la ujue umeme katika mwili wa binadamu. Siku ya kwanza nilielezea kwamba maisha ya mwili wa binadamu ni umeme! Yaani kuoana ni umeme, kutembea ni umeme, kusali ni...
5 Reactions
24 Replies
958 Views
Tumeshindwa hata kutengeneza Midoli nchini mpaka tuagize China? Tumirogwa? - Miaka 61 ya Muungano!
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Ataendaje katika hiyo nchi ambayo kwa sasa ina Wapumbavu, Wezi, Washamba, Washirikina na Wauwaji ni wengi sana?
2 Reactions
5 Replies
336 Views
"Hakuna kitu kitakachompata Ibrahim Traoré ilimradi mimi bado niko hai. Marekani au Ufaransa hawana haki ya kumkamata Rais wa taifa huru la Afrika." __ Rais wa Urusi, Vladimir Putin. "Nataka...
14 Reactions
62 Replies
3K Views
Naomba kuuliza, je kuna uwezekano wa kufanya marekebisho kwenye kitambulisho cha taifa katika mwaka, mwezi na tarehe ya kuzaliwa vyote kwa pamoja?
0 Reactions
0 Replies
424 Views
Sisemi uende fisi za halmashauri, manispaa au wilayani. Najua huko kuna matakataka yake, but atleast hawadeal na afya na uhai wa binadamu. Nenda hospital za serikali. Unakufa wanakuangalia...
34 Reactions
122 Replies
4K Views
Kuna harakati nimezikuta toka najiunga jamii forum na bado zinaendelea kwa baadhi ya member kuwadharau na kuwakejeli walimu wa nchi hii Napinga kwa nguvu zote za kuwafanya walimu kama marginal...
16 Reactions
89 Replies
3K Views
Back
Top Bottom