Millingo ampe uaskofu Padri Nkwera | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Millingo ampe uaskofu Padri Nkwera

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by SubiriJibu, Jun 26, 2009.

 1. S

  SubiriJibu JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2009
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 1,131
  Likes Received: 779
  Trophy Points: 280
  Kama askofu Millingo kampa mkenya uaskofu basi kwa Padri Felician Nkwera asiwasiliane naye ili naye apewe uaskofu.

  Wanamaombi mnasemaje huko mlipo. Changamkieni hiyo tenda ili Nkwera awe askofu.

  Maana akifa Nkwera sasa hivi hamna padri tena. Nkwera na Millingo hawatapoteza kitu maana hawataondokana na hali walizo nazo sasa.

  Mnaonaje hili?
   
 2. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2009
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Ili iweje? Milingo kampa uaskofu kenya padri aliyeoa na kuwa excommucated.Yeye mwenyewe amekuwa excommunicated baada ya kuoa. Sasa Padri Nkwera kaoa? Hivi excommunication yake na baraza la maaskofu ilikuwa ni kwa sababu gani? Naona kama sio kitu kirahisi kama unavyoshauri.
   
 3. S

  SubiriJibu JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2009
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 1,131
  Likes Received: 779
  Trophy Points: 280
  Kuna wana JF wanajua theology ninayoizungumza na ilishafanya kazi sehemu nyingi duniani.

  Uliza wanatheology au mapadri na maaskofu uwezekano huu. Si kwamba watakujibu watakupa mifano mingi iliyofanyka hizi tangu karne za zamani hadi jana.

  Excommunication haiondoi uwezo unaosema. Nakujibu kidogo tu na mengi utayapata baada ya utafiti na ukuridu hapa JF tutaongea lugha moja.

  Uhakika ni kwamba Nkwera kama padri aliyesoma theology analijua hili na hata baraza la maaskofu wanalijua.

  Nkwera hataki tu lakini akitaka kwanza anaweza kunijibu kwamba analijua hilo na haihtaji ushauri wangu.

  Ushauri unaweza kulenga kwamba watu wasishangae kuona likitokea hilo siku moja.

  Nakutakia utafiti mwema.
   
 4. IronBroom

  IronBroom JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2009
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 524
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Acha Bla blaa.Jibu hoja kwa hoja.
   
 5. S

  SubiriJibu JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2009
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 1,131
  Likes Received: 779
  Trophy Points: 280
  Hoja gani zaidi. Mwenzako anahusisha excommunication wakati hiyo ndiyo si hoja. Hoja ni theology inayoendana na uwezo wa kupata uaskofu.

  Unapojibu hivi na wewe humsaidii mwenzako. Mwenzako inaelekea anataka kujua ni vipi Millingo yuko excommunicated hala iwezekane ampe Nkwera uaskofu.

  Kwa ufupi ni kwamba excommunication haiondoi uaskofu wa Millingo.
  Hoja nyingine unaweza kukumbuka magazeti yaliyochemsha kusema Koda kaondolewa uaskofu. Hakuna kitu kama hicho.

  Hivyo Millingo akimpa uaskofu Nkwera mnatakiwa muone ni jambo la kawaida. Mkianza kushangaa hapa JF ambapo ni thinktank je walalahoi wasiojua lolote itakuwaje.

  Rejea mifano kadhaa iliyofanyika hivi duniani.
   
 6. M

  Magobe T JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2009
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  Sijaelewa vizuri kinachozungumzwa. Ila ninachoelewa kama mtu ni 'excommunicated' ina maana siyo mshirika tena wa dhehebu husika.

  Hivyo, kama aki'ordain' watu maana dhehebu haliwatambui kama ni 'ordained ministers' wake. Ni kama hakimu aondolewe kazini halafu ang'ang'anie kusikiliza kesi mahakamani huko alipo. Hata akitoa hukumu haitakuwa na maana katika nchi au taifa alikofukuzwa kama tatizo au kosa lenyewe halijarekebishwa.
   
 7. S

  SubiriJibu JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2009
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 1,131
  Likes Received: 779
  Trophy Points: 280
  Mkuu wewe unaelekea unaweza kuelewa hasa pale uliposema dhehebu haliwatambui.

  Millingo hatambuliwi na kanisa lake kama Nkwera asivyotambuliwa.Lakini Millingo anaendelea kuwa askofu na aliyetengwa na kanisa lake.

  YUle jamaa yetu tunaweza kupma mfano wa makanisa yale yanayoitwa Mashariki ambayo mwanzoni yalionekana kama ilivyo kwa Millingo lakini sasa yanaheshimiwa.

  Hivyo Millingo akimpa uaskofu Padri Nkwera baada ya miaka 100 wataokuwepo wanaweza kuongelea kanis ajingine kama wanavyoongelea yale makanisa ambayo hata krismas wanaihesabu kuwa Januari.
   
 8. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Check this from Kenya papers
  The confessions of some Roman Catholic priests that they have been living a lie by keeping secret families is the biggest test to face the church in Kenya in recent times.

  Related Stories
  The latest confession came from Father Daniel Kasomo, who unveiled his wife of 20 years during the burial of his mother in Mbiuni, Mwala District, last weekend.

  Fr Kasomo, a leading member of Married Priests Now! Catholic Prelature, said at least 10 of his colleagues want to marry and start families. He said the church can do itself a favour by allowing priests and nuns to marry.

  “The reality is that priests are not preaching the truth to their congregations every Sunday. There are many priests out there who have families and children, yet they celebrate Mass. The faithful know this, but they are afraid of speaking the truth. Why are we cheating God in the name of religion?”

  The priest said some of his colleagues have wives and mistresses.

  “In my 17 years of priesthood, I have seen priests advocating abortion, which the church disapproves. The time has come for the truth to be told if we are out to please God,” he said, adding that celibacy is destroying the church.

  “Because of loneliness and lack of intimacy thousands of priests have turned into alcoholics, homosexuals and bisexuals,” he said.

  Elsewhere, Archbishop Karl Raymond Rodiq of the Ecumenical Catholic Church of Christ has said priests who are willing to marry should be allowed to minister alongside their colleagues who practice celibacy.

  “We are not at war with anyone,” Dr Rodiq said two weeks ago, after he ordained Bishop Godfrey Shiundu and auxiliary bishop Benedict Simiyu to lead his church in Kenya.

  The two, who left the mainstream Catholic church after confessing to have secret love lives, were ordained at the Kitale ASK grounds. The splinter church is said to have many followers across the country.

  Bishop Shiundu, who defected, married and joined the Reformed Catholic Church, said: “The priesthood is a calling. At the same time, it calls for sincerity. There are many priests who have discovered that they need to marry and have families, and yet they still want to continue practising.”

  He said that, biblically, marriage is not a sin, and the church’s doctrines are not guided by individual interests.
   
 9. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kuhusu Millingo huko kenya, (yasemavyo magazeti ya huko)
  Archbishop Emmanuel Milingo (left) who was excommunicated from the Catholic Church after getting married at a press conference after presiding over the ordination of married bishops and priests at the Sasamotor Centre in Karen, Nairobi, June 24, 2009. With him is his wife, Maria Sung and Bishop Daniel Kasomo, also with his wife MaryAnne Kasomo. Photo/HEZRON NJOROGE
  By LUCAS BARASA Posted Wednesday, June 24 2009 at 22:30

  Eight years ago, he annoyed the Catholic headquarters in the Vatican by breaking the code of celibacy. On Wednesday, controversial Archbishop Emmanuel Milingo arrived in the country and slapped the Catholic Church in Kenya in the face.

  Related Stories
  At a secluded centre in Karen, Nairobi, Bishop Milingo ordained Fr Daniel Kasomo bishop of the Married Priests Now in Kenya. He also ordained several deacons.

  The Zambian-born archbishop is the overall prelate of a group with 150,000 married priests worldwide. He was ordained as a parish priest in 1958. He was consecrated as archbishop of the archdiocese of Lusaka in Zambia in 1969 by Pope Paul VI.

  In 1983, he was recalled from Lusaka to Rome over a controversial “non-conventional healing ministry” he led.He broke his celibacy vows in 2001 and married 43-year-old Korean acupuncturist Maria Sung in a classical wedding where 62 couples dressed in bridal gowns and tuxedos were married in the Moon Unification Church.

  On Wednesday, Bishop Kasomo said at Sasamotor Centre that he married his girlfriend, Mary Ann in 1993, a year after becoming a priest. They have four children. Also present was Fr Peter Njogu, who said he has been married for 20 years and has three children.

  Archbishop Milingo said many more priests had declared their marital status and the group’s membership was growing in Kenya. The prelate said it was time the Catholic Church changed its doctrine on celibacy and allowed priests who wished to marry do so.

  He said his group will not secede from the Catholic Church but will champion its interests from within. “We are not there to play champion,” he said, adding that celibacy had resulted in priests falling by the wayside. He said that in America, many churches were facing bankruptcy due to cases dating years back.

  Accompanied by wife Maria, Archbishop Milingo said he received a message to marry from Virgin Mary who asked him to also “go and do something for married priests.”He said married priests were suffering as they were punished and never forgiven.

  The priests also denied employment wherever they went after being ex-communicated from Catholic Church, a situation he likened to a mother giving her babies to lions after birth.

  The archbishop said it was wrong for the Catholic Church to cut links with married priests. He said celibacy was “based on a lie as a woman is equal to all of us.”

  “A woman is not only a sex object. It is wrong for the church to expect a priest to pretend to close his eyes or not look closely at a woman,” he said. He urged the Catholic Church to stop referring to married priests as renegades.
   
 10. B

  BENITHO MIWANDU New Member

  #10
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu, milingo hawezi kumpa uaskofu padre Nkwela, ukishauri hilo ni sawa tu na kusema kuwa kakobe ampe uaskofu Nkwela kitu ambacho hakiwezekani kabisa. Kumbuka kuwa Nkwela ametengwa na Kanisa lkn yeye bado asasisitiza mafundisho ya kanisa, milingo ametengwa na kanisa na yeye kaachana kabisa na mafundisho ya kanisa na kaanzisha dhehebu lake. Swala la father Nkwela bado linaongeleka kabisa na kwa mtazamo wangu kuna uwezekano mkubwa wa wafuasi wa Nkwela kurudishwa ndani ya kanisa Katoliki, akifa Nkwela hakutakuwa na shida kwani bado kunauwezekano wa waumini hao kurudishwa ndani ya kanisa KATOLIKI kwani wanachoamin ndicho pia kinachofundishwa na kanisa Katoliki.
   
 11. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #11
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Watu wengi hawalijui swalabla Padri Nkwera vizuri
   
 12. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #12
  Nov 11, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,336
  Likes Received: 1,801
  Trophy Points: 280
  I don't think you know well the person you are talking about
   
 13. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #13
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Ndugu zangu, milingo hawezi kumpa uaskofu padre Nkwela, ukishauri hilo ni sawa tu na kusema kuwa kakobe ampe uaskofu Nkwela kitu ambacho hakiwezekani kabisa. Kumbuka kuwa Nkwela ametengwa na Kanisa lkn yeye bado asasisitiza mafundisho ya kanisa, milingo ametengwa na kanisa na yeye kaachana kabisa na mafundisho ya kanisa na kaanzisha dhehebu lake. Swala la father Nkwela bado linaongeleka kabisa na kwa mtazamo wangu kuna uwezekano mkubwa wa wafuasi wa Nkwela kurudishwa ndani ya kanisa Katoliki, akifa Nkwela hakutakuwa na shida kwani bado kunauwezekano wa waumini hao kurudishwa ndani ya kanisa KATOLIKI kwani wanachoamin ndicho pia kinachofundishwa na kanisa Katoliki.

  Nakubaliana kabisa na hoja yako, by the way huduma ya Fr. Nkwela inakubalika na Kanisa Katoliki kama ulikuwa hufahamu!
  Kilicho cha kweli lazima kitapigwa mawe tu!Angalia Yesu alichofanyiwa na alikuwa Mungu!Wachache walimkubali lakini wegi walimkataa na hadi leo hii bado wanamkataa.
   
 14. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #14
  Nov 11, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,336
  Likes Received: 1,801
  Trophy Points: 280
  Afadhali wewe umesema. Naona kuna shida ya kufanyia kazi baadhi ya mambo yanayotuhusu. Tunataka tuwe tunasimuliwa na kuamini simulizi kama zilivyo.
   
 15. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #15
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Tuelezeni kwa undani suala hilo na sisi tusiofahamu.
   
 16. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #16
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  We Catholics we obey and follow Pope of Rome .Yeyote yule asietii Pope anajitoa ktk ukatolic automatically Nkwera,Milingo wote wamepewa Ban na Pope so labda wasajiri dheebu lao jipya,kwa by church law sio wakatoliki
   
 17. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #17
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Huyo uliyemjibu hajui analolisema,na hamjui Fr Nkwera. Ni kichwa kingine kile.
   
 18. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #18
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Si kweli!!! Fr Nkwera alipewa ban na askofu wake.. nafikiri raymond mwanyika(naweza kusahihishwa), ukiwa excomunicated kokote uendako huwezi kusimama madhabahuni ukaruhusiwa. Ninahudhuria hija Namgongo,Uganda kwa Ugandan Martyrs almost kila mwaka,wanakuwepo makardinal, mwakilishi wa TEC,na mwakilishi rasmi wa Vatican, na bado ikifika wakati wa Consecrasio Fr anatema cheche zake za kupiga magoti na kukomunika kwenye ulimi (catholics wataelewa nachokiongea).. Pia tofauti ya Fr Nkwera na Milingo ni kubwa mno. Ungewahi kuhudhuria misa pale Riverside,ungeelewa nachokisema. Its typicallly the Oldest Latin missa, Misserere Nobis, Pacem
   
 19. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #19
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Bora swali la mnaonaje angeulizwa Milliongo maana sisi kama wachangiaji na wasomaji hatuna mamlaka ya kumpa huyo Nkwera wako uaskofu. Si naye aanzishe dhehebu lake kama matapeli kama Kakobe, Rwakatare, Gamanywa, Mwakasenge na wengine wameanzisha yeye anashindwa nini iwapo amepiga kitabu vizuri? Mada kama hizi ni mfu na hazitusaidii jamvini so to speak.
   
 20. Himidini

  Himidini JF-Expert Member

  #20
  May 17, 2014
  Joined: May 8, 2013
  Messages: 5,570
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 145
  ^^
  Yuko wapi Father Nkwera ?? Mwenye update
  ^^
   
Loading...