Takbiiir wakuu uislamu hatimaye umepata ushindi mkoa wa Iringa aisee makundi makundi ya watu wameingia kwenye uislamu hii inaonesha kwamba uislamu ni dini ya haki na imepata ushindi Aisee
Takbiiir
Watanzania kuna mambo mengi sana hawajui, na wamekuwa wakidhani na kujisifu kuwa ni wagunduzi wa mapishi mbalimbali, jambo ambalo si la kweli, ila kwenye mapishi ya asili ni kweli hayo ni ya kwetu...
Nimeona kwa wenzetu inawezekana. Vipi kwa huku kwetu?
Labda unataka kufanya siri kwa lengo la kuepuka "umaarufu". Hutaki marafiki, ndugu zako, mkeo na watoto wako wajue mwanzoni, ingawa unaweza...
Habari zenu,
Leo mimi kama member of JamiiForums nimekuwa na muda kupita ofisi za RITA halmashauri ya wilaya ya Kongwa, kiukweli nimesikitishwa na namna watumishi wake walivyo kosa weledi wa...
Niko katika kampeni ya kupinga vikali nadharia za uongo either kwa kutokujua au kukujua
Nikiwa Rais watoto watafundishwa Jupiter na Saturn zinamfumo wake na haziko kwenye solar system na...
Takbiiir! Sikutegemea hata kidogo kukuta wimbi la waislamu huku Iringa aisee uislamu unakua kwa kasi sana na kila mtaa ni msikiti na watu wanaswali na wanajaza sana msikitini Tofauti nilivyokuwa...
Hawa watu huwa wanang'aa sana na kupendeza kipindi wakiwa madarakani. Ila sasa wakitoka tu huko kwenye mambo ya uongozi ukakutana nao huku kitaa utawaonea huruma sana. Wengi wanachakaa mapema...
Askari wanne wa Hifadhi ya Taifa (TANAPA) wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya Kurwa Igembe anayedaiwa kuingiza mifugo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha wilayani...
Habari za muda huu members.
Kuna jirani yangu hapa ninapoishi yeye ni mfanyakazi wa kampuni kubwa ya mabasi ya mikoani.
Kwa macho yangu jana ni mara ya tatu ndani ya miaka 2 ya ndoa mke anaenda...
Habarini wana JF;
Hebu tuchangamshe genge Kama Title inavyosomeka hapo juu,
Katika dunia ya sasa, teknolojia imekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu. Simu zetu mahiri, mitandao ya kijamii, na...
Nilishawahi kusema hapa hapa JamiiForums kwa Utuo kabisa kuwa kama unajijua una Cheo chochote Serikalini (hadi Ikulu) kwa pande zote mbili za Bara na Visiwani kama ni Mcha Mungu basi hakikisha...
Baada ya kufanya utafiti wa kina kupitia vyanzo mbalimbali, ikiwemo kusoma mijadala kwenye Jamii Forums kuhusu miji yenye fursa nzuri za kiuchumi nchini Tanzania, hatimaye nimefikia uamuzi rasmi...
#HABARI Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Deus Sangu ametangaza kuanza kutumika kwa Muundo mpya wa Utumishi wa Maendeleo ya kada za Uuguzi na...
Wakuu kuna makundi makubwa ya watu yaani mamia ya watu wa hapa kanisani kwangu wanahamia kwenye hii dini ya haki ya kiislamu na nimeshangazwa sana aisee yaani kanisani ukiwapa mahubiri wanajibu...
Mara nyingi hawa wanaojiita atheist kwa maana wasio na dini wengi wao ni kutoka kwenye imani ya kikristo hauwezi kukuta hata siku moja abadani asilani atheist akawa ni muislamu ila halipo hata...
Kuna mipaka ya ubinadamu ambayo baadhi ya watu huivuka kwa makusudi, wakiacha nyuma maumivu, mateso, na chuki inayowasha moto wa hasira moyoni mwangu. Kuna makundi fulani ya watu, hata wakilia...
Ukiangalia kipindi cha uchaguzi wenzetu yani mtaka uraisi anakuwa na hoja ya kujenga kushindana na wanaotaka uraisi.
Ila hapa kwetu ni kama kazo hii ni makala,wasira,nchimbi na chawa pro max...
Mfano : Matthew ( Mathayo) 10:34 imeandika
"Msidhani ya kuwa nalikuja kuleta amani duniani; la! Sikuja kuleta amani, bali upanga."
Inashangaza Mungu mwenye upendo anasema hajaja kuleta amani bali...
Siku kadhaa nyuma member mwenzetu Mshana Jr aliibua hoja nzito akiuliza kwa namna gani wataweza kumsafisha??sababu kaharibu pakubwa sana, image yake imeharibiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.