Kuna Mzee mmoja aged almost 82 by now, aliniambia kuwa baada ya uhuru Tanzania/Tanganyika ilikuwa na majaji kutoka Malawi pamoja na nchi zingine za commonwealth.
Vile vile inasemekana tuliwahi...
Kaingia mule mule katika Mtego wa Mafia ambao wanaona hatoshei japo wanatumia nguvu Kubwa ili atoshee.
Kama kuna ZAWADI KUBWA ambayo GENTAMYCINE nimezawadiwa na Mwenyezi Mungu basi ni ya kuwa na...
Mfumo wa ESS upande wa Mikopo ni wa Kitapeli.
Mfumo umewapa uhalali wale matapeli wote kuendelea kuwaibia watumishi wa Serikali. Kuna taasisi kama MABOTO, MAGERE CREDIT, TUNAKOPESHA LTD n.k...
Wakuu
Mbele ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Hanspaul Group, Satbir Singh Hanspaul amependekeza mwananchi anayepokea mshahara...
Ndio ni kweli , wewe huwezi kujiita mtanzania mjanja kama hujafika Dar, nimetembea mikoa mingi sana nchi hii, na nilichogundua bado watanzania wengi sana hawajafika Dar.
Ni vizuri hata Kwa watu...
Kumaanisha kuwa alikuwa anaishi na wewe kinafiki na alitafuta sababu ya kukuacha so ilipofika kumcheleweshea "tuma na ya kutolea" akakukimbia.
Sasa unajiuliza ina maana commitment yako kwake...
Wakuu
Kwa upande wangu mimi ni kijana wa wa 'elfu mbil' na kama unavyojua kundi hili la vijana ndilo linalotajwa kuwa la hovyo kuwahi kutokea,wengi wetu ni vijana tunaotegemea betting kujikwamua...
Mikoa ya
1.Katavi &Rukwa -Lake Tanganyika shore
2.Ruvuma,Mbeya & Njombe-Lake Nyasa Shore
3.Mikoa ya Songwe,Katavi na Rukwa-Lake Rukwa Shore
4.Arusha -Lake Natron
Hii ni miongoni mwa ambayo...
Will Africa get a black Pope?
Thinking that there can be a black Pope from Africa is ignorance on steroids.
Why does Africa still seek validation through western institutions?
Wakristo wengi wa...
Unaweza kutengeneza maisha yenye furaha ajabu, au maisha yenye sababu nyingi kwanini, hili au lile haliwezekani kwako.
Kuwa mwangalifu na maneno unayozungumza, kwako na kwa wengine. Fahamu mambo...
Sijui ni kwanini lkn siku zote niliamini kabisa kwamba Mwalimu Nyerere alikuwa kiumri mkubwa sana umkilinganisha na Mzee Mwinyi, kumbe tofauti ya umri wao ilikuwa ni ndogo sana, Mwalimu mwaka wa...
Uchawi KWA kizungu ni witch +craft kama umeenda shule ya mzungu 😳 utakuwa umenielewa
Witch inatokana na neno' wita 'ikiwa na maana mtu mwenye hekima na busara
Na craft maana yake yake ni ufundi...
"Busara ni zawadi ya wale wanaojua thamani ya ukimya, na uzito wa maneno."
Katika maisha ya kila siku, tunakutana na watu wengi , familia, marafiki, majirani, au hata wageni. Mara nyingine...
Kama ndugu yako ni mlevi na umetumia kila tiba na hajaacha kupona basi chukua kambare hakiwa hai kisha toa damu yake na weka kwenye kinywaji cha pombe 😸😸😸
Kisha subiria ubaya ubwela.
Duniani kuna aina mbili za watu Aina ya kwanza ni ya watu walio Amua kufanikiwa;
Aina ya pili ni ya watu walioamua kuwasindikiza watu walioamua kufanikiwa;
Sifa za watu walioamua kufanikiwa...
Watu wengi wamekuwa wakidandia hovyo shughuli za watu bila kutambua kuwa wanafanya makosa,Mchezaji mpira anajiingiza kwenye Ulingo wa siasa, Mfanyakazi anajiingiza kwenye Mambo ya Kisiasa, Dini...
Utu huondoka.
Unyenyekevu hukimbia.
Yani sijui ni exposure na experiences ngumu katika ngazi ya mikakati ya kufikia juu ndio huwa inabadirisha watu au basi mwanadamu ana bweteka kwa kuonesha...
Kwa mujibu wa taarifa iliyovhapishwa katika Gazeti la Kingereza la The Eastern ni kwamba ndege za Airbus 220 zote zimepakii, mbaya zaidi kuna ambayo imepakii tokaa mwezi January 3, iliyofataa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.