Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wana Jf Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza Siku za hivi karibuni freelancer . com wamedili sera zao ku withrawal fedha kwa njia ya Bank mpaka ufanye Address verification MNimejaribu...
0 Reactions
2 Replies
451 Views
Kuna uhaba wa malimao na ndimu katika nchi, hapa nilipo wanauza limao moja dogo 500, la kati 700 na kubwa buku! Hii haikubaliki, nimekunywa supu ya Samaki bila malimao na sasa nakula pilau yenye...
6 Reactions
13 Replies
938 Views
Amemaliza chuo kikuu ngazi ya Shahaada mathalani 2015. Amejitahidi kusaka ajira serikalini na kwenye sekta binafsi tangu wakati huo, mpaka sasa bila bila, na anaelekea kukosa sifa za kuajirika...
34 Reactions
235 Replies
14K Views
Vinara 15 wa Vodacom Digital Accelerator Season 4 Watangazwa! Washindi wa msimu wa 4 wa bunifu za kampuni changa (Startups), inayoandaliwa na Vodacom Tanzania, wakiwa katika picha ya pamoja na...
0 Reactions
0 Replies
212 Views
Nikiwa Rais kutakuwa na miradi ya kutengeneza sayari mpya mfano wa dunia, mars n.k from scratch
7 Reactions
43 Replies
1K Views
HIVI NDIVYO UNAVYOWEZA KUWA MWANAUME WA HADHI/DARAJA LA JUU"HIGH - VALUE MAN" Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Baada ya Uzi huu Mambo ambayo yatakufanya uwe A Broke Man (Mwanaume aliyefeli)...
5 Reactions
10 Replies
827 Views
Peace, Awali ya yote niweke wazi andiko langu halina kusudi la kuhafifisha au kuathiri biashara ya mtu yeyote ila ni ushuhada wa kweli na dhairi wa watu wanaonizunguka. Nimekuwa nikisikia na...
27 Reactions
91 Replies
9K Views
Haya mambo yakiendelea hivi na kwingine ni wazi Tanganyika inarudishwa utumwani Mwanzoni mwa wiki hii kituo kizuri cha daladala cha Mawasiliano Simu 2000 kilifungwa rasmi na fremu zote...
20 Reactions
93 Replies
5K Views
Akichangia Bungeni leo Mei 13, Jijini Dodoma Mbunge Dr. Thea Medard Ntara Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Vyuo na Vyuo Vikuu ametaka Mwijaku anyang'anywe Ubalozi kwenye taasisi zote kisa...
0 Reactions
14 Replies
829 Views
Habari Wana JF, Kunajambo niliiona pale kituo kikuu Cha mabasi Cha magufuli mbezi kwanza nilikipenda kisha kikanishangaza ila kimenishawishi kukifanyia kazi. Kuna siku nilikuwa safarini kuelekea...
0 Reactions
0 Replies
318 Views
Je inawezekana kwa familia ya wafanyakazi kuishi bila dada wa kazi au ni kujiendekeza tu? Naongelea kwa nyumba yenye baba na mama tu na wote ni wafanyakazi muda wote wote wanakuwa kazini na...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Serikali inatarajia kuanza utekelezaji wa mfuko wa Ubunifu wa Samia “SAMIA Innovation Fund” wenye thamani ya Shilingi Bilioni 2.3 utakaotoa mikopo nafuu kwa wabunifu kwa lengo la kuendeleza na...
1 Reactions
5 Replies
464 Views
Habari wadau? Kuna notion kwamba unaweza kununua gari kwa mtu yaani second hand inaweza kuwa imebeba laana au mikosi au mabalaa. Ipo hivi mwaka huu nimenunua gari ni kama mwenye gari yeye...
2 Reactions
14 Replies
761 Views
Ni zaidi ya miezi miwili kwa nyakati tofauti kila nikipita kwenye makutano ya mataa ya Uhuru na Msimbazi nakutana na kero ya msongamano wa magari eneo hilo, mtaa yaliyofungwa kuongoza magari eneo...
0 Reactions
0 Replies
619 Views
Hivi niwaulize ndugu zangu! Kuna haraka gani kukimbilia kuongeza majimbo? Ni mwanachi gani aliyekufa au kulalamika kwa ukubwa wa jimbo? Mambo ya msingi tunayolalamikia wananchi yanapuuzwa...
7 Reactions
20 Replies
869 Views
Ukipita katika hii barabara utajiuliza maswali mengi sana. Kama kweli Tanzania tuna viongozi na serikali inayojisifu kuwa inakusanya Kodi kupita malengo. Ni aibu sana kuwa na barabara kuu Kama...
0 Reactions
6 Replies
692 Views
Asubuhi ukifungulia redio kwa masaa zaidi ya 2 utasikia wanajadili mechi ya simba na yanga. Wanajadili jambo hilohilo kila siku. Wakibadili mada basi italetwa mada ya kamari. Mara cheza pesa...
4 Reactions
18 Replies
739 Views
Ndugu zangu Ukweli upo wazi kwamba kipofu hawezi kumuongoza kipofu mwezake ila watadumbukia shimoni wakiongozana Wanawake wengi wanaojiita mama wachungaji au wake wa wachungaji tunajua wazi...
2 Reactions
2 Replies
459 Views
Siku hizi, watu wengi wanashinda kutwa nzima wakibenua simu, wakipiga scroll mitandaoni hadi vidole vinachoka – lakini mwisho wa siku hawana hata shilingi mia mfukoni, achilia mbali wazo moja...
10 Reactions
13 Replies
577 Views
Ninashukuru sana kupata gawio langu toka Mama Samia Bond baada ya kupiga kelele nyingi. Mbona tena nimeona imekatwa kodi ili hali mlituaminisha kuwa itakuwa haikatwi kodi?. Nawaomba msiwe...
0 Reactions
1 Replies
449 Views
Back
Top Bottom