Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nazani umeshawahi kusikia neno Roboti kwenye maisha yako sio ndiyo !!!! Okay sasa neno "Robot" kwa mara ya kwanza ilianza kuonekana kwenye tamthiliya ya kubuni ya kisayansi ya 1920 RUR (Rossum's...
1 Reactions
1 Replies
280 Views
Pichani ni wanadada Lacho na Temwa Chawinga, Mabinti wanaocheza Soka la kulipwa katika timu za wanawake nchini Marekani Lacho ni raia wa Zambia wakati Chawinga ni raia wa Malawi Ukipata mwanamke...
8 Reactions
40 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiwasalimia na kuwapatia pole familia, ndugu na jamaa wa Hayati Mzee Cleopa David Msuya, mara baada ya kuweka mchanga...
0 Reactions
1 Replies
370 Views
Habari za mida hii wanajf? Napenda Leo nilete tatizo ambalo limekua kwa kipindi sasa na TANESCO hamna action walioi-take. Mimi no mkazi wa Kahama Municipal, Ukiwa Shunu kuja huku Hongwa Tanesco...
1 Reactions
1 Replies
397 Views
Wengi wetu tunaposema “Tanzania ni Ujerumani ya Afrika Mashariki”, wengine hucheka, wengine hushangaa, na wachache huelewa maana halisi ya kauli hii. Lakini kwa anayechambua historia, jiografia...
1 Reactions
2 Replies
555 Views
UTANGULIZI Moja ya madai yanayotolewa na baadhi ya waumini wa Uislamu ni kuwa Qur’an ilitabiri kuhusu kutoharibika kwa mwili wa Farao aliyemkataa Musa, na kwamba mwili huo bado upo hadi leo kama...
18 Reactions
173 Replies
9K Views
MOJA YA WATU UNAOTAKIWA KUWAEPUKA NI WALE WANAOPENDA KUKUTAJIA MAKOSA NA AIBU ULIZOZIFANYA WAKATI ULIOPITA. WENYE CHUKI NA WEWE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Ni kweli unahitaji watu katika...
2 Reactions
4 Replies
419 Views
Mawakili wanaomuwakilisha Tundu Lissu wakiongozwa na Wakili Jebra Kambore, Dickinson Matata wanazungumza na waandishi wa habari Mei 14, 2025. Itakumbukwa mteja wao Tundu Lissu anakabiliwa na Kesi...
2 Reactions
8 Replies
902 Views
INEC | Mhe. Jaji Rufaa Jacobs Mwambegele Mhe. Jaji Rufaa Jacobs Mwambegele Mwenyekiti na Mjumbe wa Tume Mhe. Jaji Rufaa Mst. Mbarouk Salim Mbarouk Makamu Mwenyekiti na Mjumbe wa Tume Mhe...
11 Reactions
59 Replies
3K Views
Afrika ni bara lenye vijana wengi zaidi duniani, huku zaidi ya 60% ya watu wake wakiwa chini ya miaka 25 (UN, 2023). Naija inaongoza, 56.9% ya watu wake wana umri chini ya miaka 18, ikifuatiwa na...
0 Reactions
1 Replies
491 Views
Kwa mfano labda wakipanga Njama zao za ama Kukujeruhi au Kukumaliza (Kukuua) na wakakukosakosa jitahidi sana kama ukipata Msaada wa haraka wa Kukimbizwa Hospitalini kwa Matibabu basi jitajhidi mno...
25 Reactions
137 Replies
7K Views
1.mbeya najuta sana huu mkoa …biashara ya nyumba kupangisha au kuuza hapa hamna kabisa .Usije wekeza huku labda ujenge frame mwanjelwa na kabwe nje na hapo tusilaumiane 2.Iringa huku nako biashara...
14 Reactions
100 Replies
7K Views
Aje Je Waafrika tumekurupukia mambo au nasi tunapaswa Ukiangalia nchi za wenzetu masuala ya burudani kama vile muziki, mipira na mengineyo yalianza kuwa na nafasi kubwa kwao baada kupiga hatua...
0 Reactions
1 Replies
195 Views
Rais wa Jamhuri ya Finland, Alexander Stubb, anatarajia kufanya Ziara ya Kitaifa nchini Tanzania kuanzia tarehe 14 hadi 16 Mei, 2025 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Magereza,police na vyombo vingine vya ulinzi na usalama vina ngazi kutokea ya kitaifa mpaka ya kiwilaya,mfano polisi kuna uongozi ngazi ya mkoa na ngazi ya wilaya na magereza hivyo hivyo.Je...
10 Reactions
180 Replies
7K Views
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Sana Jude Thaddeus Ruwa’ichi ametangaza kwamba kutokana na changamoto zilizopo katika eneo la Gezaulole ikiwemo maji kutuwama, mchakato...
1 Reactions
3 Replies
635 Views
Mama zetu walikuwa atleast kila wiki lazima watulishe makande, yaliyowekwa magadi ya kienyeji, wakiyaombea kwa siri yaende kuwaondoshea wanawe mokosi, kijicho na bahati mbaya, na ilibidi wapike...
2 Reactions
7 Replies
492 Views
Ukiachana na sauti yake nzuri ya kiume iliyojaa mamlaka,sura na umbo zuri la kiume Essero Mafuru pia amebarikiwa vitu vingi vya kuvutia ambavyo ni; *Hekima kama kijukuu cha mfalme Suleiman...
5 Reactions
211 Replies
7K Views
Habari zenu Kama kichwa cha uzi hapo juu : Hawa wanaolia kwenye msiba ni unafiki au wanajidanganya ..Simply, ni ujinga tu kama unajua kila binadamu atakufa kwa nn unalia na ukizaa watoto...
13 Reactions
109 Replies
4K Views
Kama ilivyo ada Waswalihi walisema kufa kufaana. Baada ya Mwendazake Mzee wa Macha ranga..(Mzangi zangi) Nafasi ipo wazi.. Watajwa hapo juu ndiyo walikuwa karibu naye kuka ribiana Wasifu.. Je Kuna...
5 Reactions
9 Replies
830 Views
Back
Top Bottom