Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa nchi kama Tanzania ambao tuna-umeme mdogo sana ambao hautoshi kwa ajili ya viwanda ni vizuri tukatumia gesi asilia ambayo inaweza tumika kama primary source of energy Faida zake ni nyingi...
3 Reactions
37 Replies
1K Views
Roma, kasaliti chama Nay wa mitego sasa hivi anasifia ngono. Haya Leo nimewaletea kazi mpya ya mrithi wa Roma tu. MpokeeTanganyika gusa ilo neno Tanganyika
2 Reactions
9 Replies
985 Views
Wana Jukwaa, Ubungo au Keko kuna pikipiki used aina ya Boxer au TVS. Lakini pia nina wazo la kufungua maktaba (library). Je, kati ya biashara hizo mbili, ipi itanipa kipato cha uhakika kwa mtaji...
16 Reactions
120 Replies
5K Views
Arusha 14 Mei 2025 - Benki ya CRDB imewataka wanahisa wake kujitokeza kwa wingi kushiriki katika Mkutano Mkuu wa 30 wa Wanahisa, unaotarajiwa kufanyika Jumamosi, tarehe 17 Mei 2025, katika Kituo...
0 Reactions
0 Replies
248 Views
Hii tabia inazuka na Sasa inakomaa na kukua Binafsi ni kukosa ustaarabu na utu Msiba ni mitihani ni kitu kinatakiwa kuunganisha watu wa itikadi zote na vyama vyote vya siasa Sio tabia ya...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Ukitaka kujua mwili wa mwanamke una mambo yasiyo ya kawaida mwambie mwanamke ambaye yuko kwenye siku zake achume mboga kama vile tembele, majani ya maboga au achume pilipili iliyoko shamanic...
2 Reactions
7 Replies
594 Views
Hii code ni ngumu kumeza ila ndio inawapa ugumu sana wafanyabiashara mnaochipukia na wakonge. Ukiona biashara yako inakwenda vizuri sana na kupiga hatua,hapo utaona kila mtu kuwa karibu nawe na...
6 Reactions
18 Replies
3K Views
Mahakama ya Wilaya ya Mufindi imewatia hatiani wanandugu watatu katika kesi ya jinai, walikuwa wakikabiliwa na shtaka la uharibifu wa mali kwa kuvunja nguzo ya umeme (TANESCO), kwa madai ya...
6 Reactions
58 Replies
2K Views
Habari wakuu mbali mbali, kama ilivyo ada licha ya kuwepo kwa platforms mbalimbali za kijamii lakini kwangu Mimi JF bado ndo sehemu ninapoweza pata hekima za watu makini mwezi mmoja uliopita...
10 Reactions
56 Replies
3K Views
Pia soma ~ Ajali ya Treni ya Dar maeneo ya Karume, mabehewa yameacha njia TAARIFA KWA UMMA AJALI YA TRENI YA MJINI KWENDA PUGU Dar es Salaam, Mei 13, 2025. Shirika la Reli Tanzania (TRC)...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Mwenyekiti TAMISA, Peter Kumalilwa amesema kwamba kutoka taarifa ya Wizara ya madini kupitia Waziri, Anthony Mavunde kuonesha kwamba kiasi shilingi trilioni 3.1 kimekuwa kikitumika kila mwaka...
0 Reactions
3 Replies
387 Views
Shilingi Bilioni 18, zimetolewa kupitia Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET), ili kufanikisha ujenzi Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kampasi ya Songea. Hayo yameelezwa na Mkuu wa...
1 Reactions
0 Replies
372 Views
Kampuni ya Tembo Nickel Ltd imethibitisha ratiba ya kuanza rasmi ujenzi wa Mgodi wa Kabanga Nickel uliopo wilayani Ngara,Kagera. Hayo yamesemwa leo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Lifezone...
2 Reactions
5 Replies
569 Views
Kuna kizazi cha vijana kinachoamka kabla ya jua kuchomoza. Hawana misururu ya sifa, wala kamera zinazofuatilia maisha yao. Lakini ndani yao, kuna moto moto wa ndoto kubwa usiozimwa na maumivu ya...
12 Reactions
24 Replies
1K Views
Mandhari nzuri ya milima ya Pare na vijana wakipare ni wazi kutakuwa kuna watu watataka kubaki huko,
0 Reactions
1 Replies
297 Views
Afya ya Akili Afya ya akili ni kitu cha thamani sana, lakini mara nyingi hupuuzwa. Tunapovunjika mguu, watu hukimbia kutusaidia. Lakini tukivunjika moyo, tukichoka kiakili, au tukipoteza mwelekeo...
3 Reactions
0 Replies
272 Views
Kwa muda sasa nimekuwa nikitumia mtandao wa Halotel lakini kila ninapohitaji msaada kupitia customer care napata usumbufu mkubwa. Ukipiga simu, unaweza usijibiwe kabisa au ukasubiri hata dakika 10...
2 Reactions
7 Replies
594 Views
Narudia tena Mungu awape ufahamu kulijua neno la Mungu wapendwa. Kuna jirani yangu ni mpenzi sana wa mahubiri ya redio. Akajichanganya kasikia kanisa moja huko buza, alipofika no 1 kumwona nabii...
9 Reactions
15 Replies
959 Views
Waziri Mhandisi Masauni akiwa ameambatana na Ujumbe wa Tanzania pamoja na Balozi wa Norway Nchini Tanzania, amekutana na kufanya Mazungumzo na Bw. Bard Vegar Solhjell, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika...
0 Reactions
0 Replies
251 Views
Back
Top Bottom