Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu, Tunaweza tusione umuhimu wa uchaguzi mkuu kwa sasa na kujiapiza kuwa hatushiriki, lakini kutoshiriki kwako uchaguzi mkuu ni kuhalalisha wale usiowapenda wapite waongoze tena miaka mitano...
2 Reactions
17 Replies
832 Views
Jeshi la Polisi Mkoani Pwani limepokea magari saba ikiwemo matatu aina ya Toyota Land cruiser mpya (Zero kilomita ) hatua inayolenga kuongeza kasi na ufanisi wa Jeshi hilo katika kukabiliana na...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Anonymous
Jengo jipya hapa msibani zamani DDC wamejenga ngazi mpaka eneo la watembea kwa miguu hivyo kusababisha watembea kwa miguu kupita eneo la barabara jambo ambalo ni hatari.
1 Reactions
1 Replies
445 Views
Baada tu ya kumaliza Elimu nikawa nimefanyiwa kajisherehe flani pale home wakanipa na zawadi kati ya zawadi hizo kulikuwa na pesa. Nikaona hapa hapa nianze mchakato wa kuhama home. Maana niliona...
28 Reactions
58 Replies
8K Views
Nawasalimu Wana-jamiiforums habari zenu? Moja kwa moja kwenye hoja. Zamani ndoa ilikuwa taasisi takatifu, watu walivumiliana, walilea watoto pamoja na waliheshimu viapo vya ndoa. Lakini siku...
4 Reactions
7 Replies
533 Views
Leo nimekusikia ukisema kwenye maonesho ya mwaka huu yatakayoanza 28/06 mpaka 12/07 (hivi kama sijakosea) mmepanga siku ya wanafunzi kuwafahamisha kuhusu Sabasaba ni nini! Nilishituka kidogo...
0 Reactions
2 Replies
392 Views
Mwanaharakati wa haki za wanawake hapa nchini Joyce Kiria the Super woman kutoka Shirika la haki za wanawake Tanzania, amewataka wanawake wote nchini kuendelea kusimama imara katika kugombea...
4 Reactions
70 Replies
7K Views
Ukipokea pesa ndefu kutoka nje ya nchi like USA as a remmittance money mfano 100+million TSh . Inaweza chukua muda gani hadi account wakaiban ? Je mtu anaweza fanya someexpenditure kabla...
1 Reactions
103 Replies
3K Views
Kuna kero kubwa hapa chuoni kwetu Marian University College (MARUCO) kilichopo Bagamoyo Mkoani Pwani, mazingira hayaridhishi hasa wakati wa kila kipindi cha mvua, maji yanajaa eneo kubwa hivyo...
0 Reactions
2 Replies
773 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Real Interactiv Inc. Bi. Caroline Maajabu Mbaga, akizungumza katika mkutano wa Kwanza wa Mwaka wa Uzoefu wa Wateja (Customer Experience Conference) uliofanyika Hoteli ya...
1 Reactions
2 Replies
332 Views
Mei 13.2025 Mahakama ya Rufani ya Tanzania chini ya jopo la Majaji watatu (3) Levira J.A, Rumanyika J.A na Ngwembe J.A, imesikiliza rufani inayohusu shauri la Kikatiba lililoletwa Mahakamani hapo...
0 Reactions
0 Replies
224 Views
Nimesikia kupitia Radio One leo Asubuhi mtakwimu Mkuu wa Serikali bibi Mjema akishtushwa na ufaulu wa somo la Hesabu kuwa chini sana kwenye 25% Naomba nimjulishe tu kuwa, asipoteze pesa kwa ajili...
1 Reactions
0 Replies
359 Views
Habari wanajukwaa. Leo nimekuja mbele yenu kuleta mada ihusiyo ubovu wa Barabara ya mwandege-mkuranga. Barabara hii ni muhimu kwa mikoa ya kusini kutoka Dar. Kwa kweli barabara hii imejaaa...
1 Reactions
1 Replies
419 Views
Katika Maeneo yananipasua Kichwa eneo la Finishing ya nyumba ni Milango. Yani kuna wakati natamani kuweka hata mabati, ilimradi Mlango Naomba Wazoefu eneo hili mnisaidie Huwa mnafanyaje mkifika...
19 Reactions
101 Replies
6K Views
💭 Hakika Tanzania imepiga hatua kubwa sana baada ya kuwa na kiwanda cha kutengeneza Ndege, ambapo kwa mara ya kwanza imefanikiwa kuweza kurusha Ndege ambayo imeunganishwa kila kitu nchini...
13 Reactions
70 Replies
3K Views
Naomba nami nichukue fursa kuendeleza mjadala ulioanza Kwa mtoa mada mmoja siku za awali kuuliza Mwenye kujua maslahi ya hawa Waheshimiwa Wabunge Kwa sasa: 1. Mshahara mnono (bila Kodi) 2. Posho...
16 Reactions
78 Replies
5K Views
Korea Kaskazini imepeleka makomando 700 nchini Burkina Faso kwa ajili ya kumlinda raisi Ibrahim Traore na kuhimarisha ulinzi nchini Burkinabe.
0 Reactions
3 Replies
661 Views
Hawa jamaa ni wengi na bado wanazaliana kama siafu Kisiasa inawapa advantages ya kiutawala yani wanaweza kuamua Rais awe nani Wakiamua kuitoa CCM madarakani itakua kazi rahisi sana. Ponapona ya...
5 Reactions
40 Replies
2K Views
Nahitaji msaada. Hii kitu imekuwa inanisumbua kwa muda mrefu. Mtu unawezaje kutambua namba ya simu ni ya mtandao upi. Najua inahusiana na namba 3 za mwanzo. Mnaweza kuorodhesha namba zote na...
4 Reactions
35 Replies
251K Views
Niliwahi kupita Moro mara moja tu sasa Kuna jamaa katika kuongea anasema Mahenge Morogoro Kuna uchimbaji dhahabu, eti Kuna mto wakati wa kiangazi shughuli za uchimbaji zinafanyika yaani ni kutoa...
3 Reactions
45 Replies
2K Views
Back
Top Bottom