Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kumekuwa na kanuni nyingi zinazoelezea ulimwengu wetu jinsi ulivyo umbwa ikiwemo kanuni hii maarufu ya wanasayansi wakubwa "0123" huku "0" ya kanuni hii ikieleza au ikiwakilisha "utupu" yani...
1 Reactions
3 Replies
590 Views
Hizi pesa nimewahi kusikia zikitafutwa sana Leo nimekaa nikajiuliza je huwa hizi pesa wananaonunua kwa value ya juu huenda kuzifanyia nini?
2 Reactions
29 Replies
2K Views
NAMNA YA KUSHINDA MIJADALA YA MTANDAONI!! Ghadhabu imepanda, joto limekuwa kali sana baada ya kuona Mtu fulani akipingana na mawazo yako ama kupost jambo usilopenda mtandaoni linalopinga mtazamo...
2 Reactions
1 Replies
304 Views
Tupate maoni kidogo , kupitia miaka mitano nyuma umewahi kusikia utekaji wowote zanzibari kama ilivyo Tanzania Bara? Na log out
5 Reactions
19 Replies
798 Views
Leo hii tuna vijana wengi waliomaliza shule, wana vyeti, wanaweza kutumia mitandao kwa ufasaha—lakini nidhamu iko chini, maadili yameporomoka, na heshima kwa wazazi au jamii haipo kama zamani...
0 Reactions
2 Replies
426 Views
Watu wengi wanaogopa kile kisichojulikana kwa sababu kuu tatu za msingi: 1. Akili hupenda uhakika Akili ya mwanadamu imeundwa kutafuta usalama na utulivu. Haijisikii salama inapokutana na kitu...
2 Reactions
1 Replies
294 Views
Hili vazi la hijab ambalo huvaliwa zaidi na wanawake wengi wa dini ya Kiislamu na Waarabu ni vazi la kidini(uislamu) au la utamaduni wa Waarabu?
5 Reactions
58 Replies
2K Views
Yaani hii sehemu si J3, si J4, si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndiyo usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki? Mmechinja mkamtoa kafara hapo au kuna nini...
51 Reactions
519 Replies
97K Views
Kama ningekuwa sijafanana na hawa watoto ningeenda kupima dna, maana ningehisi nimepigwa Wote ni wavulana, wa kwanza tupo la saba huyu mwengine yupo la sita Kuna muda mpaka watu wanachanganya...
15 Reactions
96 Replies
4K Views
Wizara ya Viwanda na Biashara imepata mafanikio makubwa katika maeneo mbalimbali yakiwemo uendelezaji wa miradi ya kielezo na kimkakati; upanuzi na ujenzi wa viwanda; uendelezaji wa teknolojia...
0 Reactions
0 Replies
278 Views
Yani ukitaka kujua mwanzo wa historia ya kweli ya jungle, siyo ile ya kwenye vitabu vya shule wala documentary za wazungu zenye voice ya baridi, tunaanza hapa – kwenye ardhi ya moto, nyasi ndefu...
4 Reactions
3 Replies
420 Views
WAKATI vita ya Israel na Hamas inaendela, Waislamu wa HAMAS wakishajihishwa na Iran pamoja kundi la HEZBULAH lenye ufadhili wa Matajiri wanaoshinda CAsiino za Quatar ndio makundi yenye shughuli...
9 Reactions
112 Replies
7K Views
Mimi ni Mzazi wa Mwanafunzi anayesoma mojawapo ya chuo cha Kati Ngazi ya Diploma ya Udaktari, moja ya changamoto kubwa katika vyuo hivi ni matumizi mabaya ya malipo yanayofanyika kwa ajili ya...
2 Reactions
4 Replies
719 Views
Hekima: Msingi wa Maisha Yenye Amani na Ustawi Katika safari ya maisha, hekima ni nyenzo muhimu inayoweza kuleta utulivu, maendeleo, na mafanikio. Dunia yetu inakabiliwa na changamoto...
1 Reactions
1 Replies
326 Views
Kujaa kwa mabasi hayo kwa siku zote hizo kunahusishwa na Kesi ya Tundu Lissu iliyopangwa kusikilizwa tarehe 19 May huku Mahakama ikwaalika watu wote Mahakamani. Tundu Lissu anatarajiwa kufikishwa...
7 Reactions
30 Replies
1K Views
Mahakama ya Rufaa inatarajiwa kupanga tarehe ya kutoa uamuzi wa rufaa katika shauri Na. 134 la mwaka 2022 ambapo mleta maombi anapinga uamuzi wa Mahakama Kuu uliotolewa Februari 15, 2022...
0 Reactions
2 Replies
316 Views
Wadau nawasalimu Ndugu zangu mimi nalitumikia taifa kwa kuwahudumia watanzania wenzangu kwenye moja ya kada yenye kugusa maisha ya kila mtu. Kwenye hili jukwaa siyo mgeni sana Nimepata transfer...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Kijana akija kuomba kazi anakuja kwa unyenyekevu mkubwa tena akiwa kaweka mikono nyuma utafikiri ana staha na nidhamu ya kweli🙆‍♂️, kumbe hiyo ni zuga tu. Sasa itokee umwamini umpe kazi ndo...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Vizuri! Hebu tuchambue kwa kina kuhusu wana wa Nuhu (Shemu, Hamu, na Yafethi) na mataifa yanayoaminika kutoka kwao kulingana na Mwanzo 10 (Jedwali la Mataifa) na historia ya kibiblia: --- 1...
2 Reactions
6 Replies
860 Views
Zamani wanaume wenye familia tulikuwa tunanunua vitu kwa jumla, mchele kilo 50, unga kilo 25, sukari kilo 25, mafuta ya kula lita 20, sabuni kiroba kizima, sabuni carton nzima, ges mtungi wa kilo...
25 Reactions
131 Replies
5K Views
Back
Top Bottom