Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hawa matapeli wapo sana maeneo ya kariakoo na kinondoni! Wanatumia bajaji au boda na wakati mwingine wanavaa na sare feki! Popote ukikutana nao piga Kelele za mwano ni wezi hao! Kila siku watu...
1 Reactions
8 Replies
664 Views
Wadau hamjamboni nyote?.... Starting to the right and left or the left to the right?
1 Reactions
0 Replies
194 Views
Kuna majengo ya serikali nasimamia kama mtumishi wa umma sasa katika kuwalipa mafundi na suppliers Kuna Kodi inatakiwa kulipwa TRA, kwakuwa sina uzoefu na haya mambo nikasema niende ofisini kwao...
0 Reactions
2 Replies
644 Views
Huwa nikimuona mtu mzima anajisifia kuzaliwa Dar na kuwaita wengine washamba wa kuja namuona kama mtu mwenye akili fyatu, kubwa jingwa fulani hivi. Kipi hasa cha mtu kujivunia na kutambia wengine...
50 Reactions
287 Replies
9K Views
Chini nimoja ya njia rahisi sana kujifunza na kua shuhuda wakile kilicho elezwa. Zingatia haiwezi kua rahisi kuelewa ninacho kieleza hii niwatu wachache wenye akili kubwa ndio wanajua nazungumzia...
4 Reactions
15 Replies
918 Views
Mwaka jana kuna mtu kaenda kujifungua hospitali binafsi sitaitaja jina ila gharama zinawezafika hadi million 20 kuna mda unajiuliza tunaelekea wapi mbona wamepewa uhuru mkubwa sana Kumbuka hata...
11 Reactions
46 Replies
2K Views
Wakuu, Sifa Bujuni aliyeimba 'Mnatuona Nyatu tu' amefariki Dunia hospitali ya Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu, baba yake mzazi athibitisha hilo. Mhh...... Mungu amlaze pema. Pia soma...
7 Reactions
72 Replies
8K Views
Nafikiria Wazo la Serikali kusema mfumo wa kupunguza ukosaji wa ajira kwa wasomi kuwa wengi wenye faini za nadharia zaidi kuleta hoja ya wasomi hao hao waende kupata fani mbali mbali zinazoweza...
0 Reactions
0 Replies
236 Views
Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akikabidhi cheti cha shukrani kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Mixx by Yas, Bi. Angelica Pesha, kutambua mchango wa Kampuni ya...
0 Reactions
1 Replies
297 Views
I will be short aisee every day. mambo ya nakuwa magumu, inflation kubwa sana. aisee hata dollars watu wanatuuzia at high price wana ogopa market vulnerability. yani mtu nauza dollar at maximum...
2 Reactions
6 Replies
521 Views
Machi 16, 2025 kuna memba alitusaidia kufikisha ujumbe kwenye Jamii kuwa sisi Wakazi wa Chanika Zingiziwa tuna changamoto ya kutokuwa na umeme licha ya kwamba TANESCO wamekuwa wakija na kuondoka...
0 Reactions
0 Replies
549 Views
Mmiliki wa Baa Maarufu Dar es Salaam na Tanzania iitwayo ROSE GARDEN iliyopo Mikocheni Dar es Salaam, Mzee Damas Assey amefariki Dunia leo. Mzee huyu ambaye pia anamiliki Shule za St. Florence na...
12 Reactions
113 Replies
21K Views
Nyie muendelee kukubali kuchukuliwa tu vibanda vyenu vya umachinga na wakina jet li🤣
1 Reactions
1 Replies
349 Views
Toka enzi timekuwa tunaona mwenge unazungushwa Nchi nzima na kuteketeza mabilioni ya pesa,kwa upande wangu mimi sioni faida za kukimbiza mwenge zaidi ya kupoteza pesa na kuwapumbaza wananchi...
1 Reactions
0 Replies
206 Views
💭 Ufaransa Iko kwenye mpango wa kuweza kuleta Jeshi la Maroboti ifikapo mwaka 2040, litakaloweza kufanya kazi kikamilifu bila shida yoyote. 💭 Yataweza kujiendesha yenyewe mpaka kwenye uwanja...
2 Reactions
12 Replies
418 Views
Wadau hamjamboni nyote .. What are the names of the 2 deadly Jins believe d to be available at lavatories
0 Reactions
3 Replies
366 Views
Mipango yako lazima iwaone vitukuu vyako na vitukuu vyao pia. Watu wanaongezeka na ardhi inabaki ileile ambayo inazidi kupunguzwa kwa kumegwa na bahari inayozidi kuongeza kina chake kutokana...
10 Reactions
63 Replies
3K Views
Habari wana Jamvi Leo nilipata wasaa wa kusikiliza Hoja ya Mh Selemani Jafo(Mb) Waziri wa Viwanda na Biashara ambapo Bunge limeidhinisha maombi ya shilingi Bilioni 135 kwa mwaka wa Fedha...
0 Reactions
2 Replies
382 Views
Baada ya mashahidi watatu upande wa Jamhuri kukamilisha ushahidi wao katika Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39), Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi Africana...
1 Reactions
3 Replies
365 Views
2025 kama naona ndio ajira zinaelekea mwishoni nchi nyingi sana na afrika. Sasa hakuna ulazima wa kuendesha magari wakati magari yana jiendesha. Uwezi kuajiri wafanyakazi wengi wakati kuna...
0 Reactions
1 Replies
205 Views
Back
Top Bottom