Ni Salim Kikeke Au Zuhura Yunus..?

Ni Salim Kikeke Au Zuhura Yunus..?

Craig

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
1,676
Reaction score
3,143
Kama ilivyo ada Waswalihi walisema kufa kufaana. Baada ya Mwendazake Mzee wa Macha ranga..(Mzangi zangi) Nafasi ipo wazi.. Watajwa hapo juu ndiyo walikuwa karibu naye kuka ribiana
Wasifu.. Je Kuna mmoja wao ataokota Dodo?? Let's wait....
 
kwani kikeke ni ni mzanzibar? Zuhura atoke jmt aendd smz huko ni sawa na kum demote, zanzibar ni sehemu ndogo ya jmt si saizi yake wachague wazanzibari wengine wamejaa tele kwenye media za huko
 
Mkuu Kwani Kuna Sheria kuwa Msemaji wa Ikulu lazima awe Mzanzibar!!!......
 
Kwa mtazamo wangu ile nafasi inamfaa zaidi Zuhra.
Kikeke namkubali sana ila natamani apate nafasi kama za kila Tido
 
Back
Top Bottom