chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 7,589
- 15,372
Hii code ni ngumu kumeza ila ndio inawapa ugumu sana wafanyabiashara mnaochipukia na wakonge.
Ukiona biashara yako inakwenda vizuri sana na kupiga hatua,hapo utaona kila mtu kuwa karibu nawe na kwa ukaribu sana basi tambua unafanyiwa ujasusi wa biashara.
ujasusi wa biashara unaweza kuwa na lengo zuri kwao au lengo baya kwako.
*lengo zuri kwao
kuangalia mbinu kwako unatoa wapi na wapi mfano chimbo au soko lako wateja wake na mazingira yake.
wakijua haya ni rahisi kufanikisha mbinu zao kwa mambo yao.
Mfano:Kitu gani unatumia kufanikisha kwenye biashara zako.ili wahindi walituweza sana kipindi cha kupiga picha passport size uwezi kuingia ndani kujua kuna mashine gani.hata kama anakufahamu
*lengo baya kwako
kujua mapungufu yako na kuyafanyia kazi wao kama njia mbadala.
Mfano:unaweza kuwa kwenye biashara kuna mapungu ila hayatoki ndani wakijua ni rahisi kuyatumia. faisali mfano tosha kwa yanga kuelekea Azam japo sina taarifa.
Marafiki jasusi wa biashara wapo dunia nzima sio tu ngazi kubwa hata kwa aliye karibu yako.
kumbuka rafiki jasusi wa biashara wanajitokeza kwenye mafanikio ili kupata wanachokitaka kama
(1)Kitu gani au mtu gani anakupelekea kufikia haya kwenye biashara.
mfano: Mshika biashara yako hawa wanarubuniwa sana.
(2)Eneo uliopo
mfano: rafiki jasusi wa biashara anaona kodi unayolipa ni ndogo na kumshawishi muusika kwa pesa yoyote ya upangishaji kama utamudu.
(3)ufitinaji
hapa wengi wameumia sana na ukiona unapata changamoto ni marafiki jasusi wa biashara kama mnafanya inafanana tegemea kukumbana na changamoto.
Hitimisho.
Uwezi kukwepa rafiki ila sio kila rafiki anayekuja kwako kaja kuwa rafiki wamekuja na yao.
Kitabu kizuri sana