Mambo yanayondelea CHADEMA inawezekana yakaonekana mageni machoni mwa watu wengi
CHADEMA ina vita mbili, vita ya kwanza kati ya CDM ya sasa na iliyopita
CDM ya sasa imeshindwa kuvaana na...
Magari yanayosafiri kutoka Bukoba mkoani Kagera kuelekea mikoa mingine, yamekwama katika eneo la Kyetema kufuatia kuharibika kwa barabara ya dharura inayotumiwa na magari hayo na kusababisha adha...
Habari wakuu!
Kama kichwa cha uzi kilivyojibainisha ukweli ni kuwa Afrika bado haina Umoja. Sote tunajua wanaharakati kama Kwame Nkurumah walihubiri kuhusu hili ila bado juhudi zao hazikuzaa...
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa onyo kwa baadhi ya viongozi wa umma wanaotumia madaraka yao vibaya kwa kulazimisha mahusiano ya kingono kazini, hasa kwa waandishi waendesha ofisi...
Wakuu,
Katika kada karibu zote tuko nyuma sana kitekknolojia, hata ambao ungetegemea wawe updated nao mambo ni yale yale.
Mfano waandishi wa habari, mambo yanabadilika kila leo, sasa tuna...
Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Pwani kupitia ukurasa wake wa X ameandika kuwa hakuna mtu mgumu kumshauri kama anayekaribia kutapeliwa.
"Waswahili wenzagu wanasema
Hakuna mtu mgumu kumshauri kama...
Hii hapa simulizi ya kusikitisha inayonihusu mimi, Inspector, ikigusa hisia kutokana na safari yangu ya kiafya:
---
Safari ya Maumivu na Tumaini la Mwisho.
Inspector nilikuwa kijana mwenye...
Wanafunzi wa Kitongoji cha Iyozu, Kata ya Muungano Wilayani Chato Mkoani Geita wanalazimika kutumia mitumbwi kutoka kwenye makazi yao kwenda shuleni kutokana na mvua kubwa zilizonyesha miaka 13...
Habari za Wadau wa JamiiForums!
Salamu kwa wapambanaji wote wa maisha, wale wanaokimbiza ndoto zao bila kusubiri kesho ifike. Huu ni mwaka wa ushindi, mwaka wa kufungua milango ya fursa, mwaka wa...
Unachokifuatilia muda mrefu ndicho kinajenga ufahamu na mipaka yako kiakilini.
Acha kufuatilia mambo madogomadogo, mambo ya manenomaneno yasiyo na vitendo. Unanyong'onyesha Ubongo wako.
Mfano...
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amebainisha kuwa Sekta ya Madini nchini imeendelea kupiga hatua kubwa, ambapo maduhuli ya zaidi ya shilingi bilioni 902 sawa na asilimia 90.2 ya lengo la...
Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO) imesema kuwa inatarajia kutoa taarifa na tarehe rasmi ya kurejea katika safari zake za kawaida kwa Meli ya New Victoria 'HKT' ambayo imekuwa katika matengenezo...
Wakazi wa Mbagala wamefurahishwa na huduma za kibingwa na kibobezi zilizotolewa na wataalam wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) katika kambi maalum ya matibabu iliyoandaliwa na...
https://youtu.be/7aPJ1GP9HI4?si=3qPt-dgtRClDyksg
Wabunge wanaotoka ukanda wa ziwa Tanganyika ikiwemo Katavi,Kigoma na Rukwa wakiongozwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile wamefanya...
Wakuu habari
Kuna viwanja vitatu Mzee kanipa,
Kimoja kipo Mlandizi ndani ndani huko porini, kama unaenda bagamoyo
Kingine kipo ubungo external
Cha mwisho kipo kimara mwisho
Na Sina mpango...
Masikini unakuta hata bwana yake huko alikuwa ndio anajichanga aende kujitambulisha ghafla akaona hii clip😂
Ukiwa una pesa alafu ukikutana na demu mwenye bwana, ukimuulizia kuhusu bwana yake...
Hivi Hawa jamaa inakuaje mpaka wanaweza kuiba pesa na namba ya Siri hawana maana Leo ni kilio jamaa yetu hapa mtaani aliibiwa simu jana na alishapigia Yas wakaifunga laini ila Leo amerenew laini...
Shikamooni wakubwa zangu wa hapa JamiiForums.
Mimi mdogo wenu (last born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Hii issue niliwahi kuambiwaga na mama yangu...
TRA recently wame-update system yao, sasa kuna kitu kinaitwa Taxpayer Portal. Ni jambo jema ila limekuja na machungu yake.
Ni jambo jema sababu sasa unaweza submit tax audits, fanya VAT returns...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.