Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika pitapita zangu za kufuatilia vivutio vingi vya Tanzania, na huduma zake nimegundua mambo kadhaa ya kushangaza sana. Kwanza kabisa , Watanzania wengi hawapendelei kutembelea vivutio vyao...
1 Reactions
3 Replies
282 Views
Ninajiuliza kila siku bila kupata jibu Yuko wapi Mungu, wakati watoto wanalala njaa? Yuko wapi Mungu, wakati watu wanapoteza wapendwa wao kwa magonjwa wasiyoweza kutibu? Mbona dunia imejaa vilio...
2 Reactions
8 Replies
583 Views
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa kuna changamoto kwenye manunuzi ya umeme (LUKU) inayosababisha wateja kushindwa kununua umeme kupitia mitandao ya simu na njia za...
2 Reactions
2 Replies
568 Views
Kwa zaidi ya miaka 2000 kumekuwa na vita kubwa na kali sana kati ya utawala wa giza na utawala wa Mwanga, Mbinu nyingi zikitumika na tawala na falme za giza katika kuuondoa na kuitawala dunia kwa...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Habari zenu wana JFA, Kuna rafiki yangu anajifanya mjanja mjanja kaniomba nikatumie kitambulisho changu kukopa simu kampuni fulani nimemkwepakwepa sana lakini naona ananishikia bango, leo...
7 Reactions
67 Replies
2K Views
Wengine mpaka miguu imeota vinumbu sabb ya kutembea umbali mrefu kwenda kazini. Tuwahurumieni walimu jamani
4 Reactions
22 Replies
803 Views
Hakuna jambo linafurahisha kama kuona mtanzania mwenzetu anapata mafanikio makubwa kimataifa. Sisi watanzania wazalendo tumeupokea taarifa za kuchaguliwa kwako kuwa mkurugenzi wa WHO Afrika...
2 Reactions
4 Replies
525 Views
Juzi mishahara ya Watumishi wa Umma ilitoka ikiwa haina nyongeza hata chembe. Je, ina maana mwaka huu pia hakuna pekeji' mbona kazi!?
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Niliwahi kusoma sehemu fulani na baadaye nikaambiwa kwa comment hili jambo. Habari ya jumapili ndugu Mtanzani. Hili jambo la wasiojulikana limezungumzwa sana kwenye majukwaa mbalimbali na hata...
6 Reactions
60 Replies
4K Views
FR Beda Pavel alizaliwa mjini Humberg ujerumani, alipadrishwa mwaka 1953 na kutumwa Tanganyika mwaka huohuo. Amewahi kufundisha Biology katika seminary kadhaa nchini, amehudumu parokia mbalimbali...
0 Reactions
2 Replies
439 Views
WANAOTUMA NA KUPOKEA PESA KWENYE MITANDAO YA SIMU WAMEONGEZEKA Sekta ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeendelea kukua ambapo takwimu zinaonesha kuwa laini za simu zilizosajiliwa...
0 Reactions
1 Replies
446 Views
Wakuu Nimetoka kwetu simiyu ndani ndani huko kabisa nimeingia mjini leo na Lori lililobeba ng'ombe. Nimekutana na hiki kinywaji hapa mjini,nikawa nakishangaa.nikataka kukifahamu ni kinywaji gani...
3 Reactions
55 Replies
3K Views
Hili swali nimelikuta huko mtandaoni watu wanajaribu kulitafakari. Je, kwa huu umafia unaoonekana kufanywa na kikundi cha watu wazito kuanza kukomaa na sasa kujionyesha waziwazi kwa raia, kuna...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Pia soma News Alert: - Prof. Mohamed Janabi achaguliwa kuongoza WHO AFRO
3 Reactions
7 Replies
578 Views
Wachimbaji sita wamefariki dunia kwa kufukiwa na kifusi ndani ya mgodi wa dhahabu uliopo katika Kijiji cha Mwakitolyo wilayani Shinyanga. Ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia Mei 17, 2025 wakati...
0 Reactions
5 Replies
737 Views
Tangu nikiwa mdogo mimi ni mtu naependa sana kujitoa kwenye shida za watu, ndoto yangu ilikuwa nikija kupata hela basi nitasaidia sana watu. My wish came true nikiwa kijana mdogo wakati bado hata...
20 Reactions
20 Replies
2K Views
Sanamu la mkewe Donald Trump latoweka Chanzo cha picha,Getty Images "Melania" alionekana katika ukingo wa mto Sava huko Slovenia mnamo Julai 202, miezi minne kabla ya Melania Trump kuondoka...
1 Reactions
11 Replies
589 Views
Huyu Bibi wa kenya Martha Karuq mbona anataka kutupanda kichwani?! Anapata wapi ujasiri wa kujihusisha na kesi za uhani nchini Tanzania? Tafadhali mamlaka zetu zisipuuzie hili jambo
3 Reactions
19 Replies
1K Views
https://www.youtube.com/live/vVff21KwD50?si=4cn52B2JbabvDOdb The second special session of the WHO Regional Committee for Africa will be held in a virtual format on 18 May 2025 under Special...
3 Reactions
100 Replies
4K Views
Meet the Marabou Stork, a formidable figure in the theater of the wild. This isn't a creature of delicate beauty, but one sculpted for a stark purpose: the meticulous cleanup of the earth. Imagine...
0 Reactions
0 Replies
195 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…