Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Maelezo haya yalitolewa jana na Waziri wa Uchukuzi. Hakika Tanzania kwa sasa inapambana na nchi za ulaya MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE Mheshimiwa Spika, katika kipindi chakuanzia Julai...
0 Reactions
0 Replies
193 Views
Msanii kutokea Bien akifahamika kama Bien-Aimé Baraza kutokea kundi la Saut Sol pale nchini Kenya amefanya show katika moja ya Tamasha kubwa nchini Kenya na kuacha watu kinywa wazi huku Wakenya...
0 Reactions
2 Replies
364 Views
LESENI NA VIBALI VYA BIASHARA YA MAFUTA ZIMETOLEWA! Serikali kupitia EWURA imeendelea kusimamia mkondo wa kati na chini wa Sekta Ndogo ya Mafuta ili kuhakikisha upatikanaji wa uhakika, usalama na...
0 Reactions
0 Replies
335 Views
Katika kufuatilia kwangu historia za watawala wa dunia hii sijawahi kukutana na kiongozi wa maana aliyewahi kuwa anazurura na bastola waziwazi kiunoni akawa na akili nzuri. Viongozi wote...
8 Reactions
54 Replies
3K Views
Nashudia live haya mambo nipo kwenye taasisi ambayo wafanyabiashara inabidi watoe maelezo yenye ushahidi wa hali zao kibiashara ili tuweze kuwasaidia kama wadhamini wa shida wanazopitia, itoshe...
10 Reactions
58 Replies
5K Views
Akijibu hoja za Wabunge walioeleza kuwa kuna Wajawazito wengi na Watoto chini ya umri wa miaka mitano wamekuwa wakilipiishwa fedha katika Hospitali za Serikali kinyume na maelekezo ya Serikali...
0 Reactions
2 Replies
673 Views
Greenland ni kisiwa kikubwa zaidi duniani, ikiwa ni sehemu yenye mamlaka ndani ya Ufalme wa Denmark, ikiwa na wakazi wapatao 56,000. Greenland ina eneo la kilomita za mraba milioni 2.2, huku...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Ili kurahisisha kupatikana kwako ukiwa HAI au MWILI wako ukiwa umekufa au kuuwawa KURAHISISHA KUPATIKANA kwako kwa haraka pindi inapotokea kutekwa/kupotea katika mazingira mbalimbali mfano AJALI...
1 Reactions
7 Replies
528 Views
Kauli ya makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche, kuhusu mfumo wa elimu wa Tanzania kuzalisha "mabingwa wa kukariri" badala ya wasomi halisi ni ukweli usiyo namashaka. Vijana machawa...
3 Reactions
4 Replies
566 Views
Wiki hii serikali za China na Marekani zimetangaza hatua mfululizo za kurekebisha ushuru zinazolenga kupunguza mvutano wa kibiashara kati ya nchi hizo mbili zenye uchumi mkubwa zaidi duniani...
2 Reactions
2 Replies
322 Views
Ushuru uliowekwa na Marekani unaweza kuwa na athari mbaya kwa nchi zinazoibuka kiuchumi kama China nan chi za Afrika, lakini wakati huohuo, hatua hiyo ya Marekani itawezesha ushirikiano wa nguvu...
0 Reactions
0 Replies
296 Views
“Tafadhali msiwaache wakafa,” alinong’ona mama mmoja wa Kitanzania kwa majonzi huku akishindwa kuzuia machozi yanayomtiririka mashavuni. Wakati Wazanzibari wengi wakiwa bado wamelala, daktari...
2 Reactions
0 Replies
337 Views
China na nchi za Afrika zimekuwa na urafiki wa jadi ambao umedumu kwa miongo mingi. Urafiki huu unagusa sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya utamaduni. Hivi karibuni, onyesho lililopewa jina la...
0 Reactions
0 Replies
250 Views
Wakati nilipotembelea mkoa wa Yunnan moja ya mambo ambayo sitakuja kuyasahau ni kupita katika eneo maarufu la Chai ya Pu’erh. Katika safari yangu ya treni wakati natoka Kunming mji mkuu wa mkoa wa...
0 Reactions
0 Replies
295 Views
Nimeshangaa kuona China imeinyima Tanzania fursa ya kuwa miongoni mwa Nchi 33 zilizopewa ruksa ya kuuza bidhaa huko China Kwa zero tarrif yaani bila Ushuru. China ndio trading patner namba 1 wa...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
SHALLOM. Nipo Dar kwa muda Kidogo ila kuna kitu kinanishangaza sana hasa kwa Dar maeneo ya wilaya ya Ubungo na maeneo mengine kuhusiana na suala zima la Uuzaji wa Vyakula hasa nyakati za asubuhi...
21 Reactions
95 Replies
5K Views
Anonymous
Benki ya NMB Tabora wamekuwa na huduma mbovu. Huduma inayotakiwa kutolewa na watu watano ila inatolewa na mtu mmoja. Wateja wanapoteza muda mrefu bila kupata huduma. Mfano mtu nataka kujua...
0 Reactions
1 Replies
564 Views
Billion 11,123,585,402.18 zimetumika kuwalipa wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya masikini (TASAF) kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Takwimu hizo zimetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,Mhe. Rosemary...
0 Reactions
0 Replies
260 Views
Hili ni swali muhimu, kwa nini haangalii kule aliokoingia akiangalia, halafu akakaa au kuchuchumaa chooni?
0 Reactions
31 Replies
1K Views
Salaam wakuu, kama kichwa kinavyojieleza,kiukweli mimi binafsi nilikuwa na matumaini makubwa na huduma ya mwendokasi kwamba atakuwa mkombozi wahuduma za usafirishaji jijini Dar. Miaka ya nyuma...
2 Reactions
8 Replies
613 Views
Back
Top Bottom