Hali hii mara nyingi naiona hasa kwa watu wazima wenye umri kuanzia miaka 40 na kuendelea, unakuta kapambana sana hapo nyuma Kuna fursa alizipata akazichezea matokeo yake anakuwa na hali flani...
Ukichunguza kwa makini mwenendo wa uwekezaji wa Watanzania wazawa (weusi), kuna swali la msingi ambalo tunapaswa sisi kama wazawa wa nchi hii kujiulizwa kwa ujasiri na kutafuta majibu yenye...
Kulingana na ripoti ya BoT ya robo ya mwisho ya 2024, mzunguko wa fedha Tanzania unaonyesha ukuaji wa kushangaza, lakini pia unaonesha mapungufu ya kiuchumi yanayohitaji uchunguzi wa kina. Pesa...
Hii ndio njia ya kudili na hawa CCM kuliko kutwa nzima kujaza servers ya Jf na post za kulia lia tu. Tuachane na post za kulia lia.
Sasa kwa upande wa Tanzania, huyu Mwamba wa Finland anapaswa...
💭 Nchini china wameleta lori la zimamoto lilionekana mitaa ya Nanjing Mji mkuu wa Mkoa wa Jiangsu Iko upande wa kusini mwa nchi ya china ambapo wamezindua gari la zimamoto lenye vichwa viwili...
Nchi yoyote kubaki hai ni lazima iwe inapitia pol-econo social revolutions sio nchi kubaki constant kama maiti miaka yote Tanzania imekua nchi-nfu tangu tupata Uhuru, wananchi hawajawahi ku...
At last serikali kupitia waziri wa Ujenzi ndg Abdalla Ulega, imesema rasmi leo kuwa hairidhishwi na spidi ya ujenzi wa barabara ya DART inayotegemewa kuwa ya mabasi ya mwendokasi.
Akiongea na...
Jana kwenye msiba wa mhe marehemu Makamu wa pili wa rais, Waziri mkuu mstaafu Cleopa David Msuya nilisikia mshereheshaji wa serikali akichanganya mafaili nikagundua ni bahati mbaya hajui na wengi...
Enzi za Kisu cha ngariba Njemba ukikatiza mtaani mademu watasemezana ama Ana Muhogo au ana “ kichwa cha paka “ lakini Siku hizi utasikia jamaa ni Kibamia ama ana mbilimbi
Kwahiyo nakubaliana...
Maelfu kwa maelfu wanakikimbia Chadema kwasababu ya sera za kibaguzi zinazo fanywa na Lissu na Heche.
Wanachama wamekerwa sana kiasi kwamba wanajutia kuchaguliwa kwa Lissu na Heche kuwa viongozi...
Matukio mengi sana yanayofanywa na askari wa JWTZ wanaojichukulia sheria mkononi kwa kupiga raia na kuwasabibishai vifo na ulemavu kwa sababu za labda kuibiwa mali au kukosana na raia...
Waziri wa Uchukuzi Mhe. Profesa Makame Mbarawa, ameliarifu Bunge namna serikali inavyonufaika na fursa zake za kijiografia kwa kubuni na kukamilisha miradi mikubwa ya kimkakati ili nchi iweze...
Nilikopa boom advance bhana, Sasa hili boom ndio la mwisho na hela ikiingia tu kwenye account inakatwa automatically na system
Wazee wa IT nitumie njia gani kukwepa deni hili ??
Watu wa makabila mbali mbali walioko mijini ama mbali na nyumbani (sehemu ya asili yao) mara nyingi wakitaka kusema wanarudi kwao watataja jina husika la mji ama sehem anayotoka.
Mfano kwachaga...
Stendi ya makumbusho ni kati ya Stendi ambazo zimekuwa zikipokea daladala nyingi kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es salaam, lakini stendi hiyo imekuwa ikipoteza hata ubora mdogo...
Nina imani sote humu tuko njema.
Niende direct, kumekuwa na wimbi kubwa la watoto wenye umri kati ya 7-14 wamezagaa sana mitaani mkoani Kigoma hasa Kigoma Mjini
Hii nadhani ni tatizo kubwa...
Balozi Polepole ameandika hivi katika mtandao wa kijamii
Kama sehemu ya kuhamasisha matumizi ya TEHAMA katika zama hizi za Mapinduzi ya Viwanda ya Nne ambayo yanaleta pamoja watu na TEHAMA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.