Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakati shamrashamra za maandalizi ya Siku ya Wanawake Duniani zikipamba moto, Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga amewashukia 'watoto wa 2000' akidai kwamba wengi wao hawajishughulishi na kazi...
3 Reactions
10 Replies
712 Views
Mwajiri Mwenye Mshahara wa Mauti ni Yupi Mwajiri mwenye mshahara wa mauti ni yupi Hebu tafakari kuwa umeajiriwa, halafu aliyekuajiri anakutumikisha kwa mateso makali, na mwisho wa siku anakulipa...
1 Reactions
0 Replies
364 Views
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara Kamishna msaidizi Mwandamizi SACP Ahmed Makarani amethibitisha kufariki kwa Askari wawili wa Kikosi cha usalama barabarani, waliofariki kwa kupigwa na radi wakati...
17 Reactions
181 Replies
10K Views
Jina la Bwana na Mwokozi wetu YESU KRISTO libarikiwe daima. Karibu katika mafundisho ya biblia, Neno la Mungu wetu lililo Taa na Mwanga wa Njia zetu (Zab.119:105). Zipo njia Mbili tu zilizowekwa...
3 Reactions
4 Replies
429 Views
Niko njombe kwenye mishe zangu. Baridi ikiyoko hapa sio ya kitoto. Nimepita muda si mrefu hapo karibu na soko kuu nimewaona walinzi hapo sokoni wako lindo, wamewasha moto wanaota.police nao wako...
0 Reactions
2 Replies
285 Views
📌Wananchi wapewa elimu matumizi bora ya nishati ya umeme 📌Wahimizwa kujiunganisha na huduma ya umeme 📌Wananchi wahamasika na UMEME TAYARI ( Ready Board) Wakala wa Nishati Vijijini (REA)...
0 Reactions
0 Replies
346 Views
Je wajua Jina la Mozambique limetokea wapi??? Limetokana na mtawala na mfanyabiashara wa kiarabu kutoka Oman ambaye jina lake lilikuwa Musa Bin Bique na eneo aliokuwa anatawala lilikuwa pwani mwa...
2 Reactions
6 Replies
628 Views
Jumatatu mida ya saa moja na dakika 15 nipo gerezani nasubiria gari ya Mbezi picha linaanza watu niliowakuta ni wengi na gari hamna toka saa 19:15 hadi saa 20:40. Gari zinazopita zinaenda Kimara...
2 Reactions
5 Replies
578 Views
Kuna phenomena moja iliyogunduliwa na wanasayansi ya kada ya ‘Quantum mechanics’ ambayo ni ‘wave - particle’ duality ya mwanga. Hii inakuwaje? Nisikilikze kwa makini Kwa miaka mingi wanasayansi...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Nimekuwa mdau mzuri sana wa muda toka nikiwa awali.2006. Nilisoma kwa raha sana nikiwa shule ya msingi Vikonje, Dodoma .Sababu ilonifanya nijione mimi ni bora sana kipindi hiko kwa sababu...
1 Reactions
3 Replies
378 Views
Anaitwa Bowiwksi alikuwa anapenda kuwa mwandishi wa vitabu lkn kwa bahati mbaya sana hakuna mchapishaji ambaye alitaka kufanya naye kazi,kazi yake ilikuwa mbaya na hivyo kuwafanya wachapishaji...
15 Reactions
38 Replies
3K Views
Hii ni challenge kwa wana mazingira na wapendao kutunza maji Maji ni uhai.. Bila maji maisha huwa ni magumu sana.. Wenye kujua umuhimu wa maji hubuni kila mbinu kuokoa maji yasipotee bure bila...
8 Reactions
12 Replies
838 Views
Hivi inakuaje baba Zima miaka 30 unahangaika kwenye nyumba za upangaji huwa nawashangaa majitu kama haya aisee Tanzania ilivyokua na ardhi kubwa hivi watu tunajimegea tu aisee nyie wazee acheni...
20 Reactions
168 Replies
7K Views
Naomba kujua asili ya hawa senene na mazalia yake ni wapi ?
0 Reactions
7 Replies
626 Views
1: BOOBS 2: FACE 3: INTELLIGENCE 4: CURVY 5:
0 Reactions
9 Replies
483 Views
Mithali 11:24 NENO [24] Kuna mtu atoaye kwa ukarimu, hata hivyo hupata zaidi, mwingine huzuia, lakini huwa maskini. Tukizungumza kuhusu utoaji, kila mtu ana picha yake kuhusu utoaji, wapo...
1 Reactions
6 Replies
373 Views
Heading inasomeka hapo juu, mimi kijana Mtanzania mwenzenu. Nimepitia baadhi ya threads humu nimeona baadhi ya watu wakiandika story mbali mbali au taarifa ambazo zinavutia. Nimekuwa content...
1 Reactions
1 Replies
337 Views
Dar es Salaam, Mei 15, 2025 – Kampuni ya Serengeti Breweries Limited (SBL), kwa kushirikiana na Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT), wamefanya mahafali ya kwanza ya programu ya mafunzo ya ukarimu kwa...
0 Reactions
0 Replies
323 Views
𝗕𝗶𝗮𝘀𝗵𝗮𝗿𝗮 𝗮𝗺𝗯𝗮𝘇𝗼 𝘂𝗻𝗮𝘄𝗲𝘇𝗮 𝗸𝘂𝗳𝗮𝗻𝘆𝗮 𝗻𝗮 𝘇𝗶𝗸𝗮𝗸𝘂𝗽𝗮𝘁𝗶𝗮 𝗨𝘁𝗮𝗷𝗶𝗿𝗶 𝗺𝗸𝘂𝗯𝘄𝗮 𝗸𝘄𝗮 𝗵𝗮𝗿𝗮𝗸𝗮. 𝗕𝗶𝗮𝘀𝗵𝗮𝗿𝗮 𝘆𝗮 𝘃𝗶𝗳𝗮𝗮 𝘃𝘆𝗮 𝗽𝗶𝗸𝗶𝗽𝗶𝗸𝗶, 𝗯𝗮𝗷𝗮𝗷𝗶, 𝗻𝗮 𝗴𝘂𝘁𝗮 Biashara hii inajihusisha na uuzaji wa spea zinazohusiana na pikipiki...
7 Reactions
27 Replies
4K Views
Chuki ni mzigo usioonekana unaokula nafsi kimya kimya Kuna uchungu wa aina fulani huwezi kuupiga picha. Uchungu wa mtu anayebeba chuki moyoni... Chuki haina kelele, lakini ina sumu... Ni moto...
13 Reactions
64 Replies
3K Views
Back
Top Bottom