Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

KUNA WATU WANAUMIA WAKONA MAENDELEO YA TANZANIA Serikali ya Tanzaniaimeendelea kushirikiana na wadau mbalimbaliikiwemo Serikali ya Jamhuri ya Watu wa Chinakatika kuboresha huduma za uchukuzi...
0 Reactions
3 Replies
462 Views
Leo ninaandika kwa hasira. Hasira ya kuona taifa linalodhoofika kimya kimya, kizazi kinachoumia huku wazazi wakijifunika blanketi la visingizio. Ninaandika kwa huzuni—kwa sababu tunaangalia taifa...
8 Reactions
27 Replies
1K Views
Barabara hii imekuwa ikitengenezwa lakini hata miezi miwili haiishi inafumuka, ina matuta kuliko Barabara za Changarawe wakati ni barabara kubwa (cross country road). Ukifika eneo la karibu na...
0 Reactions
2 Replies
604 Views
Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul, ameitaka Serikali kuweka mfumo huru wa kupima matumizi ya vifurushi vya data ili kumaliza malalamiko ya wananchi dhidi ya watoa huduma za mitandao ya simu...
0 Reactions
4 Replies
366 Views
Wanajamvi kama kichwa kilivo. Nimeitoa huko mtandao wa us embassy hapa Tanzania. Kuna mkulungwa alimshambulia askari polisi anayelinda ubalozi wa US pale msasani na kutaka kupora bunduki. Lakini...
1 Reactions
10 Replies
951 Views
MSIKILIZE KWA MAKINI MH. JAFO ALIVYOMSHUKIA MBUNGE LUHAGA MPINA https://youtu.be/6cgETStbjyQ?si=Y9udHaNAYD8ZoIfE Soma pia Mpina amvaa Waziri Jafo Bungeni: Wizara ifutwe, bidhaa Feki zimejaa, ni...
0 Reactions
4 Replies
495 Views
Daladala zinazofanya biashara ya kusafirisha abiria kati ya Kigamboni kwenda Kongowe -> Mkuranga -> Toangoma kupitia Mjimwema zimegoma kufanya kazi baada ya kuwa na kipande kibovu hivyo kulazimika...
0 Reactions
2 Replies
500 Views
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari , Jerry Silaa amesema Watumiaji wa intaneti nchini wameongezeka kutoka milioni 37.3 April, 2024 hadi milioni 49.3 April, 2025 sawa na ongezeko la...
0 Reactions
3 Replies
368 Views
kama Hakimu ananifanyia mambo ya kuninyima haki yangu naweza kumpeleka katika mamlaka gani kumshitaki (siyo mahakamani). Unaona kabisa kuwa huyu hakimu ana ubia na mshindani wangu . Mamlaka yake...
1 Reactions
0 Replies
106 Views
Hakuna jambo linakera kama unafika katika taasisi fulani hasa za serikali na benki unaambiwa huwezi kupata huduma au huduma itachelewa kwa sababu sijui mtandao hakuna au uko chini, duniani huko...
0 Reactions
0 Replies
213 Views
Baadhi ya walimu na Wajumbe wa Chama cha Walimu (CWT), wilayani Mbozi, mkoani Songwe, wameomba viongozi waliochaguliwa kuwaongoza kwa awamu nyingine kuhakikisha wanatetea maslahi yao ikiwa ni...
0 Reactions
5 Replies
530 Views
Asubuhi wife katoka kituo cha afya cha karibu hapa home kumwona mgonjwa ambaye ameanguka ghafla asubuhi hiyohiyo. Sasa wakati namuuliza akanambia walikuwa watu wengi sana walioenda kumwona huyo...
3 Reactions
8 Replies
406 Views
Jeshi la polisi mkoa wa Mwanza linapenda kutoa taarifa kuwa leo tarehe 15.05.2025 majira ya saa nne asubuhi huko mtaa wa Buguku, kata ya Buhongwa, wilaya ya Nyamagana, limemkamata na linaendelea...
11 Reactions
71 Replies
5K Views
Unakuta una taarab nyingi utafikiri umeshafika mwisho wa safari. Ofcourse atukufundishi namna ya kuishi na hayo mafanikio yako ila kumbuka kushuka chini ni kwa kasi sana zaidi ya ulivyokuwa una...
0 Reactions
1 Replies
279 Views
Kuna viongozi na watu maarufu ambao ni ndugu ila kwasababu flani flani wameamua undugu wao kuuficha yaani usijulikane public. Mbinu moja wapo ya kuficha undugu ni kutumia majina tofauti hasa ubini...
30 Reactions
157 Replies
36K Views
Mwanafunzi wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Kilimanjaro (KICHAS), Erick Sawe(21) anadaiwa kujiua kwa kujinyonga chooni katika nyumba aliyokuwa amepanga eneo la Kiriwa chini, Kata ya Rau...
3 Reactions
45 Replies
2K Views
ARUSHA NI VITA YA EGO; MAKONDA VS GAMBO JIVISHE uhakimu, andika hukumu ya Paul Makonda. Ametumwa na Rais Samia Suluhu Hassan, kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Mkuu wa mkoa ni nembo ya rais...
0 Reactions
2 Replies
587 Views
Naona kama masuala ya uwanja huu yako restricted kwa free media tour. Nashauri Msigwa awaache waandishi wa habari wapite kila kona ikiwamo vyooni, vyumba vya kubadilishia nguo, VIP, waangalie...
2 Reactions
16 Replies
752 Views
Anonymous
Naomba ujumbe huu ufike kwa Mamlaka husika ya LATRA, Daladala za Kigamboni Wilayani na Temeke hazifiki Wilayani, zinaishia Kigamboni Mwisho. Pili, nauli ya kutoka Kigamboni Mwisho hadi Temeke...
1 Reactions
0 Replies
309 Views
"Binafsi ningeshauri hawa wanaohama CDM, wasitafute jukwaa lingine lolote lile lililopo kufanya siasa zao. Kwa maana wasiingie chama kingine cha siasa kati ya vilivyopo!! Kwa sababu walishawahi...
0 Reactions
0 Replies
314 Views
Back
Top Bottom