Kwa miongo mingi sana mwanamke kote duniani alionekana ni kiumbe dhaifu, dhalili, kisichojiweza wala kujielewa, ndio maana wakakinyima elimu, uhuru na hata utashi hii yote sio kama mwanamke alikua...
Haya ni baadhi ya maneno ya Yesu yaliyorekodiwa kwenye Biblia, yakisisitiza kuwa alitumwa na Mungu na hakuwa na mamlaka binafsi.
Mafundisho yangu si yangu mwenyewe. Yanatoka kwa yule...
Hapa JF kuna wale vibaka wanaopenda kusifia kila jambo hata kama ni baya.
Kuna hawa wanawake walikuwa maraisi yani matendo yao ni kama binadamu mmoja.
Waliua wanaharaksti,waliuza...
MKUU wa Wilaya ya Maswa, Dkt. Vicent Naano amewataka viongozi wa dini kutumia nafasi yao kuhakikisha amani na utulivu wa nchi unaendelea kudumishwa, hasa katika kipindi hiki kinapoelekea uchaguzi...
Naanza kwa kuwasalimu No reforms ! (mjibu kwa makelele no elections)
Wakuu nimekuwa na hii observation mjini Dar na zanzibar kwa ujumla kumekuwa na paka wengi hususani hawa wakuzurura (wa mtaani)...
Wizara ya Afya imeendelea kufanya ufuatiliaji wa karibu na kutoa taarifa za kila siku kuhusu magonjwa ya mlipuko pamoja na tetesi za uwepo wa magonjwa hayo nchini. Katika kipindi cha kuanzia mwezi...
Katika kitu kilichonishangaza Arusha ni kuhusu mabucha ya nyama. Arusha nyama kwenye mabucha ni bei moja, mabucha yote kutokana na kua na chama cha wenye mabucha ambacho hiko ndio kinaamua bei ya...
WATALII CHINA NA INDIA WAMEONGEZEKA
Kupitia mikakati mahsusi ya kutangaza utalii kwa kushirikiana na balozi za China na India, Serikali imefanikiwa kuvutia masoko mapya ya utalii.
Filamu ya...
Huu ndo wito wangu kwa nchi za Kiarabu. Watusaidie sisi waumini wao na ndugu zao kutujengea Misikiti Mikubwa kila Wilaya na Tarafa.
Pia watujengee na Madrasa nyingi za kutosha tuwafundishe...
Kumbuka si kila Taarifa unayokutana nayo mtandaoni ni ya Kweli. Thibitisha kabla ya kuiamini na kuisambaza, kwani utaiweka jamii kuwa salama dhidi ya Taarifa Potofu.
Unaweza kuwasilisha Taarifa...
Kiimani malaika ni kiumbe asiyekua na dhambi japo kuna nyakati yupo mwadamu alidai kwamba akiwa mbinguni atakua anawaongoza, nawaza tu Do we have another Engel in our country? If so now we are...
Wakati wawekezaji wanaochangia kwa kiwango kikubwa kuzalisha bidhaa ambazo zinapelekea uwepo wa taka rejeshi kwenye mazingira wakiendelea kuneemeka, lakini maisha ya waokota taka hizo yapo...
Kutokana na matukio ya matajiri wa Arusha waliopoteza maisha yao,kumetokea mchanganyiko wa mawazo wengine wakisema ni mabilionea na wengine wakipinga.Bilionea ni mtu ambaye asset zake zimefikia...
Wakuu,
Karibuni tufahamu kwa uchache kuhusu nchi ya Finland kuhusu usawa wa haki na maisha ya kazi.
Nchi hii imekuwa kinara wa usawa wa kijinsia kwa muda mrefu. Wafinlandi wamezoea kuwaona...
Nimeona kitu kama kimondo juu kinaenda Kasi nikachukulia kawaidatu ghafla kikabarika rangi nakuwa chekundu kinawaka kamamoto kikaanza kushuka chini kamakinadondoka
Nikahisi tushashushiwa kiazi...
Leo tarehe 19 Mei, 2025 Ujumbe wa Tanzania kutoka Wizara ya Madini, ukiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo, umewasili jijini London nchini Uingereza kwa ajili ya kushiriki...
Wakuu
Nimeamka kutafakari na kuja na hitimisho la tafakuri yangu kuwa ENL alikuwa mtu na nusu
Kwanza alikuwa ni msomi na mkimya asiyependa kuonekana sana kwa watu,mchaMungu na mpenda maendeleo...
Utumbo usitupwe. Sisi tunalia ndizi. Ni kitu kitamu sana. Na hilo nadhani wengi hamjajua. Naomba sana Serikali sikivu izingatie suala la kuhakikisha utumbo hautupwi na unatumika kwa sisi wapwani...
Baada ya kudumu na mwanamke miaka 10 tokea shuleni, licha ya migogoro mingi kuwepo kati yangu na yeye, nilishawapa story ndani humu, nirejee kwa ufupi, ni kwamba nilimpatia mimba (kwa mujibu...