Habari zenu wanaJF. Nilikuwa nauliza kuhusu Aliexpress mwenye ujuzi nao tafadhali atuthibitishie. Jana nilipata kutextiwa whatsapp kwa namba ngeni akijitamvulisha kuwa ni mfanyakazi wa Ali...
Huu uraibu nilidumbukia rasmi mwaka 2016 nikapigwa wee akili ikaja kunikaa sawa mwaka 2021 Niko nyang'anyang'a. Nikasema basi sirudi Tena huko.
Hamna tim ambayo siijui, ligi zote zipo kichwani...
Habari wana jamvi mimi namshukuru muumba wa mbingu na ardhi, mimi ni mfanyakazi wa idara fulani nina miaka zaidi ya kumi kazini, kuna ndugu yangu mmoja mzanzibar alinifundisha kamari [betting]...
Nchini India watu wengi wameathilika na program ambazo zinatoa mikopo ya pesa kwa kuweza kudhalilishwa kutokana na mikopo waliokopa.
Takribani zaidi ya wahindi 60 wamejiua baada ya kunyanyaswa na...
Habari Wakuu.
Nauliza kwa nia njema, kwa heshima na kwa kutambua ugumu wa majukumu ya uongozi,
Kwanini viongozi wengi hawajibu SMS za watu?
Sijafika kulalamika, bali nataka kuelewa. Mara kadhaa...
Katika maisha Kuna moments inafika tunakutana na changamoto ambazo kwa namna moja au nyingine automatically zipo juu ya uwezo wetu.
Matokeo yake ni pale mtu anafanya mambo mabaya akidhani ndio...
SABATO NJEMA ....
"Ee Tanzania, Tanzania… Uwauaye Wakosoaji wako Kama Yerusalemu"
Neno Kuu Mathayo 23:35
“Ili juu yenu ije damu yote ya haki iliyomwagika juu ya nchi, tangu damu ya Habili...
Kama kichwa cha habari kilivyo nauliza kama kuna member humu alipata matibabu kwa voda bima ya vodacom hali ikoje na je huduma zote zinapatikana ikiwemo upasuaji,kunywa na meno,uzazi na magonjwa...
Najiuliza hapa Bei ya kuvuta umeme nguzo Moja ni Bei Gani Kuna jamaa wameniambia 1m hivi ni kweli wakuu au wanataka kunipiga maana sielewi taratibu mnaojua mnijuze wakuu@Tanesco
Kuna watu wanakiri kwamba wamepata utajiri baada ya kupewa "dawa" na waganga wa kienyeji au wachawi. Kulingana na Maandiko, inawezekana shetani akakupa mali lakini lazima ukubali kumsujudia...
Habari za jioni.
Nimeshindwa kupata usingizi kutokana na wimbi la mawazo.
Wakuu Take home yangu 613K Mimi ajira mpya mwaka jana ila nimekuwa na wimbi la mawazo na kuona kama sitaweza kutoboa...
MWANAUME HALII
Wanaume wamefundishwa kuwa miamba, wasilie, wasilalamike, wasionyeshe uchungu. Lakini nyuma ya uso mgumu na sauti ya kujiamini, kuna wanaume wanaovunjika taratibu ndani kwa ndani...
Taswira ya kweli ya wanaume wawili waliopigwa picha kutoka Damascus mwaka 1889:
Mkristo Samir alikuwa mlemavu wa kupooza na pia alikuwa mfupi. Na Mohammed, Mwislamu kipofu aliyekuwa akimbeba...
Mei 15 kila mwaka nchi ya Burkina Faso inaadhimisha siku ya mila,desturi na tamaduni.
Siku hii ni fursa ya kuonesha vyanzo vyenye rutuba vya maarifa ya mababu zetu ili kuhamasisha upendo wetu kwa...
Ukianza kuingia singida na ukanda wa ziwa kuna mawe yanayo tumika kujenga misingi ya nyumba za huko.
Ingekuwa kwa wenzetu ndio wamepata haya mawe basi mpaka uchochoroni kungekuwa na rami.
Kipindi wanajeshi wa uganda wakifanya uvamizi na kuumiza watu ila mkuu wa mkoa muhamed kisoki aliwaita wanahabari na serikali kusema kinacho endelea mpakani ni mambo tu ya kutoelewana.
Wakati...
Nina hoja ya msingi kuhusu jinsi baadhi ya mitandao ya mikopo ya simu inavyokiuka makubaliano ya ulipaji. Kwa mfano ukikopa tarehe 15 mwezi huu, makubaliano yanaonyesha kwamba malipo yanapaswa...
Kati ya maajabu niliyokutana nayo Duniani yapo sita ambayo mpaka Leo yanaishi kwenye fikra zangu.
1.ilikuwa kati ya miaka 96 ad 98 wakati mdogo niliona nyoka ana vichwa viwili niliogopa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.