Nataka kuoa nahisi nimeruka mkojo na kukanyaga ding'o.

Nataka kuoa nahisi nimeruka mkojo na kukanyaga ding'o.

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2022
Posts
2,300
Reaction score
7,741
Baada ya kudumu na mwanamke miaka 10 tokea shuleni, licha ya migogoro mingi kuwepo kati yangu na yeye, nilishawapa story ndani humu, nirejee kwa ufupi, ni kwamba nilimpatia mimba (kwa mujibu wake) tunaishi mikoa tofauti na after hapo nikawa nahudumia mpaka kujifungua, baada ya kujifungua akawa hanipi time kabisa, akawa Yuko busy na mtoto, Mimi Ile Hali sikuipenda kwasababu nilikua excited kujua Hali ya mtoto na maendeleo yake, mkanishauri humu kwamba "mwanamke akijifungua, anakuwa hayuko normal"... tukakorofishana nae nikaamua kumpotezea kabisa, nikampa time ya yeye kuwa karibu na mtoto, mpaka nione mwisho wake, after 30 day tokea tugombane, akanipigia kuniomba hela,Then akaanza kunipa story kibao kwamba zile sms za ugomvi, Mama yake aliziona na akampiga marufuku asinitafute, licha ya Mimi kuhudumia Mimba tokea changa mpaka anajifungua, nikamuuliza kwahiyo wazazi wako Wana mpango mzuri wackumuhudumia mtoto?...red flag nikaiona nikamwambia anitumie picha za mtoto, nione maendeleo yake, akanitumia za kudownload, maana zile picha niliona Zina walakini, nilisearch kupitia Google lens, na kuona source alipozitoa hizo picha 😁, kwasababu tayari nilikua nimeshapiga hatua, nilishamove on kitambo, Ilo jambo halikunipa stress, kwasababu nilikua nategemea lazima itakua hivyo tu, nilichokifanya nikasecreenshot ile source na kumtumia, ili aone unyama alionifanyia Wala hakunijibu sms, ile. Nikawa nimekubali kuingizwa mjini.

Nikaingia kwenye mahusiano Mengine Kwa church girl mmoja, naona ananipenda japo siwaamini sana wanawake naona kama ni matapeli tu, sikumkuta bikra alikua na mahusiano yake uko yaliyomuumiza, nipo nae nilifikiri nataka kumuoa yupo na akili kidogo, na nipo huru kwake, kujua kila kitu chake...

Lakini huyu mwanamke kwenye bed Yuko namambo Mengi sana, ananyonya mpaka mkuyenge, sasa najiuliza huyu si Malaya tu kweli, mwanamke kama huyu ni wakuweka ndani kweli....

Imebidi wazo la kuoa liondoke kwanza nipige pige tu mpaka maana najiuliza maswali mengi kidogo...

Naona nitaoa 2035, swala la kutafuta mke game inakua tight, au wazee nisijudge ya nyuma nisonge mbelee?
 
Mkuu nishajua tatizo lako.

WEWE UPO CONFUSED NA USIPO KUWA MAKINI HUYO MWANAMKE ATAKUPELEKA HAPA:
Screenshot_20250519-140807.png
 
Mkuu mademu siku hizi wanaanza kunyonyeshwa mkuyenge wakishavunja ungo tu. Kila mwanamke ni Malaya inategemeana na tu nawewe unayemfuata. Si wake za wachujgaji wala sheikh wanaliwa tu na umalaya ndio imekua kama fashion.
Ushauri:
Suala la kunyonywa mkuyenge lisikukatishe tamaa, endelea tu kwani wewe hujawahi kunyonya kitumbua au kuzama chumvini..najua umewahi. Jitahidi sana ujikite katika Tabia zake na hulka zake uone kama utaweza kumvumilia au lah. Usipuuze chochote ambazo ni red flag na ukitaka ufanikishe hili usipende kufanya naye sex. Tafuta mtu ambaye unakua naye kwenye Open Relationship huku unaye huyu.

Kufanya hivyo itakusaidia kufanya maamuzi sahihi ambayo hayataongozwa au kutokana na nyege. Watu wengi wapo kwenye shida kubwa kwenye ndoa zao kwa sababu nyege ziliwafanya vipofu wa muda wasione tabia wasizopendezwa nazo kwa Wachumba wao. Ukipenda kut**mba jiandae kuoa malaya aliyekubuhu.
 
Sure mzee, upo sahii
Naelekea utu uzima na niamini kukuambia kuwa mwanamke huyo hana nafasi kwako na kama uongo mpe nafasi ya kipekee ndio utajuta na kukumbuka hii comment.

Wewe kinachokusumbua ni ile feeling ya intimacy kwa maana umemzoea na appear kuwa special kwako ingawa ni msumbufu ila tambua kuwa ni akili yako inakudanganya.

The best person for u is you.

Tafuta mtu ambae hauapati presha kuishi nae, achana na mapenzi ya tamnthilia oooooh!! Shaur yako
 
Sure mzee, umeongea jambo kubwa.
 
Hapa unamzungumzia yule wa kwanza? Au huyu mwingine? Huyu mwingine hatuna miezi nae hata miwili, Sina feelings nae kwasababu moyo umekua mgumu, tupo nae tu, namuona wa kawaida, japo yeye ndio anapambana
 
Ahahaha leo bana.....

Oyaa mi siwowi wakuu daaah watu wanalika jamen..

😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Hi ya leo siri yangu ila kwakuwa bado nipo hostel ngoja nitoke kwanza huo mwezi wa saba takua rasmi raia
 
Mwanamke akiwa chumbani anaruhusiwa kuwa kama Kahaba kwa Mume wake.
Akilala kama gogo utakuja kumsema tena hapa.
Kama anatabia nyingine mbaya, utaipima mwenyewe ila kama ni hiyo tu ya utundu chumban, hiyo ni fursa.
Hahahaha noted, kikubwa tabia si ndio?
 
Back
Top Bottom