ni osifi ya salon kuna TV hua natumia kukonect katika decoda ya DSTV, siku iyo Nilitoa,nikawa natumia waya wa AV. gafla sioni.
dogo ndo hua anashinda mi nakua na harakati zingine Sasa huu waya...
Salaam wakuu. Naomba msaada tajwa hapo juu kuhusu posho Kwa viongozi Hasa kuanzia ngazi ya wizara na juu yahapo.
Kinachonitatiza nikwamba,hivi kiongozi mwenye dhamana ya kushughulikia masuala...
Wazungu weupe ni asilimia saba tu 7% only!, pato la kiuchumi kwa nchi hiyo kwa taarifa mapato ya zaidi ya 80% nchini humo, na juhudi za weupe hao ambao ni only 7%, that mean 93% za weusi ndizo...
Nimepokea taarifa kutoka kwa Rev. Daniel Kulola ambaye ni mtoto wa Bishop Moses Kulola kwamba, Askofu Kulola amefariki dunia muda mfupi uliopita.
Nitaendelea kuwapa...
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeeleza sababu za kuupeleka mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane ya Morocco, kwenye Uwanja wa New Amaan...
Mpaka Sasa Binadamu Hajajua Alitokea Wapi . Je, Tutawahi Kujua? Na dhumuni la Kuishi ni lipi?
Moja ya maswali makubwa yanayomkabili binadamu tangu mwanzo wa fikra ni: Binadamu alitokea wapi...
Wadau habari zenu,
Napenda kuwasalimia kwa heshima kubwa sana, hususan kwa wote waliopo humu Jamiiforums mnaotoa maarifa, msaada wa kiroho, na hekima kila siku kwa wenye changamoto mbalimbali...
Dr. Mollel anadai kwamba Tundu Lissu:
1. Ana IQ ndogo sana
2. Ubongo wake unaweza kubeba GB chache tu
3. Kinachomfanya awe muongeaji mzuri ni bidii yake katika kusoma Vitabu!
Hizo ni sifa au kejeli?
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini Tanzania, Sheikh Issa Ponda, pamoja na viongozi wengine 11 wa Kiislam, wamefungua kesi ya kikatiba katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam...
Kwa siku hivi karibuni kama siku tatu mtandao wa Yas unakabiliwa na changamoto ya kutuma ujumbe kutoka kwa wateja wao
Jambo ambalo limekuwa tatizo kwani wateja wameshindw kuwasiliana kwa namana...
Kufuatia mbadiliko katika sheria ya utekelezaji wa haki za msingi za binadamu The Basic Rights and Duties Enforcement Act, Cap 3 RE 2019, yaliyofanyika mwezi machi mwaka huu, yamepelekea shauri la...
Kesi namba 17740 ya mwaka 2024 ya mauaji ya mtoto aliyekuwa na Ualbino Noela Asimwe Novath inayowakabili washitakiwa tisa akiwemo padri Elipidius Rwegoshora na wenzake imetajwa tena leo tarehe...
Mwandishi kampiga spana za kutosha ndugu Mbunge, ila mbunge amekuwa na majibu ya mtu wa kawaida sana na mengine kuashiria hajui mahitaji ya wananchi ni nini, yeye anataka kulinganisha Tanzania...
Nimefanya utafiti nmegundua watu wenye majina ya asili ya kabila Lao hua wanafanikiwa Sana, iwe kimaisha, utajiri au kielimu, ni kama Yana baraka Fulani hivi.
Haya majina ya kizungu na kiarabu...
Kuna habari gani kutoka Wizara ya Afya Tanzania juu ya hili swala la watu wengi kuugua Mafua na Kifua kiholela holela na mfululizo.
Pia soma: Uganda: Wizara ya Afya yatoa taarifa Juu ya Wimbi la...
Aisee, huku mtaani kuna jamaa alinunua bajaji juzi, akampa dereva ili ampelekee hesabu kila siku. Leo asubuhi bajaji imepata ajali mbaya sana—haitamaniki kabisa.
Imeharibika vibaya kiasi kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.