Sababu za kupinga Bob Sambeke sio bilionea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sababu za kupinga Bob Sambeke sio bilionea

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chimbuvu, Apr 16, 2013.

 1. Chimbuvu

  Chimbuvu JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2013
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 4,402
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Kutokana na matukio ya matajiri wa Arusha waliopoteza maisha yao,kumetokea mchanganyiko wa mawazo wengine wakisema ni mabilionea na wengine wakipinga.Bilionea ni mtu ambaye asset zake zimefikia bilioni moja na kuendelea kwa Tanzania.

  Ni vema tukaibadilisha hii zana kwa kuita bilionea mtu ambaye hata ajira hajatoa kwa wananchi ama impact kwa taifa lake.

  Kuhusu Bob Sambeke na hiyo ndege,inabidi wote tufunguke akili,je unajua kuna ndege zinauzwa hadi laki 5 na serikali?

  Je unajua 2c walishawahi uza ndege kwa millioni 60?and guess what aliyenunua ni owner wa precision na mikataba hadi tender zipo wazi.

  Kwa hiyo suala la mtu kumiliki ndege ndogo used sio shida labda kama ingekuwa mpya kaitoa kiwandani hapo ni sawa.

  Suala lingine alikuwa akimiliki kampuni gani?mfano wa wajasiriamali ambao mtu anaweza kuaccept kuwa ni mabilionea baadhi ni kama wafuatao

  ndesamburo-hotels,tours
  mansoor-mansoor oil
  sunda- mount meru,tanzanite etc
  Reginald Mengi - ipp media,cocacola kwanza etc
  Mohmd Dewji-Mohamed enterprise tanzania ltd
  Erick shigongo-global publishers
  Michael ngareko- precision airways
  Koola Zadock- CEO ZEK Group and dar village 2nd largest shopping mall in tanzania
  bob sambeke-??????

  Hayo ni mawazo tu,
   
 2. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #2
  Apr 16, 2013
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,162
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  Kwani Zadock bado yupo katika list ya mabilionea nchi hii??!! kalagabaho!
   
 3. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2013
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,610
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Mie namiliki baiskeli ila ni billionea ................!
  Pia namiliki bustani ya mchicha na kabichi ......!
  Nimeajiri wakulima 10 ......!
  Nasema mie ni bilionea ...!
  Sasa bisha .........!
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2013
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,830
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  bongo watu wanazungumza bila data, ndo maana bongo mtu akinunua vitz m6 anajitangazia m10 na watu wanaamini.
   
 5. CYBERTEQ

  CYBERTEQ JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2013
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 7,466
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 0
  Kama ni hivyo hata kakaangu mmoja wa humu nI Billionea, Btw kuna umuhimu gani wa kuhoji mali alizonazo mtu aliyekufa, unataka mgao!
   
 6. BabaJonii

  BabaJonii JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2013
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 246
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Jamani!! Hivi kua billionea ni kua na Bil ngap?
   
 7. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2013
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,211
  Likes Received: 1,995
  Trophy Points: 280
  Mkuu uko sahihi kabisa! = A person whose wealth amounts to at least a billion dollars, pounds, or the equivalent in other currency. In Tanzanian currency = 1,000,000,000 ( dollars) times equivalent exchange rate
   
 8. Spike Lee

  Spike Lee JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2013
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 623
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Tatizo la Arusha hata mimi nikienda huko nikafika bar nikatoa ofa za bia na supu za ulimi kesho mji mzima watasema Spike Lee ni bilionea. Data za kuwajua mabilioni zinapatikana Forbes Magazine.
   
 9. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #9
  Apr 16, 2013
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 3,359
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  bold ya kwanza ana ubilionea upi?
  bold ya pili jamaa kafilisika hata kumaliza hiyo dar village utata...A1 inasuasua....outdoor ndio hivyo imekaiwa kooni
   
 10. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #10
  Apr 16, 2013
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 3,359
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  hahahahahahahaha
  cc Preta.Mr Rocky Erickb52
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Going Concern

  Going Concern JF-Expert Member

  #11
  Apr 16, 2013
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  kaka kamata bonge ya LIKE, eti billionea, billionea my ass...
   
 12. Chimbuvu

  Chimbuvu JF-Expert Member

  #12
  Apr 16, 2013
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 4,402
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Lakini unacho cha kusema kwake kuwa ni mmiliki wa kitu fulani what about bob sambeke?Soma historia ya donald trump,mtu kupata misukosuko ndio inayomuweka strong.

   
 13. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #13
  Apr 16, 2013
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,574
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Umenivunja mbavu.

  Hii inabidi aione Nyani Ngabu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #14
  Apr 16, 2013
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,162
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  ZeMarcopolo Mimi mbavu zangu huvunjika kila nikiwaza ule uzi wako wa "Joshua Nassary anajuta" eti alihofia kwenda jeshini akidhani atapigwa na kitu chenye ncha kali..h a ha ha..#Crazy!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #15
  Apr 16, 2013
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,088
  Likes Received: 3,465
  Trophy Points: 280
  Heshima kwenu wanajamvi,

  Ni kweli kumekuwa na mtindo wa kuwakweza baadhi ya wafanyabiashara wa kawaida kabisa na kuwaita mabilionea.Mfano mzuri ni huyu Babu Sambeke.Marehemu alikuwa anafanya biashara kubwa ya kukopesha watu fedha binafsi nawajua baadhi ya wafanyabiashara wakubwa waliokopa fedha kwake 1.Ove huyu ni mfanyabiashara ya wa magari na pia anajishughulisha na uchinjaji wa magari kwaajili ya kuuza spares (us 450,000/=) 2. Sunda mfanyabiashara na mchimbaji wa madini ya Tanzanite (Tsh 2 bilioni) 3.Mmiliki wa Snow Crest kiasi hakijulikani. 4 Wachimbaji wa wengi wa Tanzanite wanadaiwa kiasi kikubwa cha fedha walichokopa kwaajili ya kuendesha mashimo ya mawe.

  Bado kuna wafanyabiashara wengi wadogo wadogo walioporwa nyumba na magari kupitia mikopo ya Babu,mfano mmojawapo ni dalali wa viwanja anayejulikana kama Simba alikopa fedha akaweka nyumba anayoisha rehani siku ya siku aliposhindwa kulipa nyumba ikachukuliwa siku hizi anaishi Mwanama nyumba ya kupanga ya vyumba viwili,fikiria huyu katoka kwenye nyumba yake self contained,car park,gati kubwa na makorokoro kibao leo anakichukuliaje kifo cha Babu !

  Babu Sambeke ni mfanyabishara mkubwa ingawa biashara yake haijulikana rasmi na serekali huyu jamaa ni bilionea usiangalie kigezo cha kumiliki ndege ukadhani wanahabari wamekurupuka la hashaa jamaa alikuwa akimiliki biashara kubwa sana yenye kumuingizia fedha nyingi pasipo kulipa kodi ya serekali.Inashangaza sana jambo kama hili linatendeka wazi wazi huku serekali ikikubali kuibiwa mapato yake kupitia ukwepaji wa kodi mkubwa.Nina hakika kufuatia kifo chake fedha zake nyingi zitapotea (kufa kufaana).

  Mwisho serekali ijipange vizuri ihakikishe inapanue uwogo wa walipa kodi wake.Wafanyabiashara wakubwa aina ya Babu ni wengi lakini utashangaa serekali haina taarifa zao za mapato na matumizi.

  Marehemu Wakili Nyaga huyu ni bilionea kwa vigezo vyote ukitaka kujua uwezo aliokuwa nao nenda Mawala estate ni zaidi ya eka 200 4 kilometa from city center kaweka miundo mbinu yote kuanzia barabara za lami,mtandao wa maji na umeme.Isitoshe Mawalla alikuwa na connection za matajiri wakubwa wa dunia kama Paul Tudor.Pia ana miliki estate huko South Afrika na Zimbabwe usishangae kwenye mazishi yake mawaziri walikuwa wanapigana vikumbo.
   
 16. F

  FJM JF-Expert Member

  #16
  Apr 16, 2013
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,090
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Swala la Babu Sambeke kuwa billionea halina ubishi unless kama watu wanataka kupoteza muda. Babu ni tajiri kabisa na angeweza kuishi mahali popote kwa raha na starehe. Labda swali lingekuwa - utajiri wake aliupataje? lakini kwamba ni bilionaire - hilo halina ubishi.

  Now, matajiri, hata hao tunawaosikia huko majuu, si wote walipata hela zao kwa njia zilizoonyooka. Babu Sambeke amekuwa ni mtu wa mikeke maisha yake yote, na pengine mazingira aliyokulia yamechangia maana ni mtu wa kuwekeza sana. Pamoja na kwamba alitoka kwenye familia yenye uwezo, Babu katafuta hela yake mwenyewe (the end justify the means).

  Shule (kwa maana ya kukaa darasani ile ya kawaida) haikupata nafasi kwa huyo bwana. He went straight kwenye utafutaji na hakuwa na mashaka alikuwa anataka nini maishani - sucess! Na chochote,yoyote atakeyejaribu kumletea mizengwe atatamani ardhi ipasuke.

  Na hii ya kukopesha mbona hata huko majuu ipo sana tu.
   
 17. kinyoba

  kinyoba JF-Expert Member

  #17
  Apr 16, 2013
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 1,231
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Usiongee ki ushabiki au upenzi, babu alikua na umilionea gani? Ndege mbovu zile used ni za kumilikiwa na bilionea? Angekua bilionea asingekuwa na duka la kichovu Kama lile lililopo opposite na soko la chini pale Moshi mjini na duka lenyewe alikuwa anauza mama yeke. Biashara zenyewe anazofanya hazikuwa zikieleweka, hata makazi ya kwao mbona kawaida saaaana? Ukisikia mtu anaitwa bilionea kaa kimya, babu sambeke alikuwa na hela ya kawaida saaaaana ya kumtosha yeye na familia yake na kufanya matanuzi mjini.
   
 18. F

  FJM JF-Expert Member

  #18
  Apr 16, 2013
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,090
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Kiongozi, punguza vuta pumzi, na utulizane. Unao uhuru wa kupinga, maana tunajadiliana hapa. Sijabatisha. Duka lililo karibu na soko la Moshi ni la marehemu Mzee Sembeke (Baba yake Babu). Mzee Sambeke naye alikuwa na vijisenti kiasi wakati wa uhai wake. Na kama umenisoma vizuri, Babu hakuwa mtu kutegemea Baba au mama. Alikuwa anapambana kivyake, kuanzia miaka hiyo ya 80s.

  Kwao wapi, Karanga? Mambo ya Karanga ni ya zamani, Babu alikuwa mara nyingi Arusha. Karanga anakaa mama yake na kaburi la Mzee Sambeke.

  Pia soma post No 15.

  Babu hela ilikuwepo, tena miiingi sana. Swali linatakiwa alizipataje?
   
 19. Spike Lee

  Spike Lee JF-Expert Member

  #19
  Apr 16, 2013
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 623
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nadhani wewe umetufahamisha vizuri kuhusu hawa jamaa ambao wanaitwa mabilionea.

  Forbes wanautambua utajiri hao jamaa au ndio kazi za kimafia.
   
 20. Bob Fern

  Bob Fern JF-Expert Member

  #20
  Apr 16, 2013
  Joined: Oct 28, 2012
  Messages: 880
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kaka kashfa hii
   
Loading...