Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika maisha Kuna moments inafika tunakutana na changamoto ambazo kwa namna moja au nyingine automatically zipo juu ya uwezo wetu. Matokeo yake ni pale mtu anafanya mambo mabaya akidhani ndio...
2 Reactions
0 Replies
269 Views
SABATO NJEMA .... "Ee Tanzania, Tanzania… Uwauaye Wakosoaji wako Kama Yerusalemu" Neno Kuu Mathayo 23:35 “Ili juu yenu ije damu yote ya haki iliyomwagika juu ya nchi, tangu damu ya Habili...
1 Reactions
1 Replies
302 Views
Kama kichwa cha habari kilivyo nauliza kama kuna member humu alipata matibabu kwa voda bima ya vodacom hali ikoje na je huduma zote zinapatikana ikiwemo upasuaji,kunywa na meno,uzazi na magonjwa...
1 Reactions
7 Replies
527 Views
Najiuliza hapa Bei ya kuvuta umeme nguzo Moja ni Bei Gani Kuna jamaa wameniambia 1m hivi ni kweli wakuu au wanataka kunipiga maana sielewi taratibu mnaojua mnijuze wakuu@Tanesco
5 Reactions
56 Replies
5K Views
Kuna watu wanakiri kwamba wamepata utajiri baada ya kupewa "dawa" na waganga wa kienyeji au wachawi. Kulingana na Maandiko, inawezekana shetani akakupa mali lakini lazima ukubali kumsujudia...
4 Reactions
12 Replies
793 Views
Habari za jioni. Nimeshindwa kupata usingizi kutokana na wimbi la mawazo. Wakuu Take home yangu 613K Mimi ajira mpya mwaka jana ila nimekuwa na wimbi la mawazo na kuona kama sitaweza kutoboa...
53 Reactions
401 Replies
21K Views
MWANAUME HALII Wanaume wamefundishwa kuwa miamba, wasilie, wasilalamike, wasionyeshe uchungu. Lakini nyuma ya uso mgumu na sauti ya kujiamini, kuna wanaume wanaovunjika taratibu ndani kwa ndani...
9 Reactions
30 Replies
1K Views
Taswira ya kweli ya wanaume wawili waliopigwa picha kutoka Damascus mwaka 1889: Mkristo Samir alikuwa mlemavu wa kupooza na pia alikuwa mfupi. Na Mohammed, Mwislamu kipofu aliyekuwa akimbeba...
2 Reactions
1 Replies
582 Views
Mei 15 kila mwaka nchi ya Burkina Faso inaadhimisha siku ya mila,desturi na tamaduni. Siku hii ni fursa ya kuonesha vyanzo vyenye rutuba vya maarifa ya mababu zetu ili kuhamasisha upendo wetu kwa...
0 Reactions
4 Replies
330 Views
Ukianza kuingia singida na ukanda wa ziwa kuna mawe yanayo tumika kujenga misingi ya nyumba za huko. Ingekuwa kwa wenzetu ndio wamepata haya mawe basi mpaka uchochoroni kungekuwa na rami.
5 Reactions
22 Replies
915 Views
Tafadhali angalia wawakilishi na viongozi wa Tanzania. Kuna viashiria vya urithi katika siasa.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kipindi wanajeshi wa uganda wakifanya uvamizi na kuumiza watu ila mkuu wa mkoa muhamed kisoki aliwaita wanahabari na serikali kusema kinacho endelea mpakani ni mambo tu ya kutoelewana. Wakati...
0 Reactions
1 Replies
268 Views
Nina hoja ya msingi kuhusu jinsi baadhi ya mitandao ya mikopo ya simu inavyokiuka makubaliano ya ulipaji. Kwa mfano ukikopa tarehe 15 mwezi huu, makubaliano yanaonyesha kwamba malipo yanapaswa...
1 Reactions
15 Replies
798 Views
Kati ya maajabu niliyokutana nayo Duniani yapo sita ambayo mpaka Leo yanaishi kwenye fikra zangu. 1.ilikuwa kati ya miaka 96 ad 98 wakati mdogo niliona nyoka ana vichwa viwili niliogopa...
40 Reactions
212 Replies
10K Views
Habari wakuu, Ni aibu kuwa na mbunge kama huyu haoni umuhimu wa periodic table kisha baadae utamkuta anasifia mama ameleta soko la madini kuna kila sababu ya kufanya reform kabla ya uchaguzi watu...
23 Reactions
137 Replies
6K Views
Nimeshangaa Mbunge wa Arusha kuzindua daraja lenye mabanzi mawili Yaani ameenda ni timu ya viongozi kutoka CCM kufanya mzaha na upumbavu kama huu Hilo daraja kulitengeza haizidi elfu 20 za...
12 Reactions
88 Replies
4K Views
Unaacha familia yako na watoto wako kwa uchungu unakwenda vitani kupigana mpaka kifo na mwanaume mwenzako aliyeacha familia yake kwa uchungu mkubwa kama wewe kwa sababu ya maamuzi ya wapuuzi ambao...
22 Reactions
133 Replies
15K Views
Mfano kusikia gharama za maisha ya mkoa flani zipo chini kumbe kuingiza hata pesa kidogo ni shida, Kusikia mkoa flani una mzunguko wa pesa kumbe kumbe maisha yapo juu mno
1 Reactions
7 Replies
638 Views
"Wakati mwingine, wewe ndiye tatizo." Kuna baadhi ya kweli katika maisha ambazo ni ngumu kumeza—lakini kuyakwepa hakuyabadilishi. Yanauma, lakini yakikubaliwa, yanaweza kukuokoa. Ukitaka kuwa...
3 Reactions
4 Replies
514 Views
Wajeda wamejengewa baa zao lakini wanakuja kitaa pub zetu huku ukizingua kidogo wanakuzibua Haya sasa mmoja kapoteza life hivi hivi mwisho wanakuja kutupiga wengine hatujui chochote. Tupo...
111 Reactions
413 Replies
34K Views
Back
Top Bottom