Akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu Wanawake (UWT), Mhe. Zaytuni Swai aliyeuliza kuhusu jinsi Serikali ilivyojipanga kupeleka umeme maeneo ya pembezoni mwa mji wa Arusha hususan kwenye Kata ya...
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali imefikisha umeme kwenye mitaa 58 ya Mji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime kati ya mitaa 81 ya Halmashauri hiyo.
Mhe. Kapinga...
Wananchi wa Kijiji cha Andikoni, Shehia Chumbageni, Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba walazimika kuwabeba wagonjwa wakiwa kwenye vitanda katika mabega kutokana ubovu wa barabara ili kupata...
Watoto wa 2000 wamezidi utukutu, muda mwingine huwa najiuliza hawa vijana ni watanzania kweli ama wakenya?
Yaani mwana IT unasogeza kompyuta mpakato mapajani, unaselect picha ama video ya Mama...
Wananchi wa vijiji vya Likonde, Hiyari, Mkwajuni, Mwembetoga, Kyoba, Msijute, Mbuo na Mayanga, mkoani Mtwara, wameeleza kuridhishwa kwao na mchango mkubwa unaotolewa na Kiwanda cha Saruji cha...
Eti oooh ujio wa DP world utaongeza mapato na nchi itakua Dubai ndogo kwa ufanisi wa bandari
Nchi itatajirika kwa mapato
Leo kiko wapi?Nothing has change
Kiujumla hakuna kilichobadilika
Kwa...
Utafiti ulofanywa na watu binafsi kupitia yafuatayo
1. Uwezo wa kuhoji kiongozi aliyeko madarakani
2. Uwezo wa Kumkosoa hata mtandaoni
3. Uoga wa Vyombo vya Dola, yaan Polisi na Mahakama
4. Uwezo...
Bila kujali kama waliingia kwa mlango wa mbele au waliingizwa kupitia mlango wa nyuma, bunge lina Wabunge alau hata 5?
Nimejaribu kuwahesabu bila mafanikio. Nimepata kama watatu tu:
1. Jumanne...
PIRANHA ni aina ya samaki wa maji baridi wanaopatikana hasa katika mito ya Amerika Kusini, kama vile Mto Amazon.
Piranha wana meno yenye ncha kali sana, yaliyojipanga kama mswaki, yanayoweza...
Wakuu habari zenu na poleni na majukumu .
Mimi ni msukuma wa mwanza nimeishi mwanza - Nyashishi takribani maisha yangu yote lakini kwa miezi minne sasa nimetua hapa Dar na sina mpango wa kuhama...
Naomba kujua nani alibuni huu mradi ambao ulipelekea vifo vya Watanzania wenzetu .
Nafikiria kwenda mahakamani kuishitaki serikali ya awamu ya nne hasa wizara ya Afya kuanzia Waziri , naibu...
Mnamkumbuka IGP mstaafu Omary Mahita enzi akiwa madarakani miaka ile? Mzee wa ngunguri!
Alikuwa mwamba kwelikweli, IGP aliyekuwa na mamlaka haswaa, IGP mbabe na mwenye hulka ya aina yake...
Tanzania ni nchi ambayo unapeleka idea kwa mtu au kampuni wanaikataa na tena wanaiponda ila ukikaa baada miezi kadhaa unaona wanaitumia wengi hii imewatokea
Hata yule bosi wa zamani wa mawingu...
Dar es salaam ilijulikana kama mji mkuu na makao makuu ya Tanzania. Ila kwa sasa serikali imeamia Dodoma ambayo ndiyo makao makuu ya nchi.
Shauku yangu ya kuizunguka Dar nzima ni katika harakati...
Ni ipi hasa sauti ya walimu katika taifa letu? Je, ni sauti inayosikika, inayoheshimiwa, inayotetewa? Au ni sauti iliyozimwa kwa hofu, ukimya, na matumaini hewa?
Walimu ndio wanaochonga maisha ya...
http://www.youtube.com/watch?v=cl2Ow-Goxvc
haya sheshe ndo hilo,na jamaa kakutwa na pingu na bastola risiti hana,watu wengine unawaona kama watiifu kumbe ni majambazi na waporaji,sasa hii unaweza...
Ana kila Kitu tena huyu ni zaidi hata ya alivyokuwa Nape Nnauye na alivyo huyu Uliyemteua sasa Dada Sofia Mjema ambaye kwa Uzito wa hiyo nafasi sioni kama ana amsha amsha na Ubavu wa Kutema...
Mit 20:27 SUV
[27] Pumzi ya mwanadamu ni taa ya BWANA; Hupeleleza yote yaliyomo ndani yake.
Ukisikia unachunguzwa au unafuatiliwa nyendo zako zote, inaweza kukushtua na kukuongeza umakini katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.