Hawakuumua wala kumsulubu

Hawakuumua wala kumsulubu

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,767
Reaction score
15,204
Aya inayozungumzia hili ipo katika Surat An-Nisa (4:157–158):

"Na kwa kusema kwao: Sisi tumemwua Masihi Isa mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu – hali ya kuwa hawakumwua wala hawakumsulubu, bali walifanana naye tu. Na hakika wale walio khitalifiana juu yake bila ya yakini ndani yake. Hawana ilimu ya yakini juu ya hilo ila wanafuata dhana tu. Wala hawakumwua kwa yakini. Bali Mwenyezi Mungu alimnyanyua kwake. Na alikuwa Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu, Mwenye hikima."
(Qur'an 4:157–158)

Maana yake katika Uislamu:

1. Yesu hakuuliwa msalabani: Waislamu wanaamini kuwa haikuwa Yesu aliyesulubiwa, bali mtu mwingine aliyetwishwa sura yake akasulubiwa badala yake.

2. Yesu alinyanyuliwa mbinguni: Mungu alimwokoa Yesu na akamwinua juu, na ataendelea kuishi hadi atakaporudi tena duniani kabla ya Siku ya Kiyama.

MAMA YAKE

na Maryamu binti Imran, aliyehifadhi utu wake, tukampulizia ndani yake kutokana na roho yetu, na akayasadiki maneno ya Mola wake na vitabu vyake, na alikuwa miongoni mwa watiifu."
(Qur’an 66:12)

Maryam alikuwa mwenye uchamungu, mtii wa hali ya juu kwa Mwenyezi Mungu.

Alichaguliwa juu ya wanawake wote

"Na (kumbuka) Malaika waliposema: Ewe Maryamu! Hakika Mwenyezi Mungu amekuchagua, na akakutakasa, na akakuchagua juu ya wanawake wa walimwengu wote."
(Qur’an 3:42)
 
Aya inayozungumzia hili ipo katika Surat An-Nisa (4:157–158):

(Qur'an 4:157–158)

Maana yake katika Uislamu:

1. Yesu hakuuliwa msalabani: Waislamu wanaamini kuwa haikuwa Yesu aliyesulubiwa, bali mtu mwingine aliyetwishwa sura yake akasulubiwa badala yake.

2. Yesu alinyanyuliwa mbinguni: Mungu alimwokoa Yesu na akamwinua juu, na ataendelea kuishi hadi atakaporudi tena duniani kabla ya Siku ya Kiyama.

MAMA YAKE

na Maryamu binti Imran, aliyehifadhi utu wake, tukampulizia ndani yake kutokana na roho yetu, na akayasadiki maneno ya Mola wake na vitabu vyake, na alikuwa miongoni mwa watiifu."
(Qur’an 66:12)

Maryam alikuwa mwenye uchamungu, mtii wa hali ya juu kwa Mwenyezi Mungu.

Alichaguliwa juu ya wanawake wote

(Qur’an 3:42)
Kwahiyo maandiko yenu yanakiri Hadi mtume wenu anakiri kwamba Yesu Kristo Yu hai nae ameketi mkono wa kuume wa Mwenyezi huko juu mbinguni?

Hallelujah!!
 
Aya inayozungumzia hili ipo katika Surat An-Nisa (4:157–158):

(Qur'an 4:157–158)

Maana yake katika Uislamu:

1. Yesu hakuuliwa msalabani: Waislamu wanaamini kuwa haikuwa Yesu aliyesulubiwa, bali mtu mwingine aliyetwishwa sura yake akasulubiwa badala yake.

2. Yesu alinyanyuliwa mbinguni: Mungu alimwokoa Yesu na akamwinua juu, na ataendelea kuishi hadi atakaporudi tena duniani kabla ya Siku ya Kiyama.

MAMA YAKE

na Maryamu binti Imran, aliyehifadhi utu wake, tukampulizia ndani yake kutokana na roho yetu, na akayasadiki maneno ya Mola wake na vitabu vyake, na alikuwa miongoni mwa watiifu."
(Qur’an 66:12)

Maryam alikuwa mwenye uchamungu, mtii wa hali ya juu kwa Mwenyezi Mungu.

Alichaguliwa juu ya wanawake wote

(Qur’an 3:42)
According to Quran ambayo iliandikwa miaka mingi baada ya Ukristo
 
Kwahiyo Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia jina lipitalo kila jina.
 
Issa na Yesu ni habari mbili tofauti kabisa
 
Isa sio Yesu
.

. Katika Biblia ya Kikristo kwa Kiarabu:
- Yesu anajulikana kama "Yasūʿ al-Masīḥ" (يسوع المسيح) ambayo inamaanisha "Yesu Kristo."
 
Hata sisi tunaamini Mtume wenu alizikwa, nguruwe "kitimoto" akajisevia ndio maana mashehe hawali nyama yake hadharani labda irostiwe na iletwe na bodaboda tena usiku.
 
Isa sio Yesu
.

. Katika Biblia ya Kikristo kwa Kiarabu:
- Yesu anajulikana kama "Yasūʿ al-Masīḥ" (يسوع المسيح) ambayo inamaanisha "Yesu Kristo."
Watakuambia Isa ni lugha ya Kigiriki:
Hata Qurani ya Kiswahili inatakiwa liandikwe jina la Kigiriki:
Hivi huyo aliye sulubiwa badala ya Isa ni Mwarabu gani ?
Namanisha anaitwa nani ?
Maan tunao itembelea Israeli hatujalisikia jina lake:
 
Back
Top Bottom