Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Ndugu Ismail Ali Ussi, ameridhia rasmi kuweka jiwe la msingi katika jengo la kisasa la kuhudumia wagonjwa wa nje (OPD) lililojengwa katika Zahanati ya...
Wananchi wilayani Karagwe mkoani Kagera wameeleza kunufaika na ujenzi wa barabara ya Nyakahanga-Nyabiyonza -Masheli ambapo kero ya usafiri iliyokuwepo imeondolewa baada ya matengenezo ya maeneo...
SERIKALI kupitia Wizara ya Maji,imetoa Sh.815,453,185 ili kukarabati mradi wa Maji Dihimba utakaohudumia wakazi zaidi 7,489 wa Vijiji vya Dihimba,Mpondomo,Kinyamu na Ndumbwe vilivyopo Halmashauri...
MADA: Nguvu ya Mawazo – Jinsi ya Kugeuza Fikra Kuwa Nguvu ya Mabadiliko
Watu wengi wana uwezo mkubwa wa kufikiri, lakini si wote wanaojua namna ya kutumia nguvu hiyo ya kiakili kuleta mabadiliko...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima, amesema kuwa vitendo vya ukatili wa kijinsia nchini vimeanza kupungua, hususan matukio ya ubakaji na...
Katika masuala ambayo huwa siyaelewi ni hili. Huu ni mfano mmoja tu kuwa wanaume tunapitia mengi chini ya mapaa ya nyumba zetu wenyewe.
Wanaume wanaopigwa na wake zao sio wengi saana lakini...
Ni bahati mbaya sana wabunge wa hii nchi hawachaguliwi na wananchi,Endapo mngekuwa mnachaguliwa na wananchi nadhani haukufaa kuwepo hapo bungeni !
Wewe niwa kuilinganisha Tanzania na Kenya...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita , SACP. Safia Jongo amewaonya baadhi ya Waganga wa kienyeji ambao wamekuwa wakituhumiwa kuwatibu Wanawake kwa kuwarubuni na kufanya nao zinaa huku wakiwarekodi na...
Kipindi Cha Asubuhi, Mazungumzo ya Maudhi: Tunalelewa na Vyombo vya Habari au Tunadhalilishwa?
Je, tumewahi kukaa chini kama taifa na kujiuliza: tunapata nini tunapowasha redio zetu asubuhi? Ni...
Aisee hili taifa Lina polisi njaa sana
Jana mida saa mbili usiku nilikuwa Nina mzigo flani nikataka niufunge kwenye piki piki bahat mbaya mpira ukakatika
Nikatoka kwenda kununua duka flan si...
MADA KUU: MATAMBIKO
Mada ndogo: KUTEMBELEA MAKABURI.
Somo linaendelea . . .
Makaburi ni makao ya roho za mababu (mizimu) ambao hawajazaliwa tena kwenye miili mipya (reincarnate) na ambao nafsi...
Salam sana Wakuu,
Moja ya watu nawakubali sana, ni hawa viumbe hapa jukwaani JF. Huezi amini huwa natamani siku Mungu anibariki nikutane nao uso kwa Macho huko mikoani au mataifa ya watu...
Kwa mijadala ya Jana bungeni, hakika Bunge limekata mizizi yake ya kuwa chombo cha kuwawakilisha wananchi Kwa mujibu wa katiba ya nchi Bali rasmi sasa ni CHOMBO cha kulinda na kuwakilisha taasisi...
Teknolojia duni, imani za Mizimu na Mungu lakini magonjwa, umaskini na njaa bado zimetawala.
Bara limetawaliwa na mihemko kuliko akili. Bara ombaomba.
Sidhani kama Bara hili litakuja kujielewa.
Naam mipango na matumizi pia nidhamu.....huwa thabiti pale unapokuwa huna kitu yaani kabla hujashika fedha.
Lakini pindi fedha inapokuwa mkononi ile mipango yooote ile nidhamu yooote na ile listi...
Kuna njia 5 tu zinazojulikana ambazo watu wengi duniani (na hapa Tanzania) wamezitumia kufikia utajiri. Hebu tuziangalie moja baada ya nyingine kwa macho ya ukweli:
1. Kurithi Mali
Kama...
Hivi utaratibu wa kulala usiku umebadilika au ni kama miaka ya 1990-2009 maana siku hizi wadau wanazima moto tu shwaaah tukutane kwenye kahawa kumsema SAMIA.
hebu niambie huwa unasali???
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.