Bunge la JMT lina hata alau Wabunge 5?

Bunge la JMT lina hata alau Wabunge 5?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,645
Reaction score
10,865
Bila kujali kama waliingia kwa mlango wa mbele au waliingizwa kupitia mlango wa nyuma, bunge lina Wabunge alau hata 5?

Nimejaribu kuwahesabu bila mafanikio. Nimepata kama watatu tu:
1. Jumanne Kishimba!
2. Josephath Gwajima!
3. Luhaga Mpina!

Hao tu ndiyo Wabunge waliopo kwa sasa bungeni?
 
Bunge linaweza kuwa replaced na Akili Mnemba (AI) unaipa tu mswada inauchambua na kutoa majibu, kulikuwa hamna haja ya kukusanya watu wengi kwa gharama kubwa kuunga mkono kila kitu
 
Bila kujali kama waliingia kwa mlango wa mbele au waliingizwa kupitia mlango wa nyuma, bunge lina Wabunge alau hata 5?

Nimejaribu kuwahesabu bila mafanikio. Nimepata kama watatu tu:
1. Jumanne Kishimba!
2. Josephath Gwajima!
3. Luhaga Mpina!

Hao tu ndiyo Wabunge waliopo kwa sasa bungeni?
Hahaahahaa hao nao pia wanacheza na mazingira na muda tu
 
Bila kujali kama waliingia kwa mlango wa mbele au waliingizwa kupitia mlango wa nyuma, bunge lina Wabunge alau hata 5?

Nimejaribu kuwahesabu bila mafanikio. Nimepata kama watatu tu:
1. Jumanne Kishimba!
2. Josephath Gwajima!
3. Luhaga Mpina!

Hao tu ndiyo Wabunge waliopo kwa sasa bungeni?
Wengine ni chawa wa mama
 
Back
Top Bottom