britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,207
- 48,364
Utafiti ulofanywa na watu binafsi kupitia yafuatayo
1. Uwezo wa kuhoji kiongozi aliyeko madarakani
2. Uwezo wa Kumkosoa hata mtandaoni
3. Uoga wa Vyombo vya Dola, yaan Polisi na Mahakama
4. Uwezo wa kutekwa kirahisi na watu wanaojifanya usalama wa Taifa bila hata kuuliza vitambulisho
Kupitia hayo imegundulika Watanzania ni waoga sana wa Polisi au mtu yeyote anayejiita polisi.
Watanzania ni waoga sana wa mamlaka mbalimbali ndo maana hata Mkuu wa TCRA anaweza tangaza kwamba mwisho wa kutumia laini ni tarehe fulani la sivyo zitafungwa, unaona mtanzania anahaha NIDA hadi kuhonga wakati hakuna uzembe aliofanya bali Serikali yenyewe.
Mtanzania hawezi kumkosoa kiongozi wa juu ama kwenye media au ana kwa ana. Tumeona Rwanda na Uganda watu wanamsema vibaya rais wao tena kwenye page yake na hakuna anayekamatwa.
Watanzania ndo makondoo yanayoona sheria zikipindishwa kwa kuonea wengine yakachekelea kumbe ipo siku yao pia.
Tanzania ndo nchi pekee ambayo unatoa tamko kumnyima mwananchi haki na anaishia kulaani tu.
Britannica