Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tembo ni jumba la wadudu. Wadudu wanaishi humo wakila na kunywa huku tembo akiendelea na maisha yake. Tembo hana uwezo wa kuua wadudu, hivyo kawafanya kuwa rafikize as long as hawamdhuru. Wadudu...
4 Reactions
6 Replies
532 Views
https://youtu.be/1f_r4K23h0c?si=JryS33KdwjyIkuCY === Mkurugenzi wa Mtendaji wa taasisi ya Utafiti na demokrasia Prof Rwekeza Mukandara kwa mashirikiano na kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC...
4 Reactions
16 Replies
672 Views
ATM hazitoI pesa SIM BANKING Offline TELLERS NDANI YA BANK Hakuna mtandao. Na hii ni toka saa 4 asubuhi. Huu ni upumbavu. Au ndio mshadukuliwa na Wakenya? Instagram wanapost mambo ya shangwe...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Nafuatilia mahojiano aliyofanya mfanyabiashara tajiri kijana Mo Dewji na Bloomberg. Mo anadai anapata furaha kubwa pale inapokuwa ni ndoto ya kila kijana wa Kitanzania kufanya kazi na Kampuni...
6 Reactions
52 Replies
5K Views
Kuna njia nyingi za KUFA lakini kuna njia 2 tu za KUISHI. (1) KUWA TAJIRI (2) KUWA MASIKINI
1 Reactions
5 Replies
299 Views
Jf tunajua mkiwa genge la CCM sana mpaka mada JF cheki na uchaguzi ila mnataka kubadilisha watu na kufuta maneno. Naomba uzi wangu wa dotto magari ambao una video kule bungeni. Kikosi chenu...
1 Reactions
17 Replies
514 Views
Bongo sitaki tena nataka nikimbie, naombeni ushauri kati ya hizo nchi wapi angalau nikienda sifi njaa nikipambana kati y'a Botswana, Mauritius, Namibia au Sychelles au South Africa Au Morocco na...
20 Reactions
215 Replies
14K Views
Huwa ninapokuwa napata muda na nimepumzika mara nyingi huwa napenda kufuatilia kipindi kimoja kinaitwa AIRPORT SECURITY ambacho kinapatikana katika channel ya NATIONAL GEOGRAPHIC kutoka king'amuzi...
10 Reactions
31 Replies
2K Views
1. Mwanaume usibadilishe dini kwa sababu ya mwanamke hata kama unampenda vipi. 2. Ikitokea umefanya makosa ya jinai ukitaka kufanya udanganyifu kama huna elimu lazima utaishia kukamatwa tu, jamaa...
51 Reactions
117 Replies
7K Views
John mason...! Kwenye kitabu Chake Cha imitation is limitations..anasema. Utaua uwezo wako pale tu utakapo Anza kujifananisha na wenzako. Nichukue nafasi hii kukumbusha kuwa,. Mtu Bora ni yule...
11 Reactions
7 Replies
448 Views
Mzee Magonya, mkazi wa mtaa wa Nyamiongo, kata ya Makoko, ameilalamikia ofisi ya Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (MUWASA) kwa kushindwa kumlipa stahiki zake tangu mwaka...
0 Reactions
0 Replies
221 Views
Aisee yani siku nikikutana na huyu darasa la saba nita muuliza swali moja tu. Ulishafika Nairobi ukajionea idadi kubwa ya wageni na mataifa makubwa yamewekeza hapo nairob na kenya nzima. Huyu...
2 Reactions
6 Replies
437 Views
Kuna tukio la maonyesho limefanyika mwaka huu nchini Taiwan , Kampuni ya Tecno wao walikuja na msururu wa matoleo mapya ya laptop ambazo Tecno wameweza kuziachia zenye kutumia Teknolojia ya AI...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Katika maisha ya kila siku, tunalazimika kuishi, kufanya kazi, au kushirikiana na watu wa kila aina. Wapo wanaotutia moyo, wanaotufanya tucheke hata tukihisi kuzidiwa na mzigo wa maisha; lakini...
18 Reactions
45 Replies
3K Views
Miaka 15 imefanya Kampuni ya Xiaomi kuwa Tishio dhido ya Kampuni kongwe ulimwenguni Apple kwenye matoleo mbalimbali ya vifaa vya kieletroniki ulimwenguni. Katika uzinduzi wake wa miaka 15 toka...
3 Reactions
3 Replies
396 Views
Nimepita kwenye Kituo cha Mabasi yaendayo Haraka maarufu kwa jina la Mwendokasi pale Kimara Mwisho, jana Mei 25, 2025 sehemu ya vyoo vya haja ndogo upande wa Wanaume hali niliyoikuta ni hii kama...
0 Reactions
4 Replies
869 Views
Watu wanaopenda kuongea na simu njiani kwa sauti ya juu. Kwanini usitafute sehemu ukaongea kwa sauti ya chini ukamalizana na ndo ukaendelea na safari? Mimi nimejiridhisha watu hawa wengi ni...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Katika harakati za maisha ya kila siku, tunashuhudia tabia ambazo, kwa kiasi kikubwa, zinaashiria kupungua kwa maadili, nidhamu, na staha ndani ya jamii yetu. Sio kila jambo linahitaji sheria...
3 Reactions
0 Replies
219 Views
Msemaji wa klabu ya Yanga Jerry Murro amaemtukana mwandishi wa habari wa kike na kumdhalilisaha kijinsia baada ya mwandishi huyo kumuuiza kuhusu habari za mapumziko ya kocha wa Yanga, na kumuuliza...
2 Reactions
122 Replies
17K Views
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) ametoa agizo kwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhakikisha anaimarisha doria kwenye mipaka hususani maeneo yanayotumika...
0 Reactions
0 Replies
250 Views
Back
Top Bottom