📣📣📣📣📣📣📣📣
Nguvu ya kucha na nywele katika ulimwengu wa kichawi
🗣️Leo nimeona ni vyema niwaletee makala hii fupi kuhusiana na kucha na nywele zinavyo husika katika ulimwengu wa kichawi ulimwengu...
Furaha Jacob, ambaye ni mkemia na mwenzake, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashtaka matatu likiwemo kuchapisha na kusambaza picha za ngono...
Habari wakubwa nimesoma Comments nyingi nakufanya utafiti mdogo ila nimebaki na Maswali Kabla ya uhuru Tulikua tunaishi vizuri kabisa na Mkoloni wakati anagawa mipaka ya hizi Nchi aligawa kwa...
Inanipa sana wakati mgumu,
Hasa nje ya mtandao huu
Huko kwenye Whatsapp group Naona watu wanachart wanaongea pumba tu.
Hawana fact Wala logic, nishazoea huku watu wanaongea kwa fact.
Hali...
Najua humu Kuna wajuzi wengi sana waliohudumu na wanaohudumu serikalini na maeneo mengine, in fact, wakurugenzi pia wapo humu hivyo Nina Imani hoja yangu itapata mashiko na msaada wa kutosha...
Habari wadau.
Naombeni msaada wa majibu.
Je watu wa dini zote watakaotenda mema na kuingia peponi, watachanganywa pepo moja ama kila dini watakaa pepo yao peke yao.
Je wataungana mbinguni...
Magic mushrooms sio tuu kukuingiza katika ulimwengu wa maajabu
Pia ninzuri sana kwa wale wanao Fanya meditation yakiwango cha juu sana.
Hii ni ninzuri sana kwa wale wavivu wakukaa kitako muda...
"Kizazi kilichokuwa na teknolojia, taarifa, na mitandao mikubwa—lakini kikalala usingizi wa 'scrolling'."
Kutoka: Aelion V. Tansari – Mwanafunzi wa Historia za zamani.
Mada: Je, mliona dhahabu...
KAMA UNAPATA UGUMU KUPATA PESA; FUATA NJIA HIZI KUWA NA PESA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Elewa, pesa sio utajiri. Utajiri ni Afya, Muda na Rasilimali. Money is just a tool to get...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeemdelea kung’ara katika matibabu ya kibingwa na kibobezi za mifupa barani Afrika baada ya kuendelea kuandaa mafunzo ya 10 kuhusu mbinu mpya...
Sekta ya ushonaji wa nguo inafanya vizuri sana China karibu 50% ya uzalishaji wa nguo unafanyika China kupitia viwanda vidogo vidogo.
Serikali na yenyewe ingesaidia sana kupunguza tatizo la ajira...
Dar es Salaam, Mei 26, 2025 — Wawekezaji wa PUMA Energy Tanzania, ambao ni Serikali ya Tanzania na Puma Investments Limited, wamekubaliana kufanya mapitio ya mpango mkakati wa biashara wa kampuni...
Mbunge wa jimbo la Mtwara Mjini Hassan Mtenga amesema kuanzia Julai 2025 serikiali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan inakwenda kumaliza kilio cha wananchi wa mkoa wa Mtwara kwa...
Je, umekuwa ukisumbuliwa na panya sana?
Je, umetumia pesa sana kununua sumu za panya bila mafanikio?
Kama jibu ni ndiyo basi soma na ufanye hivi;
Nenda duka la dawa nunua dawa inaitwa INDOCID...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameeleza msimamo wa Serikali wa kutomwongezea muda mkandarasi atakaechelewesha kukamilisha mradi.
Waziri Ulega ameyasema hayo leo tarehe 26 Mei 2025 alipokuwa...
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameshuhudia utiaji saini wa hati ya makubaliano ya ujenzi wa kituo kikubwa cha kupandikiza figo pamoja na utoaji mafunzo kwa madaktari bingwa ambacho kitakuwa ni...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameziagiza TANROAD na TARURA kuhakikisha wanawasimamia wakandarasi ili waweze kutoa ajira kwa wananchi wazawa pindi wanapotekeleza miradi ya ujenzi wa barabara na...
Rafiki yangu mmoja katoka Dar kahamia Dodoma, ana kama miezi mitatu Dodoma.
Alivyo hamia wezi wamevunja kwake mara mbili mara ya kwanza walipita na laptop, tv na vitu vingine vidogo.
Akaona isiwe...
Katekista wa Kanisa Katoliki, Vincent Mwenda amepoteza maisha kwa kushambuliwa na watu ambao utambulisho wao haujajulikana Mjini Tunduma.
Diwani wa Kata ya Kaloleni, Mji wa Tunduma, Mkoa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.