Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jibu ni hapana ni Mungu tu ndo anatulinda mpaka wakati huu ila anaenda kutuchoka karibuni kama hatutarudi kwenye misingi yetu ya upendo. Kuna nchi zina ulinzi wa kutosha mpaka kuta lakini bado...
1 Reactions
4 Replies
408 Views
https://www.youtube.com/watch?v=IntpG2fhmAE
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Namkumbuka Mwalimu wangu wa Somo la Uraia (Civics) mpaka pengine nawaza uenda hawa wabunge wetu hawakusoma somo hili la lazima na la muhimu sana kwenye mitaala ya Elimu. Wabunge wengi ni kama...
8 Reactions
12 Replies
744 Views
Mambo! hope you good Sina furaha na maisha yangu kabisa nimekuwa mtu mwenye mawazo mengi sana kuna time natamani hata nisiwepo duniani niendee kukaa mbali kabisa Majukumu niliyonayo, (ninayopewa...
5 Reactions
71 Replies
4K Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mheshimiwa Doto Biteko, akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Puma Energy Kimataifa, Bw. Mark Russell, kuhusu masuala ya ushirikiano na...
0 Reactions
0 Replies
286 Views
Yaani Mwendokasi pale ni sebleni ndio pana picha ya kila eneo awamu hii Mwendokasi ndio mchoro halisi wa awamu hii ilivyohoi kila sehem hali ni tete hii awamu hapana aisee
5 Reactions
12 Replies
755 Views
Safiri Smart! Wataalamu kutoka sekta ya usafiri wakichambua njia za kufungua fursa za kidigitali nchini Tanzania kupitia ubunifu, sera thabiti na ushirikiano wa sekta mbalimbali ili kujenga mfumo...
0 Reactions
0 Replies
203 Views
Habari wakuu, Siku za hivi karibuni kumekua na foleni kali sana kuanzia saa kumi na mbili jioni kuendelea, foleni hiyo inaanzia pale Goba centre mpaka njia nne na ile barabara ya kuelekea mbezi...
3 Reactions
11 Replies
808 Views
Maria Sarungi atangazia dunia madhaifu ya Tanzania kupitia Oslo Freedom Forum Ref: No Retreat, No Surrender! Maria Sarungi Speaks Out on Tanzania’s Repression at the Oslo Freedom Forum - Mwanzo TV...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimepata tenda ambao mwanzo nilidhani ni kaz nyepesi ila kwa sasa naona ugumu ukizingatia niko mikoani na hakuna watu wenye taaarifa kamili Kama kuna mtu mwenye idea au ni wapi NITAWAPATA...
0 Reactions
8 Replies
462 Views
Mit 21:23 SUV [23] Mtu azuiaye kinywa chake na ulimi wake, Atajilinda nafsi yake na taabu. Mtu anaweza kujikuta kwenye shida kubwa baada ya kutumia ulimi wake au kinywa chake vibaya, akajikuta...
2 Reactions
9 Replies
774 Views
Wanajukwàa. katika kipindi ambacho dunia inaomboleza Kifo cha Baba mtakatifu(Papa Fransco),Taifa linashuhudia mitikisiko ya kisiasa ndani ya vyama( chadema),na vijana wenzetu wanapotea kwenye...
2 Reactions
1 Replies
763 Views
Nilishakuja na uzi apa unaohusu aina za utajiri ambazo ni common Tanzania ukiwemo utajiri ambao mtu anapewa kidonda ambayo kadiri kinavoongezeka ndo pesa inaongezeka Ila amini kwamba shetani awezi...
20 Reactions
74 Replies
8K Views
Habari Za Miangaiko Familia yangu humu JF, Naomba Muwe makini na Hizi Benki Mimi uwa Ninatoa pesa kwenye ATM Halafu napata Meseji ya Balance iliyobaki. Sasa Leo nikaamua tu nipige Mahesabu pesa...
19 Reactions
86 Replies
5K Views
Mbunge wa jimbo la Siha, pale Kilimanjaro Daktari Godwin Aloyce Mollel ambaye pia ni Naibu waziri wa wizara ya Afya amethibitisha mbinu anayotumia kuwalaghai wachaga pale jimboni Siha hili...
2 Reactions
7 Replies
688 Views
Mkoa wa Dar es Salaam umeendelea kufanya vizuri katika ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini kwa mwaka wa fedha 2024/2025, baada ya kufanikisha makusanyo ya Shilingi Bilioni...
0 Reactions
6 Replies
437 Views
Nakosa cha kuandika ila itoshe kusema kwa hapa nilipofika nahitaji msaada wa kiroho. Mambo hayaendi kila nachofanya hakiwi, nipo ila sionekani yaani ni kama nimezimwa. Nini nifanye ili nitoke...
14 Reactions
70 Replies
3K Views
MAKUSANYO ya maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini katika Mkoa wa Ruvuma yatokanayo na mrabaha, tozo na ada mbalimbali kwa mwaka wa fedha ulioanza Julai 2024/2025 ni Shilingi Bilioni...
0 Reactions
2 Replies
343 Views
Kwanza inabidi mtambue huyu Roboti sio 😁😁 haji manara Tafadhari!!! Wala Mzee wa watu hausiki kabisa. Huku Hajj ya mwaka 2025 inapokaribia itakua kati ya Juni (4-9), mamlaka ya Saudia Arabia...
1 Reactions
3 Replies
320 Views
Piga kura yako hapa ikiwezekana weka utetezi wako kwaajili ya kuunga mkono kura yako.
0 Reactions
15 Replies
661 Views
Back
Top Bottom