Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu wanaume, fanya kazi kwa bidii kwa ajili ya uzee wako. Sahau kuhusu watoto na mke wako! Kumbuka wewe peke yako ndiye mgeni (stranger) katika hiyo familia unayoiita yakwako. Kuna siku utabaini...
6 Reactions
13 Replies
777 Views
Wasalaam Sio nia yangu kuwadharau lakini ukweli ukinambia umesomea mambo au Taaluma ya uandishi wa habari hasa hapa kwetu nakudharau sana Ndio maana ni kitu kila mtu anaweza kufanya...wengi...
16 Reactions
42 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi limesema linamshikilia Mtu mmoja kwa tuhuma za mauaji ya Katekista wa Kanisa Katoliki, Vincent Mwenda ambaye alifariki Mei 10, 2025 kwa kushambuliwa na kitu chenye ncha kali...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Hii ni taarifa ya hivi punde. Prof. Mohamed Janabi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili amechaguliwa kuongoza Shirika la Afya Duniani ukanda wa Africa. Pongezi nyingi kwake na...
39 Reactions
370 Replies
17K Views
Hizo tabia ni kama zifuatazo ambazo zitapigwa marufuku Vigoma Baikoko Vigodoro Hashtag za ajabu ajabu mfano tunaendeleza tabia mbaya Malaya kujianika barabarani Gesti na bar kujengwa bila utaratibu
2 Reactions
3 Replies
392 Views
Baada ya miaka 15 , hatimaye program ya Whatsapp inapatikana kwa Watumiaji wa ipad kupitia soko la app store. Kampuni ya Meta imefanikiwa kuleta Whatsapp kwa ajili ya Watumiaji wa ipad baada ya...
2 Reactions
1 Replies
275 Views
Baba Mtakatifu Leo XIV ameandika Kupitia Mitandao yake ya Kijamii ya Instagram na X, kuwashukuru Waafrika. "Bara la Afrika linatoa ushuhuda mkubwa kwa ulimwengu mzima. Asante kwa kuishi imani...
3 Reactions
17 Replies
879 Views
“Lakini nimesikitishwa mno na baadhi ya wabunge ambao wanaitana nyumbani kwao na watu na kusema kwa siri kuwa ni bora Rais Magufuli aliyekufa kuliko Rais Samia aliye hai hizi nazo ni kauli mbaya...
1 Reactions
2 Replies
360 Views
Pichani utaona watu tuliowatuma bungeni wanachohangaika nacho VS Chini kulia hapo unaona hospital yetu ya taifa ikiwa haina umeme kwa masaa 18 na wabunge wamekazana...
1 Reactions
4 Replies
333 Views
Je unaweza kula wali uliolala baada ya kupika na kula ? Kiuwalisia tunasema NDIYO!! Inawezekana lakini unapaswa kufanya hivyo kwa usalama, wana sayansi wanakuja na mtazamo huu. Kula chakula...
2 Reactions
12 Replies
592 Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu zangu bila shaka mwenyezimungu anaendelea kutupigania hadi sasa. Ndugu leo naona nilete story kidogo kuhusu safari yangu moja hivi...
42 Reactions
618 Replies
185K Views
Hivi sasa na kuendelea tunaishi humu. Maana watu ni wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kutukana, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio safi...
3 Reactions
33 Replies
1K Views
Hello wapendwa, kama kichwa cha Habari kinavyo jieleza apo juu. kipindi nilivyokuwa mdogo miaka 7 niliona kwa macho yangu bi mkubwa akipandisha mashetani na kuongea lugha ambayo nilishindwa...
14 Reactions
39 Replies
2K Views
Wakuu, Tanzania imeundwa kwa msingi wa umoja, mshikamano na amani, ambapo serikali haina dini, chama, kabila, rangi, kanda au hali ya mtu ila watu ndio wanavyo hivyo. So, uzi huu si wa kidini...
3 Reactions
18 Replies
640 Views
Maduskodusko Entertainment( Dar Es Salaam, Tanzania) ni kampuni inayo jihusisha na uzalishaji wa maudhui ya mtandaoni. Kampuni ina tayarisha documentary kuhusu kitabu kinacho itwa " SPIRITUAL...
7 Reactions
24 Replies
1K Views
Kila siku Arusha watu wanauana. Shida wadudu au mlivyo tabia zenu.?
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Kumbe SSH na Kijani ndio wanahusika na "mene, mene, tekeli, na peresi" na Mnala wa BABELI....Maanake nashangaa sasa Kijani wameanza kuchanganyikiwa. Asante Rev. Hon Dr. Gwajima, Asante Basila...
2 Reactions
2 Replies
307 Views
Jeshi la Polisi limetangaza kuuawa kwa watuhumiwa sita wa vitendo vya unyan’ganyi wa kutumia silaha za jadi ikiwemo mapanga, visu na nondo ambao ni maarufu kwa jina la Panya Road, eneo la Makongo...
12 Reactions
470 Replies
31K Views
Kwanza nitoe pole kwa mamlaka za Serikali kwa changamoto hii kubwa ya kudukuliwa kwa account za Serikali Tatizo hili limesababishwa na baadhi ya viongozi wa Serikali wasio na uadilifu walioamua...
11 Reactions
51 Replies
3K Views
Kwa kipindi cha hivi karibuni kwenye maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es salaam kumekuwepo na kilio cha foleni hasa kutokana na ujenzi unaondelea katika meneo mengi hususani njia za mwendokasi...
1 Reactions
1 Replies
505 Views
Back
Top Bottom