Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kila kitu hoi, customer service hawapokei. CRDB mmekuwa trash sana, masaa 4 sim banking haifanyi kazi , biashara na miamala vinagoma kuendelea kwa sababu ya upumbavu wenu Trash🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
9 Reactions
32 Replies
2K Views
Mlisema Magufuli ni dictator, mpaka mwenyezi Mungu alipomtambulisha dictator wa kweli! Sasa ni full kilio na kumuuliza Mungu kuwa tulimkosea nini. Mungu alitupa Sauli nae akajawa na kiburi...
3 Reactions
6 Replies
356 Views
Miundombinu dhaifu manspaa ya kahama mfano (1) barabara ya mgodi mdogo wa Mwime_mtakuja hadi kwa ndegesera. (2) ile inayotoka mwime_4way mpaka mjini kahama zote ni mbovu,watu wamekuwa...
3 Reactions
5 Replies
468 Views
MASHIRIKA mawili makubwa yanayojihusisha na haki za kidijitali ya Paradigm Initiative (PIN) na Tech & Media Convergency (TMC) yametoa mapendekezo kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)...
0 Reactions
0 Replies
306 Views
WATUMishi wa Mungu wakiwemo maaskofu, manabii, wachungaji na walimu wa neno la Mungu wapo vizuri na lile neno wanalolihubiri kwamba, kwa Mungu kuna raha. Kwa Mungu kuna maisha mazuri na mtu...
4 Reactions
94 Replies
39K Views
Nimeona picha na video za mwanamke mmarekani mmoja aliyebadili jinsia. Kwa nchi za ulaya hii ni kawaida wao si kitu tena cha mjadala.Nadhani ni stage ya advancement waliyofikia ndio inawafanya...
0 Reactions
3 Replies
433 Views
Mkazi wa Mtaa wa Pande Malembwe, jijini Tanga, Sarai Kagoro (30), ameuawa kwa kuchinjwa na mwili wake kukatwakatwa kisha kufukiwa shambani, baada ya kupotea kwa takribani wiki moja. Jeshi la...
2 Reactions
7 Replies
671 Views
Binadamu wote sio wakamilifu, mara kwa mara tumefanya matendo na tumesema maneno ambayo kwa namna moja yameweza kuleta madhara katika maisha yetu na wenzetu. Watu wengi wanasema Makosa katika...
15 Reactions
45 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Katika Ufunuo 22:12 Yesu anasema: “Tazama, naja upesi! Thawabu yangu i mkononi mwangu, nami nitampa kila mtu sawasawa na alivyotenda." Swali: Je, unaamini kuwa Yesu yuaja upesi kama alivyoahidi...
11 Reactions
145 Replies
5K Views
Wananchi Wahoji Kama Karne hii Bado Watu Wanaongwa Vitenge Na Khanga Tazama video hii wananchi wakipewe Vitenge huko jimboni na babu TALE
1 Reactions
3 Replies
417 Views
Yani miguu ya kuku 2000.Raisi wanatuonaje.
7 Reactions
10 Replies
699 Views
Katiba yetu haijaeleza nguvu waliyonayo wananchi katika kuhoji watawala wa nchi hii Bali imewafanya watawala kuwa mihungu watu wanaostahili kusifiwa na kuabudiwa huruma utakayoiona kwa kiongozi...
0 Reactions
3 Replies
281 Views
Limkutano likubwa mnaweka watangazaji wa TBC wanaowaogopa wageni. Kikeke yupo hapo....Yunusi yupo hapo. Iteni watu wanaoweza kuwahoji wageni wawahoji Marais kadri wanavyoingia nchini. Hii ni...
11 Reactions
44 Replies
2K Views
😀😀 Ila CCM bana Yaani mmeandikisha hadi watoto wa shule mmefika milioni 13 Sasa na Chadema kupitia uandikishaji wao wamefika mil 18 na mnaona umati wakati CCM wanasomba hadi wavuta bangi 🤣 Hii...
2 Reactions
11 Replies
633 Views
Jana majira ya saa tano usiku wakati najiandaa kucheki muvi, nikapatwa na msukumo wa kutoka nyumbani na kwenda kuzurura mitaani. Huwa ninafanya hivi mara kwa mara ila msukumo wa jana ulikuwa...
3 Reactions
1 Replies
302 Views
Ukiendelea kusubiri “wakati sahihi,” utapoteza maisha yako yote na hakuna kitu kitakachotokea. Utakuwa na furaha zaidi ukisamehe wazazi wako na kuacha kuwalaumu kwa mateso yako. Furaha ya kweli...
3 Reactions
4 Replies
317 Views
Leo ni Siku ya Mwisho ya Mkutano wa Jukwaa la Utawala wa Intaneti Afrika (AfIGF) 2025, unaofanyika katika Ukumbi wa JNICC, Dar es Salaam. Kwa siku 3, wadau mbalimbali kutoka barani Afrika...
0 Reactions
0 Replies
812 Views
Miti ni waponyaji. Unapokaa chini ya mti au kuukumbatia, unahisi nishati yake ya uponyaji. Ina nguvu ya asili inayotuliza akili na mwili. Katika nchi kama Japani, kuna tiba inayoitwa Forest...
0 Reactions
3 Replies
618 Views
Hivi nafikiria kabisa kwa undani Sheria ya kuoa mke mmoja kwetu sisi wakristo imetoka kwa Mungu au kwa wanadamu? Kama ni kwa Mungu je Mungu alishindwa kabisa kujua kuwa mwanaume hawezi kutulia na...
21 Reactions
309 Replies
16K Views
Katika kijiji cha kale, waliwaheshimu sana wazimu. Lakini kulikuwa na aina mbili: wale waliopoteza akili zao, na wale waliokataa kutumia akili zao kwa namna mpya. Aina ya pili ilikuwa hatari...
3 Reactions
3 Replies
270 Views
Back
Top Bottom