Tanzia: Katibu wa madereva nchini afariki dunia

Tanzia: Katibu wa madereva nchini afariki dunia

BALOTEL

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
667
Reaction score
894
Aliyekuwa Katibu wa madereva nchini afariki dunia.

Nawasilisha..


==========
Hii ni kwa mujibu wa taarifa ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mheshimiwa Paul Makonda. Katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram, Mhe. Makonda ameandika;

Nimepoteza kaka, rafiki na kiongozi wangu. Hakika siamini na bado napata shida kuamini. Nimevitaka vyombo husika kufanya uchunguzi wa kina juu ya kifo cha Rashidi Sarehe ambae alikuwa katibu na msemaji wa chama cha madreva Tanzania. Nilijitahidi kumbadilishia hospitali lakini haikuwezekana kuokoa uhai wake.
 
INNA LILLAHI WA INNA ILAHI RAJOONA.....poleni wafiwa.....tuweke picha yake na jina tafadhali.
 
Makonda mkono wako hupo hapo sii bure.



swissme
 
Innaa Lillahi wainna ilaihi raj'uun; sisi sote ni wa mwenyezi mungu na kwake tutarejea.
 
Kuna harufu ya siasa hapa.kuna vyama vingi vya madereva vina sera ya kugoma hata kama jua limechelewa kuwaka.chama cha marehemu kilipambana kikampata jk,wakaahidiwa kumaliziwa matatizo yao na magufuli..siku ya kufunga kampeni za ccm alisimama jukwani kuonesha mshikamano na magufuli kwa kuwa ameahidi kufuta kero zao zote akiingia madarakani.kuna harufu ya hujuma kutoka vyama au wanachama ambao wanaona kama wamesalitiwa
 
Hvi si yule katibu aliekuepo jangwani siku ya kumfunga kampeni z CCM JANGWANI
 
Huyu si ndo alienda kujisemesha mwnyw jangwani akidai ametumwa madereva
 
Inabidi. Ukapimwe akili. Kama. Huwezi. Ku. Comment. Kujoa. Ukalalee sio kuwatuhum. Watu pasipo. Na ushaidi
 
Umenikumbusha katibu mkuu wa reli!!!! Roho inauma sana hata kama ni mapenzi ya Mungu lakini..................................RIP!!!!!
 
dah yule mtu aisee ndo alikua msemaji mzuri sana wa madereva plz polisi fanyeni uchunguzi maana yule jamaa alikua mtu mkweli na mpenda haki
 
Mbona kifo cha mawazo hakikupewa umuhimu kama anavyofanya makonda kwa katibu huyu?
 
Back
Top Bottom