Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika nchi nyingi, hususan zile zinazoendelea, dhana ya uzalendo imekuwa ikipotoshwa na baadhi ya wanasiasa wenye maslahi binafsi. Badala ya kuutafsiri uzalendo kama upendo kwa taifa...
1 Reactions
5 Replies
264 Views
Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma Au hayo qfl ndio magodoro Dodoma Nahitaji kununua 5x6 my budget 300,000tzs Pia Ushauri wa godoro zuri kwa mwenye uzoefu...
1 Reactions
1 Replies
577 Views
🗻✨ Unasikia wito wa Uhuru Peak? ✨🗻 Safari ya maisha yako inakusubiri… Mlima Kilimanjaro kwa siku 6 tu! Kwa gharama ya Tsh 900,000 tu, Mtanzania unapata nafasi ya: ✅ Kupanda mlima mrefu zaidi...
0 Reactions
0 Replies
285 Views
“Wakati kila mtu alicheka viatu vyangu… tayari nilikuwa naota kuuza mamilioni.” 🥿🚀 Mwanzoni mwa miaka ya 2000, mimi pamoja na washirika wangu Scott Seamans na George Boedecker tuligundua...
2 Reactions
0 Replies
306 Views
Wakuu za jumapili Nimepata wazo la kununua dikoda ya Azam Tv iliyosajiliwa Kenya na kurudi nayo Tanzania nije kuitumia. Je nitaitumia kama kawaida au mpaka nije kuibadilisha? Lengo ni kupata...
2 Reactions
27 Replies
6K Views
1. #ENDEKEZA #USINGIZI Kamwe usiamke mapema, endelea kulala na kujinyosha mpaka pale njaa itakapokuuma. 2. #USIPANGILIE #MATUMIZI Kamwe usipange jinsi ya kutumia pesa zako, wewe zitumie tu pale...
4 Reactions
10 Replies
929 Views
Mimi ni mdau wa JamiiForums, Mkazi wa Mbezi Msakuzi, Mtaa wa Makamba, jirani na Shule ya Msingi Makamba. Mtaani kwetu tumepitiwa na mradi mpya wa maji kutoka DAWASA, pamoja na kwamba baadhi ya...
0 Reactions
4 Replies
895 Views
Maeneo ya Ubungo External kwenye jengo la Benjamini Mkapa Exporting And Processing Zone (EPZA), ndani yake kuna kiwanda cha nguo TOOKU GARMENT. Kiwanda hicho kina majengo takribani 7 A–F. Tarehe...
1 Reactions
4 Replies
672 Views
Kuna muda akili yangu inahama kabisa nafikiria mbali sana kuhusu hii dunia Nikipita mtaani watu wanajenga majumba makubwa Kama mahekalu najiuliza wenzetu wanatoa wapi hizi hela? Tazama hii fensi...
11 Reactions
45 Replies
1K Views
Salaam Wakuu, Mbunge wa Mbezi Beach nimekuja tena mbele yenu na kero ya wananchi wangu🌚🌚 Kama mnavyoona kwenye video hapo hapo kuna gari imekwama imekwama asubuhi hii, hayo maji yametuama hapo...
0 Reactions
2 Replies
782 Views
🔴Ufalme Ndani Yetu: Siri Zilizofichwa za Mafundisho ya Yesu. Kuna mafundisho ambayo hayawezi kupatikana kwa kusikia tu, bali kwa kusikia na kuelewa. Haya ni mafundisho ya ndani, ya wale wenye...
1 Reactions
2 Replies
372 Views
Habari za muda huu wanajamvi. Kumekua na tatizo kubwa la ukosefu wa ajira nchini na wanasiasa hawaonekani kuguswa na hii kadhia Zaidi wanawaambia vijana wajiajiri lakini wao wanaomba ajira kwa...
1 Reactions
2 Replies
258 Views
1. Wadada Tangu jamii ilipoamua kufanya sex kama “causal thing” na wengine wakwenda mbali zaidi ou commercialize sex, hali imekua tofauti. Vijana sasa hawajua struggle za kutongoza na...
0 Reactions
6 Replies
514 Views
My Country People ni wajinga sana, Post mitandaoni zenye engagement kubwa au kufuatiliwa zaidi ni zile za umbea, sijui Ex wa Mobeto kafanya nini kwenye harusi ya Jux, Sijui Mke wa Jux ana Mimba...
3 Reactions
7 Replies
397 Views
Wakuu hivi katika hospitali zote za rufaa nchini Kuna hospitali yenye mganga Mfawidhi mchapa kazi asiye na makuu kama huyu mama wa kichagga? Binafsi natamani sana kuona serikali ikiwakutanisha...
1 Reactions
10 Replies
613 Views
Hawa watu sijui wanajikutaga kina nani,. Wana majibu ya dharau mnooo Sikuwahi kuwaza kama nitakuja siku nilie kwasababu ya stranger kuniambia maneno ya hovyo😭😭😭😭😭😭😭😭 Wafanyakazi wa Nida mlaaniwe
28 Reactions
156 Replies
5K Views
Leo nimejaribu kuingia katika tovuti ya MillardAyo.com na nimepata ujumbe huu: Overdue Hosting Payment - Site SUSPENDED! This website is down due to the client's failure to pay for hosting for...
2 Reactions
5 Replies
762 Views
Miezi kadhaa iliyopita niliweza kuhamia sehemu X kwa ajili ya utafutaji nilifanikiwa kupata site nikaanza shughuli zangu. Wenyeji wangu wachache walijua Mimi ni msomi niliyehitimu chuo japo...
29 Reactions
79 Replies
3K Views
Huku ndio kuondoa amani Hakuna mkristo anayepinga Waislamu kujenga msikiti katika maeneo yao na tena wa (ga) wanatuchangisha.... Ila linapokuja suala la ujenzi wa jengo la kuabudia kwa Wakristo...
2 Reactions
7 Replies
562 Views
Kumekuwa na hizi tetesi kwa kipindi kirefu sasa. Kuwa wasio na visogo au walio flat kisogoni asilimia kubwa huwa na ubongo wao unakuwa umebonyea kiasi flani hivyo wanakuwa hawana sana akili...
8 Reactions
24 Replies
941 Views
Back
Top Bottom