MWENYE DAWA YA JINO

MWENYE DAWA YA JINO

Habari zenu wakuu heshima kwenu
Kama kuna yeyote anaefahamu dawa ya jino anifahamishe tafadhari Jana usiku sijalala kwa maumivu makali ya jino
fanya root canal kama halijalika sana na hutaki kulingoa na tafuta tiba za asili mapema utumie kupinguza maambukizi mapya mana huama moja kwenda lingine.
 
UTB8utAjFtoSdeJk43Owq6ya4XXaC.jpg


kuna mdau alisema kapona kupitia hii sabuni
 
Nenda pharmacy iliyo karibu yako kuna vidonge vya kutuliza maumivu vinaitwa

Flamar kidonge kimoja kinauzwa Kati ya Mia tano mpaka mia saba,vinasaidia sana ukisema ung'oe ,utatoa mangapi?

Nishang'oa meno matatu Hadi sasa
 
Mimi Mwenyewe ninaumwa jino. Natumia panardo kutuliza maumivu. Kata kipande kidogo cha panado kisha kiweke kwenye tundu la jino linalouma litapoa.

Kuhusu kung'oa jino inategemeana jinsi lilivyo haribika.
 
Habari zenu wakuu heshima kwenu
Kama kuna yeyote anaefahamu dawa ya jino anifahamishe tafadhari Jana usiku sijalala kwa maumivu makali ya jino
Mkuu chukua karafuu pondaponda halafu unga wake weka hapo linapouma.... halafu uje utoe ushuhuda hapa!
 
Hili swala nimekuwa nikiwapa sawa humu ndani hii mara ya tatu na wapo walionifata inbox kunishukuru.

DAWA YA JINO NI MKOJO WAKO.

Matibabu.
1. Wacha kinyaa.
2. Amka alfajiri sana ukiwa kabla ya saa 11 itapendezq zaidi.
3. Fanya ufanyavyo uupate ule MKOJO WA kwanza muda huo ukiamka.
4. Kinga MKOJO wako wivu mkuu upate walau wakujaa kikombe chai.
5. Then sukutua meno kwa kutumia MKOJO wako ulioukinga hususani ule upande WA JINO linalouma.
6. Kisha tema huo MKOJO (usiumeze). Kisha sukutua tena
7. Ukimaliza unaweza kuendelea kulala au ukasuburi nusu saa then unaweza kuswaki.
8. Rudia tena asubuhi inayofata.
9. Kaa kwa kutulia subiri matokeo ambayo kwa uhakika utaanza kuyaona siku ya kwanza tuu.
 
Tafuta Kavicks ka kihindi, kanaitwa Relax kana picha ya mwanaume wa Kihindi. Paka kwenye jino linalouma.
 
Back
Top Bottom