Na, Kalamu ya Jenerali, Mbalali
Katika zama ambapo kilimo kilionekana kama kazi ya kizamani isiyo na tija, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekuja na...
Wananchi wakisaidia kuwatoa abiria waliopata ajali ya bajaji iliyoanguka katika eneo la Ubungo Maji, mchepuko wa Barabara ya Morogoro. Kwa mujibu wa mashuhuda, bajaji nne zimeanguka katika eneo...
Kutokana na lori la mafuta lililoanguka Kunduchi limezua foleni kubwa siku nzima ya leo
Tunaomba wahusika walitoe tupumue Maana wameanza kunyonya mafuta
Zaidi ya Shilingi Milioni 15 za madeni ya maji zimelipwa na wadaiwa zaidi ya 280 katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, hiyo ni kutokana na ofa ya Rais Samia Suluhu kwa wateja wote ambao...
GT.
Jitahidini kila baada ya saa 1 au 2 check news, Tanzania inatembea kwa kasi sana.
Unaweza kuta Nchi imepinduliwa hujui kaeni chonjo ni hayo tu.
Mwisho kabisa usikae mtandaoni all the time...
SANAA ZA MICHEZO ZINAPEWA KIPAUMBELE KATIKA UMITASHUMTA & UMISSETA
Ngoma za asili, kwaya na Muziki wa Kizazi kipya (Bongo Flavor) ni sehemu ya fani ambazo zimekuwa zikishindaniwa katika...
Mzee Vuvuzela alikuwa maarufu sana kwa tabiri zake. Alikuwa kama kenge aliyebarikiwa uwezo wa kunusa hatari kabla haijamfikia.
Aliwahi kutabiri kwa usahihi kuhusu uvamizi wa nzige, na akatoa...
BUNGE LAPITISHA KWA KISHINDO BAJETI YA WIZARA YA AFYA YA TSH. TRILIONI 1.6 KWA MWAKA 2025/2026
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha bajeti ya shilingi trilioni 1.6 ya Wizara ya...
Mit 26:20 SUV
[20] Moto hufa kwa kukosa kuni; Na bila mchongezi fitina hukoma.
Moto na kuni umetumika kama picha au mfano wa kutuonyesha vile fitina au ugomvi unaweza kuendelea kuwepo, au kukoma...
Nina uchungu.
Hakuna mzee hata mmoja wa kuonya Mkapa, Mwinyi hawapo.
Mzee Mkapa ndiye alikuwa anauthubutu wa kusema wazi na kukemea yeyote kwenye nchi hii ukitoa Baba wa Taifa.
Kwa sasa nchi...
Inatosha nasema tena inatosha. Ni mda sasa watanzania kuacha kushabikia ulimbukeni na kukemea hiki serekali inachokifanya.
Democracy maana yake ni mtu kuwa na uhuru wa kutoa maoni bila kujali...
Massawe, Benki ya Kigali, benki kubwa ya Rwanda kwa mali, imemthibitisha Deogratius Massawe kuwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa kitengo cha teknolojia, BK Techouse.
Deo alikuwa kaimu Mkurugenzi...
Habari ndio hiyo siku zote mimi huwa nawaletea vitu vya kweli watu mjifunza binti wa Dukani kwangu hapa kariakoo kaleta balaa yupo ndani ya ndoa anabeba mimba kuzaa tu mtoto ni wa mteja wa hapa...
Kama nilivyotumiwa
Ukhty leo nina mkasa nimeukuta hospitali ya mkoa wa Dodoma nilienda kusalimia wagonjwa,nikakuta binti wa kazi amelazwa kapigwa na boss wake mpaka kamjeruhi kisa alichelewa...
Viwango vya furaha miongoni mwa Watanzania vinazidi kushuka kulingana na data mpya za Umoja wa Mataifa na utafiti wa maoni wa kimataifa, huku nafasi ya nchi ikishuka kwa nafasi tano hadi ya 136...
.. Umetuachia mijadala na sogozi kila kona!
Wengi hatukukujua kabla na hatutaweza kukujua zaidi ya haya tutakayoyasoma na tunayoyasoma mitandaoni sasa. Umeitwa chizi, umeitwa mpoteza kumbukumbu...
Binafsi kwa siku ya leo, mstari huu wa BIBLIA umegusa maisha yangu nazidi kuutafakari na kuomba neema nipate kuuelewa zaidi na kuyaishi mafundisho hayo.
Galatians 5:22-23
Lakini tunda la Roho ni...
Joel Misesemo enzi za uhai wake
Mwili wa MC Joel Misesemo Mkazi wa Mwananyamala ambaye alijirusha kutoka ghorofani kwenye jengo la Derm Plaza lililopo Makumbusho Kijitonyama na kufariki, umezikwa...
Pale Mwanga Tower, Makumbusho limetokea tukio la mtu asiyefamika kujirusha kutoka gorofani, ambapo inasemekana tukio hilo limetokea mapema leo majira ya saa kumi na moja asubuhi.
Mpaka majira ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.