Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Binafsi kwa siku ya leo, mstari huu wa BIBLIA umegusa maisha yangu nazidi kuutafakari na kuomba neema nipate kuuelewa zaidi na kuyaishi mafundisho hayo. Galatians 5:22-23 Lakini tunda la Roho ni...
12 Reactions
107 Replies
4K Views
Joel Misesemo enzi za uhai wake Mwili wa MC Joel Misesemo Mkazi wa Mwananyamala ambaye alijirusha kutoka ghorofani kwenye jengo la Derm Plaza lililopo Makumbusho Kijitonyama na kufariki, umezikwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Pale Mwanga Tower, Makumbusho limetokea tukio la mtu asiyefamika kujirusha kutoka gorofani, ambapo inasemekana tukio hilo limetokea mapema leo majira ya saa kumi na moja asubuhi. Mpaka majira ya...
17 Reactions
506 Replies
78K Views
Nimeyatimba [emoji28][emoji23][emoji23] nimechukua ac ya hisence btu18000 tena ya Dual inverter Aloo ac ni kama V8 anytime lazima umeme uwe full namaanisha ac ni jini la umeme sio mchezo Kwa siku...
43 Reactions
199 Replies
24K Views
Hii vita ni kali sana ambayo haina mwisho wake, Hiyo ni mpaka pale mtu utakapo kufa ni either ujue ukweli au upotee as kabla haujazaliwa.
13 Reactions
102 Replies
3K Views
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, SACP Richard T. Mchomvu, ametoa tamko rasmi kufuatia kusambaa kwa picha mjongeo kwenye mitandao ya kijamii zinazoonyesha kundi la vijana wakimvamia na...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari za sikukuu wakuu hope ni wazima najua hili ni jukwaa la kazi lakini nimeshindwa kuelewa jukwaa husika pa kuleta Uzi huu nimeona nije huku. Ni hivi mimi niko dar nimepata dharula kubwa...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Wewe hukuzaliwa hapa duniani kama jiwe, mti, mdudu wala mnyama; ulizaliwa kimaalumu kabisa kama binadamu kwa LENGO au KUSUDI maalum; unatakiwa ulijue na ulitimize kabla hujaondoka kwenye uso wa...
2 Reactions
11 Replies
858 Views
Leo imetoka taarifa ya Mdude Nyagali mwanaharakati uchwara kutekwa aisee katika watu niliokua nawaona harakati uchwaa mmoja wapo ni huyu Hivi unaanzaje kufanya uhanaharakati uchwara tena Kwa...
14 Reactions
239 Replies
8K Views
Ni Muda mwafaka tanroad kuifungua Barabara ya makambako hadi mlimba kuungana na iliyotoka Ifakara kwa ni wananchi wengi kipande hichi wamekuwa wakitumia treni kama ndo usafiri wao na kwanini...
8 Reactions
52 Replies
3K Views
Napenda kutoa taarifa kwa viongozi wanaoweza kuokoa hali ya sintofahamu kuhusu watumishi wa vituo vya mizani kitolipwa malipo yao kwa takribani miezi 6. Kutokana na hili vitendo vya Rushwa...
1 Reactions
5 Replies
569 Views
Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC Askofu Eusebius Nzigilwa akizungumzia tukio la kushambuliwa kwa katibu wa baraza hilo Padre Charles Kitima amesema Shambulio hilo lilitaka...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Mpo poa? Kikawaida zamani nilikua na uwezo wa kupiga visichana viwili vya konyagi kwa kuchanganyia na tonic soda bila shida yoyote. Sasa recently nashindwa kuelewa nikipiga visichana viwili...
17 Reactions
91 Replies
4K Views
Naweza kusapiti maamuzi yaliyochukuliwa kufungia baadhi ya Makanisa kwa sababu za kiusalama,tusijipofushe kwa ujinga wa watu wachache dini na siasa zinatakiwa kutenganishwa athari yake ni kubwa sana.
1 Reactions
19 Replies
755 Views
Serikali imetangaza kulifutia usajili Kanisa la Ufufuo na Uzima, linalomilikiwa na Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, ikiwa ni siku moja tangu kiongozi huyo wa kiroho atangaze msimamo wake...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwa jinsi ninavyo ona nashawishika kabisa kabisa kuwa hakuna mtu au kikundi cha watu wenye uwezo wa kuzui uchaguzi mkuu Haihitajiki kujiuliza mara mbili mbili ni was hakuna watu wa kufanya hvyo...
1 Reactions
20 Replies
750 Views
Sisi wanaume ukitugusa unyeo kila kitu kitaishia hapo. Serikali Ina mitandao mingi. Kwa hiyo Ngwaji boy atalengwa tu
6 Reactions
61 Replies
3K Views
Wakuu naomba kufahamu maana hizi pangua za hivi karibuni zimesababisha nivurugwe sielewi elewi naomba kwa anaefahamu anifahamishe vizuri. Hivi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana...
9 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari zenu wanajukwaa, leo usiku hapa nyumbani kuna njiwa ametua juu ya bati na amekaa kwa muda mrefu almost masaa mawili sasa ningependa kujua hii ina maana gani, Natanguliza shukrani🙏🏽
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Kama hujawahi kufika UDOM unaweza kunibishia,ila kana umefika utakubaliana bsni kuwa Udom peke yake inazidi CBD za mikoa mingi kwa majengo na mzunguko wa hela pamoja na miundombinu. Hivi kweli...
9 Reactions
50 Replies
3K Views
Back
Top Bottom