Nimeyatimba [emoji28][emoji23][emoji23] nimechukua ac ya hisence btu18000 tena ya Dual inverter Aloo ac ni kama V8 anytime lazima umeme uwe full namaanisha ac ni jini la umeme sio mchezo
Kwa siku...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, SACP Richard T. Mchomvu, ametoa tamko rasmi kufuatia kusambaa kwa picha mjongeo kwenye mitandao ya kijamii zinazoonyesha kundi la vijana wakimvamia na...
Habari za sikukuu wakuu hope ni wazima najua hili ni jukwaa la kazi lakini nimeshindwa kuelewa jukwaa husika pa kuleta Uzi huu nimeona nije huku.
Ni hivi mimi niko dar nimepata dharula kubwa...
Wewe hukuzaliwa hapa duniani kama jiwe, mti, mdudu wala mnyama; ulizaliwa kimaalumu kabisa kama binadamu kwa LENGO au KUSUDI maalum; unatakiwa ulijue na ulitimize kabla hujaondoka kwenye uso wa...
Leo imetoka taarifa ya Mdude Nyagali mwanaharakati uchwara kutekwa aisee katika watu niliokua nawaona harakati uchwaa mmoja wapo ni huyu
Hivi unaanzaje kufanya uhanaharakati uchwara tena Kwa...
Ni Muda mwafaka tanroad kuifungua Barabara ya makambako hadi mlimba kuungana na iliyotoka Ifakara kwa ni wananchi wengi kipande hichi wamekuwa wakitumia treni kama ndo usafiri wao na kwanini...
Napenda kutoa taarifa kwa viongozi wanaoweza kuokoa hali ya sintofahamu kuhusu watumishi wa vituo vya mizani kitolipwa malipo yao kwa takribani miezi 6.
Kutokana na hili vitendo vya Rushwa...
Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC Askofu Eusebius Nzigilwa akizungumzia tukio la kushambuliwa kwa katibu wa baraza hilo Padre Charles Kitima amesema Shambulio hilo lilitaka...
Mpo poa?
Kikawaida zamani nilikua na uwezo wa kupiga visichana viwili vya konyagi kwa kuchanganyia na tonic soda bila shida yoyote.
Sasa recently nashindwa kuelewa nikipiga visichana viwili...
Naweza kusapiti maamuzi yaliyochukuliwa kufungia baadhi ya Makanisa kwa sababu za kiusalama,tusijipofushe kwa ujinga wa watu wachache dini na siasa zinatakiwa kutenganishwa athari yake ni kubwa sana.
Serikali imetangaza kulifutia usajili Kanisa la Ufufuo na Uzima, linalomilikiwa na Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, ikiwa ni siku moja tangu kiongozi huyo wa kiroho atangaze msimamo wake...
Kwa jinsi ninavyo ona nashawishika kabisa kabisa kuwa hakuna mtu au kikundi cha watu wenye uwezo wa kuzui uchaguzi mkuu
Haihitajiki kujiuliza mara mbili mbili ni was hakuna watu wa kufanya hvyo...
Wakuu naomba kufahamu maana hizi pangua za hivi karibuni zimesababisha nivurugwe sielewi elewi naomba kwa anaefahamu anifahamishe vizuri.
Hivi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana...
Habari zenu wanajukwaa, leo usiku hapa nyumbani kuna njiwa ametua juu ya bati na amekaa kwa muda mrefu almost masaa mawili sasa ningependa kujua hii ina maana gani, Natanguliza shukrani🙏🏽
Kama hujawahi kufika UDOM unaweza kunibishia,ila kana umefika utakubaliana bsni kuwa Udom peke yake inazidi CBD za mikoa mingi kwa majengo na mzunguko wa hela pamoja na miundombinu.
Hivi kweli...
Kesi Maarufu ya Binti wa yombo iliyowakuta na hatia Vijana watano Nyundo na Wenzie inatarajiwa kuanzia kusikilizwa siku ya kesho katika kituo jumuishi cha kutoa haki jijini Dododma
Nyundo na...
Viongozi wa Dini ya kiislamu, je ? Ala na mtume Mohamad aliwafundisha kufumbia macho utekaji, uonevu, upotezaji na uuaji wa watu? Dini yenu inabariki haya mambo ya hovyo na kuyaona baraka kwa kuwa...
Hesabu ya Jumla ya Usajili kutoka T100AAA hadi T999EKZ
Tutahesabu jumla ya magari yaliyoandikishwa kutoka T100AAA hadi T999EKZ kwa kuchanganua mfuatano wa herufi na namba.
Hatua ya 1: Kuamua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.