Binafsi naona kuna kila dalili ya waumini wa Gwajima kuendeleza mapambano kwa kufunga barabara zaidi, hasa zile za muhimu za rushhour ya kuelekea mjini.., panaweza pakatokea unprecedented chaos...
Unaenda mwezi wa pili huu wanafunzi ambao wanawaita wanufaika wa HESLB hawajaingiziwa accommodion and meals fund,na isitoshe 90% ya hao walipewa 10 to 40% kwa ajili ya tuition fees hivyo...
Kiongozi wa kidini anawaumini wa vyama vyote hivyo ili awahudumie inabidi awe nyutro.
NI hayo tu. Suala la CCM kuruhusu wachungaji ( mashehe sijaona) KUWA wanachama wake na kuwapa uongozi wa...
Ninapinga kwa nguvu zote hatua zote walizochukua Askari polisi na watu walioko Nyuma ya Tukio la kuvamia na kumzunguka Gwajima.
Polisi wakivalishwa nguo wanajisahau kuwa kazi ya Upolisi ndio...
Habari Tanzania !.
Naomba kupendekeza wazo la kodi hasa toka chanzo kipya " KUSANYIKO LA WATU".
Pawepo na utaratibu wa kutoza Kodi sehemu ambapo mtu au watu au taasisi wanaotaka kunufaika na...
Kwa haya yanaondelea hakuna mskitini wala kanisani mkasema kutakuwa na usalama na sehemu ambazo zitakuwa zinawindwa na kuwekewa maaskari ni zile nyumba za ibada ambazo zinaeleza mwenendo wa nchi...
Wanawake wengi sasa wana nafasi sawa kwenye elimu, ajira, siasa na fursa mbalimbali kama ilivyo kwa wanaume, Hakuna haja ya kuendeleza kampeni zilezile kwa wanawake.
Tunashangaa hadi leo kuona...
Kati ya Kipindi cha Mwezi Julai 2024 hadi Machi 2025, Serikali imetoa misahama ya matibabu ya afya yenye thamani ya Shilingi 34,720,233,085.28 kwa wagonjwa 268,224 wasio na uwezo wa kumudu gharama...
Baada ya Mbunge wa Chama tawala nchini Tanzania ambaye pia ni Askofu kuitaka serikali kukomesha mambo ya utekaji na mauaji nchini Tanzania na kutishia kuwataja watekaji hao, Serikali ilijibu kwa...
Juu kumejaa harufu ya uozo,
Viti vya fahari vimevamiwa na wezi,
Mikono michafu inachora sera,
Kisha wanadai tusiwe na lawama.
Wanasema tusubiri neema itoke,
Lakini miguu yao iko juu ya vichwa...
Katika maisha, watu watakuwa na kitu cha kusema kila wakati. Ikiwa unasimama imara au unainama, mtu mahali fulani bado atazungumza. Kwa hivyo chaguo ni lako. Je, utakuwa punda mkimya kila mtu...
Habari,
Baada ya Mzalendo John Pombe Magufuli kuchukua madaraka alijitahidi kuboresha huduma za maji Kwa maeneo ya Ilala ilikuwa ni nadra sana maji kukatika, lakini Cha ajabu na masikitiko...
Sisi ni wanafunzi wa mwaka wa tatu wa Shahada ya Sayansi ya Data kutoka Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika. Tunaomba msaada wa haraka kuhusu changamoto kubwa ya fedha zilizokwisha lipwa na bado...
Katika maisha haya ya dunia, kila binadamu anakutana na mitihani. Iwe tajiri au masikini, mwanamume au mwanamke, kijana au mzee — kila mmoja amebeba msalaba wake. Na mitihani hii haiji kwa bahati...
Mbunge wa Viti Maalumu, Thea Medard Ntara amesema Serikali inatakiwa kuelekeza nguvu katika kudhibiti matumizi ya Dawa za P2 kwa maelezo kuwa zimekuwa na athari kubwa katika kizazi cha Wanaotumia...
Pale makoroboi stand ya dalala, kuna tuta(bump) kubwa, baada ya tuta hilo kuna mashimo makubwa sana katikati ya barabara.
Cha ajabu kwenye tuta hilo na chini ya tuta hilo utakuta zimepaki dalala...
Imagine unatakiwa kwenda kuwatawanya watu wasikusanyike kwenye Kanisa la ufufuo na uzima wakati na wewe ni muumini wa hapo hapo. Pole sana kaka yangu, nilikuambia twende ualimu ukakataa. Ona sasa!
Kila kijana sasa amekuwa comedian.
Ukifuatilia vizuri sio kwamba ni watu wenye furaha au hata kujikimu sana basi tu wanafanya hivi ili wafariji nafsi zao kwa kujiconnect na watu na kutengeneza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.