Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary S. Senyamule (kati) akipokea mitungi ya gesi ya kupikia kutoka kwa Jeffrey Nasser, Mkuu wa Kitengo cha Mauzo Nishati Safi kutoka Puma Energy Tanzania, kama...
0 Reactions
1 Replies
276 Views
Am urgently in need of psychologist. My mental health is deteriorating in tremendous speed,save this boy 💔🙏
11 Reactions
84 Replies
3K Views
Siku ya Baiskeli Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 3 Juni. Siku hii ilianzishwa rasmi na Umoja wa Mataifa mwaka 2018, kwa kutambua umuhimu wa baiskeli kama chombo cha usafiri, burudani, na...
1 Reactions
4 Replies
730 Views
Hukumu ya Yohana mbatizaji iliboreshwa kutoka kufungwa na hatimaye kukatwa kichwa. Turudi kwenye maandiko;(Mathayo 14:3-) Yohana mbatizaji alifungwa kwa sababu ya kumkemea Herode(mfalme) kwa kuoa...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Nina miaka miwili kwenye hii nyumba lakini leo nimelipia tena kodi kama kawaida lakini mkata ulipokuja naona umeongezwa kipengele ambacho naona hakiko sawa mwenye nyumba ananiambia nisheria mpya...
4 Reactions
61 Replies
3K Views
TAARIFA KWA UMMA UHIFADHI WA TAARIFA ZA WATEJA NA MAKATIZO YA UMEME Jumanne, 03 Juni, 2025 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kuwahakikishia wananchi na wateja wake kwa ujumla kuwa...
0 Reactions
9 Replies
934 Views
Kila mwaka huwa tunashudia mamia ya watoto wanaoshindana kwa kuhifadhi kitabu kitakatifu cha Quran.Hufanyika ngazi ya misikiti mpaka kimataifa kwenye viwanja vikubwa vya kitaifa, Wako kama mimi...
5 Reactions
76 Replies
3K Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Wimbo huimbwao na Wabunge UBETI 🎼 🎶Mama hatukudai Mama huna deni Mama Mitano tena Shule ya Mama Vyoo vya Mama Maji ya mama Bodaboda wa Mama Ndizi za...
4 Reactions
17 Replies
684 Views
Wanafunzi na wakufunzi toka vyuo vikuu nchini Tanzania wameibuka washindi wakuu katika mashindano ya Masuala ya Teknolojia ya Huawei ICT ya mwaka 2024 - 2025 wakiwashinda washiriki wengine zaidi...
1 Reactions
12 Replies
607 Views
Walikuwepo watu wengi, wengine wazungu, wengine waafrika. Nilikuwa nafanya discussion na mwanamke mmoja wa Kizungu. Tulikuwa tunaongea lakini yeye alikuwa mbali kidogo, anaongea sisikii vizuri...
3 Reactions
13 Replies
689 Views
Tumewaona wanyama na binadamu wengi wakizeeka na kufa lakini sio nyoka.. Ni ngumu sana sana kukutana na nyoka mzee.Siri ni moja tu. Nyoka wana hulka ya kujivua gamba (ngozi ya zamani) pale...
14 Reactions
41 Replies
2K Views
Katika Maendeleo ya Teknolojia Kampuni ya Kubwa ulimwenguni Nike imefanikiwa kuzindua muundo mpya wa viatu vya soka kwa kuweza kutoa buti za mpira aina ya hypervenom hydra zikiwa na uwezo wa...
0 Reactions
1 Replies
304 Views
Inashangaza vikampuni ushuzi vya mabasi vimejaa shekilango. Kila baada ya miezi 6 ukirudi unakuta kishafungwa. Unganisheni Nguvu Undeni kampuni kubwa ya Mabasi yenye tija na weledi (...
1 Reactions
27 Replies
1K Views
Habari za wakati huku wanajamvi wa jamii forum. Natumai mu wazima wa AFYA teletele. Napenda kutumia fursa hii kuwasilisha dukuduku langu kuhusu masuala ya USAJILI wa huduma mbalimbali katika...
0 Reactions
0 Replies
361 Views
Mambo vipi wana JF. Matumaini yangu wote mko poa, Uzi huu ni kwaajili ya watu wote, lengo ni kutiana moyo,kufarijiana,kusapotiana na kuleta maneno ya hekima, yenye misemo na methali mbalimbali...
1 Reactions
3 Replies
422 Views
Baada ya kupitia salary scale za majeshi yaliyo Wizara ya mambo ya ndani nimeshtushwa na mshahara anaopokea askari Magereza mwenye degree, diploma na certificate ambapo hulipwa basic salary ya Tsh...
15 Reactions
144 Replies
41K Views
Raia wa Uganda wana wastani mzuri zaidi wa kuishi kuliko majirani zao wengine wa Afrika Mashariki, kulingana na takwimu za hivi karibuni zilizotolewa na Worldometer. Utafiti huo umezingatia...
0 Reactions
6 Replies
477 Views
Gwajima ameshea link ya mahubiri yake yanayoendelea kufanyika leo jioni licha ya serikali kufungia kanisa lake. Mahubiri hayo yamerushwa LIVE kupitia link hapo chini Jioni hii baada ya Mamlaka...
5 Reactions
68 Replies
5K Views
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika hoja kuwa Baadhi ya Shule za Msingi Wilaya Missenyi-Kagera, Walimu wanawaagiza Wanafunzi vyuma chakavu kwa manufaa yao binafsi Mamlaka ya Wilaya...
0 Reactions
2 Replies
837 Views
Ni dhahiri kabisa ccm watu hawapendi hata kidogo kabisa wiki iliyopita nilikuwa geita basi nilikuwa nikifika kijiweni natupia tu Ccm Haina mashiko/ushawishi kabisa Kwa Sasa halafu natulia...
3 Reactions
2 Replies
373 Views
Back
Top Bottom