Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mit 30:26 SUV [26] Wibari ni watu dhaifu; Lakini hujifanyia nyumba katika miamba. Wimbari ni viumbe ambavyo ni wadogo na dhaifu, hali yao haijawazuia kufanya kile kitakuwa usalama kwao...
0 Reactions
0 Replies
206 Views
WITO KWA VIONGOZI: JIFUNZENI KUZUNGUMZA BILA KUTEGEMEA MAANDISHI Ni jambo la kusikitisha kuona baadhi ya viongozi wakishindwa kabisa kuwasiliana kwa ufasaha mbele ya umma bila kutegemea karatasi...
1 Reactions
1 Replies
330 Views
Napenda kusema kwa sauti ya ndani: Ninasubiri kwa hamu siku baada ya tarehe 8 Juni. Kwa ajili ya kumalizika kwa mfungo wa maombi ya siku 7 yaliyoitishwa na Askofu Josephat Gwajima. Siku ya...
1 Reactions
3 Replies
516 Views
Leo Ijumaa ya Tarehe 8 April, ni siku yangu ya kuzaliwa, nikiwa nimeipiga mingi nikikaribia 60! ambao ndio umri rasmi wa kustaafu, nikiwa tayari ni father of 8 +1= 9, Grand Pa of 6, and about to...
120 Reactions
243 Replies
23K Views
Binafsi nimekuwa na kulelewa na baba kwani mama yangu alifariki nikiwa nipo mdogo, nilipofika darasa la 6 baba alipata mwanamke wa kuishi nae, huyu nilitambulishwa kuwa atakuwa akiishi nasi. Huyu...
17 Reactions
167 Replies
5K Views
MHESHIMIWA WAZIRI WA MAJI, HABARINI ZA UZIMA. Pole sana na kazi zenu nyingi za kuhudumia wananchi. Napenda kukuletea kilio cha wakazi wa maeneo ya Kawe, Mbezi Beach na Makazi Mapya, ambao kwa...
0 Reactions
0 Replies
277 Views
Habari wanaJF? Nimekuwa nikipokea meseji (sms) nyingi sana za Vikampuni vya mikopo mara kwa mara. Yaani kwa siku unaweza kutuniwa msg tatu mpaka tano. Nimewasiliana na hizi Microfinance kwa namba...
3 Reactions
11 Replies
644 Views
"Nataka niongee na serikali, isitufungiefungie makanisa, mbona katoliki hawafungagi jamani. Mnatuzalilisha mbona hamfungi katoliki. Tumesikia juzi katoliki wametoa waraka mzito wameamuru...
30 Reactions
64 Replies
4K Views
Askari waliovalia sare za Polisi bado wameendelea kulizingira Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima ikiwa ni baada ya taarifa ya kufungiwa kwa kanisa hilo. Ikiwa leo...
1 Reactions
7 Replies
776 Views
DeletedMember281674
Natumaini wote ni wazima, Naomba kumfahamu kuhusu huyu Mtanzania mwenzetu anayeitwa JOHN MWAKANGALE hadi akapewa heshima na wakazi wa Mkoa wa Mbeya hususani Jiji la Mbeya viwanja vya Nane Nane...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Eti wakuu nimejaribu tu kuwaza. Kwani bi mkubwa akiamua tu kutokugombea na kurudi kwao kizimkazi kupumzika kwani arapungukiwa na nini maana hatuna deni nae. Chini ya uongozi wake kila kitu...
18 Reactions
63 Replies
2K Views
Kitu kinaitwa Salaried Workers Loan (SWL) ndio chanzo cha mateso ya wafanyakazi maana wengi wanakopa kwa kufuata mkumbo. Ukipata nafasi ya kuongea na maafisa mikopo wa benki na namna...
4 Reactions
7 Replies
561 Views
Kuna mambo ya kitoto sana ndani ya utawala wa CCM. Bado wanasiasa zile za maisha ya ujamaa miaka ya nyerere. Mikutano yao uwezi kusikia wanajidili mustakabali wa taifa wala maono wao kutwa nzima...
5 Reactions
19 Replies
568 Views
Dar nilipaona pazuri sana. Ila baada ya kuhamia huku mkoani aisee nimetokea kupachukia sana dar. Dar unakuwa na hela ila matumizi mengi na ya ajabu. Vurugu nyingi. Mfano mimi kulala dar ilikuwa...
38 Reactions
79 Replies
4K Views
Nchi ya Israel inasifika kwa kuwa na Teknolojia ya hali ya juu kabisa, Pegasus spyware ni app za kijasusi zilizoundwa na Israel na Kampuni ya NSO Group ya Cyber Arms imeundwa maalum kwa ajili ya...
0 Reactions
4 Replies
404 Views
Waziri Kombo akutana na benchi la ufundi la MKICC Mapema leo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amekutana na benchi la ufundi (technical team)...
0 Reactions
0 Replies
647 Views
Wadau hamjamboni nyote? Ushahidi huu adhabu kwa dhambi nyingine:. ::: 19 Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi, Wagalatia 5:19 20 ibada ya sanamu...
0 Reactions
0 Replies
279 Views
Chad, imetangaza kusitisha utoaji wa visa kwa raia wa Marekani kama hatua ya kulipiza kisasi, baada ya kugundua kuwa imewekwa kwenye orodha ya mataifa 12 ambayo raia wake wamepigwa marufuku...
1 Reactions
3 Replies
522 Views
Napata masikitiko makubwa moyoni ninapoona baadhi ya watu katika forum hii wakijitambulisha kwa majina ya kishetani au yanayohusiana na uchawi. Nauliza kwa unyenyekevu lakini kwa uchungu wa...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Habarini wanajukwaa. Najua mpo salama mmepumzika na familia weekend tulivu kabisa, changamoto za hapa na pale ni kawaida na sitaki kuzijua. Basi bwana siku ya leo nimeona niwape kisa cha ukweli...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom