Eti wakuu nimejaribu tu kuwaza. Kwani bi mkubwa akiamua tu kutokugombea na kurudi kwao kizimkazi kupumzika kwani arapungukiwa na nini maana hatuna deni nae. Chini ya uongozi wake kila kitu kinakwenda halijojo, utekaji, ubabe uhamishaji masai NGORONGORO, kubinafsisha rasilimali za nchi kama bandai n.k. Binafsi natamani itokee miujiza aahirishe kugombea mhula mwingine kidogo tupumue na hili deni la trillion 97 si tumelikubali na tutajichanga na huyo rais ajaye tulilipe ila kwa sasa inatosha mama aende, tafadhali mama tunaomba uende ulipotufikisha panatosha mwache mwingine achukue usukani