Habari zenu, nakuja tena wataalam mnaoweza kunisaidia, sitaki kuwachosha sana, kama kichwa cha habari, nimekuwa nikiota tena sana lakini nikiamka sikumbuki hata kitu kimoja nilichoota nimefuatilia...
MAHAKAMA ya Rufani nchini, leo Tarehe 4 June 2025, imetupilia mbali maombi ya rufani namba 658 ya 2023 yaliofunguliwa na kampuni ya Mwananchi Communication na Mhariri wa Gazeti la The Citizen...
Ndiyo, katika Qur’an kuna ushahidi kuwa majini walivutiwa sana na Uislamu, wakasikiliza Qur’an na hata wakaamini. Hili linatajwa kwa uwazi katika Surah Al-Jinn (Surah ya 72), ambako majini wenyewe...
Uzalendo kwanza.
Kichwa cha habari kinahusika, miaka ya nyuma mtu ulikuwa ukifeli au kupata ufaulu hafifu unaambiwa hata ualimu umeshindwa? Lakini kwa miaka ya hivi karibuni naona trend imehamia...
Mtandaoni mtu anavyopost jambo lake anachukulia positive lakini kimsingi inakuwa ni negative kwa wengine,mtu anaweza kupost anadrive na kamziki kidogo au Vyakula kwa mbali lakini tunajua fika...
Wakuu Habari yenu?
Hapa Nina Uzi Wenye swali moja tu lakizushi.Hivi kwanini vijana wengi WA kizazi Cha sasa(2000+) wanafake sana maisha ? .
Hasa kwenye social medias. zipi ni sababu kuu za hii...
Ukipita huku na kule utaona vibao vimeandikwa: Kanisa la Anglikana, Kanisa Katoliki, Kanisa la Baptist, Kanisa la EAGT, Kanisa la Pentekoste, Kanisa la SDA n.k. Je, hiyo ndiyo maana halisi ya neno...
Mbunge wa Sumve, Kasalali Mageni, ameibua hoja kuhusu ongezeko la wafanyabiashara kutoka mataifa ya Asia, hususan China, akisema kuwa pamoja na wingi wao, wamekuwa na tabia ya kukwepa kodi...
Wadau wa Jamiiforums habari yenu!
Natumai wote mpo salama, na kwa wale ambao mishahara imechelewa, poleni lakini bado mna jukumu la kuwa wanaume wa shoka! Leo nimekuja na mada nzuri kdg ya maisha...
Katika maisha yapo mengi ya kujifunza kila uchao. Ni ijumaa moja napata rafiki kupitia instagram ambae ni rafiki wa rafiki yangu mkubwa na kwa kuona kwamba mimi ni rafiki wa rafiki yake pia anakua...
NINI KILIKU- DISAPPOINT ULIPOFIKA DSM KWA MARA YA KWANZA?
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli
Huenda uligugumia kimoyomoyo na hukumwambia yeyote. Ulijakaza kisabuni ili mwenyeji wako asigundue...
Inaelezwa kwamba polisi walishindwa kumpata Gwajima ilhali walikuwa wamemzunguka. Maswali yanayoibuka ni je, aliwezaje kuwatoroka.
https://youtu.be/yQ2zT0LD5qg?si=Brdvz6bRNVe6d2_e
TANGAZO...
Idi Amini alishawai kudanganywa na askari wa mpaka uganda na Tanzania kuwa askari wake kawapiga askari wa Tanzania.
Walifanya sherehe na kumpa vyeo.
Kuna siku alidanganywa kuwa wanaweza kufika...
Ugonile,
Mitandao ya kijamii imekuwa ni chanzo kikubwa kwa watu wengi kutokuwa na utulivu wa akili. Nadhani hii hali inawakuta watu wengi katika maisha yao ya kila siku katika ulimwengu wa sasa...
Kwa mujibu wa wanasayansi dunia toka kuumbwa kwake hadi sasa ni takribani miaka billion 4.5 iliyopita,(huo ndo umri halisi wa dunia).
Mwaka 1935 ndani ya mamlaka ya hifadhi ya...
1.Sadaka ya fungu la 10
2. Kusaidia wahitaji mfano yatima na wajane
3.Wazazi au walezi wako
4.Ujenzi au kuchangia kazi za Mungu mfano ujenzi wa nyumba za ibada.
Hii ndo njia halali ya kutoboa...
Mfanyabiashara aliyetajwa kwa jina moja la Bahati anadaiwa kukimbia kitaani kwake Kimara Temboni, Dar kufuatia tuhuma nzito za kuwarubuni kimazingara vijana na kuwalawiti.
Kwa mujibu wa chanzo...
Mfumo Nest ni mzuri sana sababu tenda zinakuwa wazi na nyaraka za tenda zinakuwa nazo wazi.
Ila gharama za ku apply tenda ndio zinaumiza sababu wazabuni wanakuwa wengi na hukikosa pesa imekwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.