Wakuu,
Tumesikia na tunaendelea kusikia story nyingi vituko na mikasa inayosimuliwa na watu wanaokuwa wamefika Dar kwa mara ya kwanza, jinsi jiji lilivyowakaribisha na kupata ile maana halisi ya...
Naam...
Kiongozi wao wa kidini anamtumikia shetani, wasimuingize kiongozi wetu wa kisiasa hapa ndg zangu.
Nje ya box.
Kuna kauli inatapanywa nchi nzima No Reform No Election.
Naqnaza kuamini...
Kwanza kabisa nisema Tanzania tuna jiji moja tu DSM, hayo majiji mengine ni basi tu yemepewahadhi hakukuwa na namna ila kwa uhalisia ni miji inayokuwa.
Ni jiji linalokulazimisha kuwa na kasi...
Muda uliamua historia kubwa na nzito duniani, muda uliamua kukatisha maisha ya majenelari walioogopwa katika historia ya dunia,muda uliwakatisha uhai wakaishia ahera,muda huinua dhaifu na kuwa...
Wazoefu wa hii miji/maeneo.
Je, ni wapi kunamfaa kuishi mtu mwenye maisha ya kati/chini - kati ya...
A. DAR ES SALAAM,
B. KIBAHA
C. MLANDIZI
D. BAGAMOYO.
Right Marker
Dar es salaam.
Ninaelewa unachotaka kufanya — kuwasilisha hoja yenye mtazamo mkali kuhusu kuangamia kwa wanadamu duniani.
Kutamani kufutika kwa wanadamu au kuangamia kwa dunia kunaweza kuashiria maumivu ya...
Wadau, tusaidiane.
Tafadhali tuambie hapo chini kosa lako kubwa ulilowahi kufanya maishani ambalo hutaki hata rafiki yako alirudie.
Tupo hapa kujifunza kupitia makosa ya wenzetu, si kuhukumu...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na maafisa wa kampuni ya mawasiliano ya Halotel linawashikilia watuhumiwa wawili, Adam Seleman Mwakitusya [48] dalali wa kusafirisha mizigo, mkazi wa...
Wakuu,
Kumekuwa na maombi kadha wa kadha ya watu kutaka kuwa verified.
Tumeona vema tuweke urahisi wa mtu kuomba kuwa verified badala ya utaratibu wa awali. Kuwa verified kwako ni kwa hiari...
Mwaka 1976, mvulana mmoja mdogo aliingia katika mkutano wa siri wa harakati za Black Consciousness Movement (BCM) huko Afrika Kusini. Alikuwa na mashaka na hofu kubwa. Akiwa amelelewa kuamini kuwa...
Tuchukulie mfano wa shuka. Uzi uliotumika kushona shuka ni 1 dimension. Ukiurefusha unaweza kufika mamia ya mita kwa urefu. hata mwisho wake unaweza usiuone.
Shuka lililoshonwa ni 2 Dimension...
Mods Uzi huu usiunganishwe popote unajitegemea.
Kitabu Cha mwanzo sura ya 40 ndo mwanzo halisi wa Wana wa Israel kuingia misri na kuwa watumwa rasmi
Kitabu Cha kutoka sura ya 3 Mungu...
Tulipo si pazuri sana, tunahitaji ukombozi wa kweli wa Nchi hii. Ili kufanikisha ukombozi huo, naomba kumwalika kila kila Mtanzania kwa nafasi yake afanye kila linalowezekana kufanikisha ukombozi...
Mjadala mkubwa kwa sasa ni habari zinazowahusu Boniface Mwangi kutoka Kenya na Agather Atuhaire kutoka Uganda walipokuwa Tanzania.
Wakati serikali ilikanusha madai ya ukiukwaji wa haki zao...
Baada ya taarifa kuibuka mitandaoni na kusambaa kwa kasi zikimhusisha mchekeshaji Hakika Reuben kuwa anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja, kuna mengi kadhaa yameendelea kuzungumzwa na kuacha...
SHEREHE ZA UZINDUZI WA SEKONDARI MPYA MUSOMA VIJIJINI
Serikali imetoa fedha nyingi kwa ajili ya ujenzi wa sekondari mpya nne Jimboni mwetu. Wanavijiji na Viongozi wao, kwa njia mbalimbali...
Mit 30:26 SUV
[26] Wibari ni watu dhaifu; Lakini hujifanyia nyumba katika miamba.
Wimbari ni viumbe ambavyo ni wadogo na dhaifu, hali yao haijawazuia kufanya kile kitakuwa usalama kwao...
WITO KWA VIONGOZI: JIFUNZENI KUZUNGUMZA BILA KUTEGEMEA MAANDISHI
Ni jambo la kusikitisha kuona baadhi ya viongozi wakishindwa kabisa kuwasiliana kwa ufasaha mbele ya umma bila kutegemea karatasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.