Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Unaweza kukuta Gwaj boy yupo hapo hapo ubungo lakini watafutaji wanazunguka Yericko Yuda Iskarioti akawaambia Askari ‘ nitakayembusu huyo ndiye mkamateni’ Kwani maaskari walikuwa hawamjui Yesu...
2 Reactions
0 Replies
142 Views
Ushauri wangu ni kwamba nchi yetu haina special person(specialized) wengi katika taaluma tofauti mfano Siasa ila ina mashabiki wengi baadhi yao wapenda udaku,mipira na wengine wapenda umbeya wa...
2 Reactions
1 Replies
265 Views
Kuna kukithiri kwa ukwapuaji wa simu na mikoba hasa kwa wanawake na wadada kwa ujumla ndani ya jiji la Mbeya. Mama mmoja katika eneo la Sae siku ya Jumapili anatoka getini kwake na kuingia...
4 Reactions
7 Replies
471 Views
Kwa mfano, Mtu mmoja tu mwenye mamlaka akiamua amuue mtu fulani kwakua anamkera, kisha muuaji huyo akakoswa kuingia katika mikono ya sheria ya hapa duniani, na akaamua kuomba toba (kwa mujibu wa...
0 Reactions
2 Replies
312 Views
Wakuu Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Dkt. Juma Zuberi Homera amemwagiza Mkuu wa Wilaya ya Mbarali kumweka Ndani Saa 48 Mkandarasi anayejenga daraja la Mto Ruaha mkabala na Itipingi-Mkandami endapo...
1 Reactions
3 Replies
401 Views
Magari matatu yamegongana kwenye flyover ya Ubungo muda mfupi uliopita, na kusababisha taharuki kwa watumiaji wa barabara hiyo. Hadi sasa, hakuna taarifa za kifo zilizoripotiwa, ingawa uharibifu...
1 Reactions
3 Replies
470 Views
Le super brand Afrika Mashariki. Nini kimekutokea? Wewe tunayekutegemea kwa habari za hakika. Mbadala wa tbc, leo mitambo yako haina viwango. Satelait zako vipi? Zinahujumiwa? Leo hii kweli...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Wadau hamjambo?. "Nyie Ni Nani?" Ney wa mitego anauliza kupitia wimbo. Ukiusikiliza na kutazama video yake utagundua Kaka Ney ameongea fact katika mitazamo sahihi kabisa. Wimbo "Nyie Ni Nani?" ni...
2 Reactions
1 Replies
532 Views
UKIBISHA HAPA HUTOBOI mkuu 1. Kama uliumiza watu kuna siku utaumizwa, 2. Kama ulisaidia watu kuna siku utasaidiwa 3. Kama ulikdhurumu watoto kwa Mali za wazazi wao wakati ulikua msimamizi wa...
9 Reactions
73 Replies
3K Views
Maisha haya hayana ramani. Hakuna aliyewahi kuyaelewa kwa ukamilifu. Kadri tunavyoishi, ndivyo tunavyogundua kuwa yale tunayoyachukulia kuwa kweli—mara nyingi si kweli kabisa. Ni kana kwamba...
8 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu habari za mda huu Natumaini mpo wazima niliacha pombe mwaka Jana mwezi wa 7 Hadi mwaka huu mwezi wa 4 nimejikuta narudia Tena ulevi nalewa Hadi napoteza simu hii Hali siipendi kabisa...
22 Reactions
201 Replies
8K Views
Habarini, Ni vyema kila rais atokae madarakani aache amelipa madeni yake na pia kuwe na taarifa ya kutaka kukopa na ieleze kwanini serikali inakopa na baadae iseme imeutumiaje huo mkopo. Mawasilisha.
5 Reactions
8 Replies
324 Views
Mtu unakaa unafikiria, unatafakari , unatafuta materials sometimes na picha. Unaanzisha uzi. Comment: 0 Views : 10 plus Ni watu wanakuwa wamepuuzia? Au umeandika upuuzi? Hii inakuwa imekaaje...
4 Reactions
11 Replies
454 Views
Kumekuwa na utitiri wa wafanya biashara wanao agiza bidhaa China kupitia Mitandao ya kijamii au kwa kuwa na ofisi hapa mjini Dar es salaam Hasa Mwasiti na Biashara zake. Watu wengi wamekuwa...
3 Reactions
7 Replies
832 Views
Tupige Vita Roho ya Yezebeli Yezebeli ni Nani Yezebeli alikuwa ni mwanamke mwenye asili ya nchi ya Lebanoni, mahali pajulikanapo kama Sidoni (1Wafalme 16:31), karibu sana na mji wa Tarshishi, ule...
2 Reactions
2 Replies
734 Views
Nikiwa mdogo niliishi mtaa wa Twiga jirani kabisa na mzee Manara, shopping lifanyika Independence avenue Kariakoo yalikuwa makazi ya Waswahili akina Binkleb nk Sijapita Kariakoo kitambo lakini...
9 Reactions
16 Replies
966 Views
Makka "al kahaba" iliyokuwa na vinyago kwa mamia Yerusalemu mji wa mwenda usiku Vatican pamoja na kashfa za ngono Ukitazama mabara yote, ni mabara mawili yenye kuwa na sehemu 'takatifu'...
2 Reactions
4 Replies
386 Views
Kikiwa ndio kitovu kikubwa cha biashara nyingi za nchi kwa mizigo inayotoka nje hasa China.. Kuna wababe na mafioso ndio wamezikamata biashara za huo mji na wengine wote ni wapagazi na wajakazi...
200 Reactions
764 Replies
142K Views
Hali ya sintofahamu imewakumba wananchi wa kijiji cha Ugabwa wilayani Makete mkoani Njombe baada ya njiwa mweupe mwenye madoa meusi na mekundu kukutwa kijijini hapo akiwa na barua inayotamka...
2 Reactions
13 Replies
942 Views
Almost we depend on everything from White Hatujaweza kubaki au kuanzisha mifumo yetu katika nyanja zote Siyo kiimani tu hata kisiasa hatupo huru. We are pure socialism lakini imebakia nadharia na...
1 Reactions
6 Replies
292 Views
Back
Top Bottom