Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ili jambo naomba kuuliza maana siku hizi unaweza kujaza maneno ukaishia kufutwa uzi. Mfano huu na bado mnaweka mada kudai kama uzushi
0 Reactions
0 Replies
203 Views
Picha hii ni ya aliyewahi kuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Hayati Dkt John Pombe Magufuli na Mke wake Mama Janeth Magufuli. Vijana wenzangu, maisha ni safari tuamini mchakato...
10 Reactions
23 Replies
1K Views
" Aisee ndugu yangu ukitaka jambo Lako liende wewe nenda kafanyiwe Dua na watoto yatima. Yani majibu ni papo kwa papo. Dua zao Mungu anazipokea hapo hapo " Hayo si maneno yangu, bali ni maneno ya...
11 Reactions
63 Replies
3K Views
Japo wengi wenu hamuamini juu ya Unabii, lakini Unabii ni really na Manabii wa kweli wapo. Sasa kama wewe ni Mchungaji, Padre ama Mwijilisti na huamini kwenye Unabii sio tatizo letu. Mungu...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Enzi hizo Dodoma washua wote wanaishi uzunguni Watoto wa kishua wanasoma stockley Kina sie tunasoma amani, na mlimwa ambazo ndio zilikuwa shule bora mjini Club ilikuwa ni NK pamoja na shilla disco...
14 Reactions
161 Replies
9K Views
🔥 TUKIO: KUZUKA KWA KIONGOZI WA KIROHO ATAKAYEDAI KUWA NA UWEZO WA MIUJIZA YA KUPONYA MAGONJWA HATARI NA KUFUFUA WAFU 🗓 Tarehe inayotabiriwa: Kati ya Septemba 13 na Oktoba 4, 2025 📍 Mahali...
4 Reactions
61 Replies
3K Views
Wananchi wa Kata ya Chomachankola iliyopo wilayani Igunga mkoani Tabora, wamekataa uwekwaji wa mradi wa skimu ya umwagiliaji katika eneo lililotengwa kwa ajili ya mradi, wakidai kuwa eneo hilo...
2 Reactions
9 Replies
508 Views
Sauti Ya Watu – Nay Wa Mitego UTANGULIZI: Hii sio sauti ya kiharakati wala Ukombozi wa musa na fimbo yake Bali haya ni maumivu ya mnyonge Anaye wakilisha walala hoi wenzake Kwenye kinywa...
0 Reactions
0 Replies
240 Views
Tunaishi katika dunia ambayo inatufundisha kupambana kila siku. Tunapambana na hali ngumu, tunapambana na mawazo, tunapambana na watu, na hata na nafsi zetu. Tunaambiwa: "Usikubali kushindwa."...
5 Reactions
3 Replies
327 Views
Habari mbaya za kusikitisha zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa mama wa msanii Hawa Hussen almaarufu Carina, Fatma Maruzuku amefariki dunia. Mama Carina amefariki leo baada ya mwanae kufariki...
12 Reactions
37 Replies
3K Views
Mwaka 2014. Ulikuwa mwaka WA kumaliza chuo kikuu Moshi... Nilianza first year Na GPA 3.8 kufika mwaka WA pili ilishuka had 2.9. Na kuanzia kulemewa Na masomo Na kuchukiwa Na ma lecture KWENYE kila...
17 Reactions
60 Replies
4K Views
Haya ni baadhi ya majina ya malaika pamoja na kazi zao kulingana na imani mbalimbali za kiroho (hasa Kabbalah, Ukristo, Uislamu, na Gnosis). Majina haya yanaweza kutumika katika sala, tafakari, au...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
BILIONI 19.601 KUTEKELEZA UJENZI KITUO KIKUU CHA MABASI GEITA MJINI Jumla ya Shilingi Bilioni 19,171, 601, 509. 00 zinatarajiwa kutumika katika ujenzi wa Kituo Kikuu cha Mabasi cha Geita Mjini...
1 Reactions
3 Replies
389 Views
Nikiwa Rais makampuni ya wahandisi wazawa watawezeshwa, na kutatengwa fedha kwa ajili ya kuwawezesha wahandishi wazawa waweze Kununua vifaa sababu wengi vifaa ni changamoto Wapewe training ya...
2 Reactions
9 Replies
476 Views
SoMo hapo juu husika. Kuna hizi kada 1. Ualimu prim and secondary 2. Nurse and or Dr medicine 3. Police or Jw ? Msaada kwa wale waliostaafu? Tupeni experience. Ni kada gani unastaafu ukiwa na...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Asubuhi ya leo, umepatikana mwili wa mtu ambaye hajatambulika kutokana na mwili kuharibika vibaya baada ya kuuawa kisha kutupwa vichakani kwenye eneo la makaburi ya Kola - Morogoro mjini.
4 Reactions
10 Replies
815 Views
Nilirudia mara tatu kumsikilisha sasa sijui anatemebelea kabla au baada ya matukio. Kuna hoja moja ameiongelea kwamba aliyewalrta atamalizam hapa ni ishara ya kiwakisanya na kuondoa ushahidi...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Kuna taarifa hapa nimeiona TBC... kama wanavyoiita wAo Aridhio. Kuna dogo anagombea nafasi ya CWT. Yani sielewi, wamemkuta wapi!? Wamemhoji nini!? Wanataka nini kwake !? Ili iwe nini!? Lakini...
1 Reactions
0 Replies
226 Views
Mbunge Nusrat Hanje amesimama bungeni na kuhoju kuhusu upotevu wa fedha kwenye makusanyo ya Serikali kama unavyoripotiwa mara kwa mara kwenye ripoti ya mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali...
2 Reactions
6 Replies
474 Views
Kuna mwamba yeye alikua anakunywa pombe anavuta na sigara. Kulingana na yeye sigara ina stim sana ukiikosa unaweza ukaenda kuitafuta hata usiku wa manane, Sasa siku moja ilikua ni usiku sana...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Back
Top Bottom