Katika kuvutia watalii na wawekezaji, inafaa sasa tupate Zanzibar Airlines kama zilivyo Air Mauritius, Tahiti NUI Air na Fiji Airlines (Mauritius, Tahiti na Fiji ni visiwa kama kilivyo Zanzibar...
Mkuu wa mkoa Mororgoro Adam Malima amedhiinisha kuwepo upungufu wa waalimu 800 na watumkishi zaidi ya 500 sekta ya Afya, amesema hayo katika baraza Maalum la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya...
Hii ni sehemu sahihi ya kuwekeza, au ni upigaji mpya.
=================
Ufuatiliaji uliofanywa na JamiiCheck kwa kutumia utafutaji wa maneno muhimu (Key word search) umejiridhisha kuwa video...
Kuna wakati maisha hukupitisha katika kiza kinene Jambo kuu na la.msingi unalo paswa kulielewa tambua kuwa hiyo si adhabu, bali ni njia mpya yenye mtizamo wa kukujenga. Unapolia, unatafuta...
Habari, naona moshi mzito kama kule Gaza nikiwa umbali wa kilomita 1 nikapiga simu kuuliza kumbe ni sheli ya hapa dampo inaungua
Kama kuna aliyeko kwenye eneo hilo tunaomba atuhabarishe kwa...
Kuna jambo linawakera Watanzania wengi kuhusu ajira katika balozi zetu nje ya nchi: kwa nini nafasi hizi haziwekwi wazi kwa umma? Serikali yetu ina balozi na ofisi mbalimbali za kidiplomasia kote...
Novemba 18, 2024, Mwanachama wa JamiiForums.com alitoa ushauri kwa Uongozi wa Chuo Kikuu Huria ufanye Ukarabati wa Mazingira ya Chuo hicho, Kampasi ya Singida kwa maelezo kuwa hayaendani na hadhi...
Yaani Cleopa Msuya amekuwa Waziri Mkuu miaka minne na Makamu miaka mitano ndio amekula asilimia 80 ya mshahara wa makamu kwa miaka 30?
Kuna huyo Salim Ahmed Salim ambaye alikuwa Waziri Mkuu kwa...
Serikali kupitia Halmashauri inatoa mikopo kwa ajili ya vikundi vya wajasiriamali na mikopo hiyo haina riba wakati ni kwa ajili ya biashara, maana yake wanufaika wanapata faida, lakini mikopo...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Nawalaumu sana wazazi wangu na Mimi mwenyewe kutozaliwa/kuzaa nje ya Tanzania!
Sababu ya kwanza ni kwamba,hivi mzee wangu kweli alishindwa kupiga Swaga...
Sasa hivi ni msimu wa mapera. Kula mapera manne angalau kila siku. Halafu njoo hapa utoe ushuhuda.
Facts:
1. Vitamin C – Husaidia kuongeza uzalishaji wa shahawa na kuzuia uharibifu wa seli kwa...
Mtu anapevuka na KUWA na uwezo wa kuzalisha au kuzalishwa mtoto siku hiyo huyo mtu amekuwa mtu mzima.
Yaani mtu anaanza kuhesabika ni mtu nzima (adult) akimaliza Darasa la Saba.
Umri wa miaka ya...
"A ruler with no understanding will oppress his people, but one who hates corruption will have a long life" (Proverbs 28:16)
Kwa Kiswahili: MTAWALA ASIYE NA AKILI HUTESA WATU WAKE, LAKINI...
Taifa lipo confused.
Nimegundua hata machawa wenyewe hajaonganika damu kwa damu na maboss wao na itikadi zao.
The fact is, jamii yetu imeamua ku-embrace uchawa kwa namna ya kupata urahisi, hata...
Asalamaleku wakuu!
Wakuu naombeni mnipe ushauri Kwa hili lililonitokea maana yaonekana nimejichanganya na masikitiko pamoja na majuto yamenijaa hadi pomoni.
Kama mnavyojua sasa hivi Kuna...
MARIA SARUNGI: HII NI PROPAGANDA YA KITOTO, TANZANIA HAIJAANZISHA JESHI LA SIRI LA KUUA RAIA
Na Nulphin Charles Heche
Kupitia kampeni mpya ya upotoshaji iliyoanza Jumatano hii, Maria Sarungi na...
Jamani ndugu zangu wa Tanga kwani alietuloga nani? fursa tunazisikia ila hata hatushtuki wanakuja walowezi wanajizolea fursa na sisi tupo hapa hapa kweli, zinatangazwa zabuni mpo kimya mnakuja...
Hapo zamani niliwahi kuishi na jirani, Tulikuwa tukiishi kwenye nyumba moja iliyogawanywa sehemu mbili. Alionekana mpole, muelewa, mpenda mazoezi na mtu wa kuaminika. Tulikuwa tukiongea mara kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.