Salaam, Shalom!
Mhubiri anasema, Kila jambo na wakati wake.
1. MWANAKONDOO.
Mfalme aliacha kiti Cha Enzi, akavaa mwili wa Mwanadamu akaonekana maskini, asiye na utukufu kwa kazi maalum ya...
Bila ya kupepesa macho
Serikali haipaswi kufanya biashara ama kupata faida
Japo inaweza ikawa na taasisi zenye malengo ya kibiashara kwenye maeneo mahususi au ikanunua hisa kwenye makampuni kwa...
SUALA zima la kusimamisha sehemu za Siri limekuwa na changamoto nyingi hahahahha
Mume alimwambia mkewe Mwaka huu wote sitosimamisha tafadhali pika Nile nilale usingizi wa pono ila wewe kuwa na...
Matusi yamekua mengi sana mitandaoni na hao wasanii Wajinga Wajinga wanaojiita kioo Cha jamiii
Nimesikitishwa sana na hii video ya gigy money akiwa ndani ya Gari akiimba na Wenzake nyimbo yenye...
NGARA
Leo tarehe 10 Juni 2025 Kamati ya Pamoja ya Wataalamu ya Uimarishaji Mpaka wa Tanzania na Rwanda (JTC) imetembelea eneo la mto Kagera lililopo wilayani Ngara mkoa wa Kagera ikiwa ni sehemu...
Japani ni nchi moja ya aajabu sana na nchi zengine za asia zenye wazee ambao wanapenda kuwa maisha yao ya uzee kuwa nzengo.
Ijalishi alikuwa nani ila ndio wanakuwa mstari wa mbele kutumikia uzee...
Mimi ni Mtumishi X kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama Singida, kumekuwa na tatizo la Maafisa Utumishi na Mkurugenzi kushikilia vibali vya Uhamisho vinavyotoka kwa Katibu Mkuu Utumishi au...
Hata kabla hujafungua kinywa au hata kabla simu yako uliyopiga haijapokelewa, tayari unaonekana unataka kutaja shida usizoweza kuzitatua sababu ya kukosa pesa hivyo unataka kuomba msaada,
Ukiona...
Mahakama ya Wilaya ya Temeke Jijini Dar es salaam imemhukumu ALLY SELEMANI IDDI kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kosa la Kuzini na Maharimu (mtoto wake )
Hukumu hiyo...
Wajuvi habari zenu?
Baada ya kujishauri kwa muda mrefu kuhusu biashara ya kufanya ili walau nipate kipato nimeona suluhisho ni biashara ya stationary.
Na hapa nimeona kuwa wengi huwa wanakuwa na...
Wanasiasa wanachota Mabilioni ambazo ni Kodi za walalahoi (Mazombi) bila huruma. Wanaanzisha biashara kubwa kubwa nchini na ng'ambo. Kwann wasiwepo Forbes list of Billionaires ili tujivunie vya kwetu?
Najua inaumiza sana Mzazi kupokea Taarifa za Binti yake kupata ujauzito ile hali angali mwanafunzi,
Lakini siku zote panapo maamzi ya hasira lazima kuna galama zake pia.
Sheria zipo kwa ajili ya...
Kuna taarifa kwamba kwa mara nyingine tena ajali mbaya imetokea jana mteremko wa Mbalizi, Mbeya, na inasemekana watu 28 wamekufa kwa ajali iliyosababishwa na kugongwa na kukandamzwa na gari kubwa...
Kuna ripoti ya watu mbalimbali kulalamika juu ya ubovu wa pete zilizopo kwenye kamera ya Samsung Galaxy S25 Ultra ambapo zinaanguka zenyewe hazina uimara nini shida.!!
Imepita miezi kadhaa toka...
Ilitokea zamani kidogo ila kovu lipo mpaka leo, ni kipindi nilikuwa na miaka 23 naishi ghetto. Nilikuwa nimetoka banda la mpira kutazama mechi ya Uefa, saa ilikuwa takriban sita usiku. Nilitembea...
Ndugu wanajamii forums habarini za Mchana?
Nashauri/napendekeza kwa Mamlaka zinazohusika (TAMISEMI) kubadilisha WAKUU wa Shule za Serikali kila baada ya muda fulani ikiwezekana iwe kila baada ya...
Na Mwandishi wa Habari Hub
Zanzibar.
Hadi sasa ni nchi 22 tu duniani kote ndio zina mwanamke kama mkuu wan chi kati ya nchi 119, hii inasababishwa na hali ya kijamii kwenye suala la kuchagua na...
Nawasalimu kwa jina la Gwajimanizer, hili la uchangishaji wa fedha kwa wanachi wa kata ya kishili jijini Mwanza ili kuwezeaha kuleta mwenge wa uhuru, ivi serikali sI huwainatenga kiasi kwaajili ya...
Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele?
Apa nilipo debe la mpunga ni 15,000 nataka kujua hutoa kilo ngapi ili nijue gharama ipo wapi, mchele dukani kilo ni 2,400-2,600
Ukitaka kutambua siri iliyojificha ambayo haina ushahidi wa kutosha kwa macho ya nje unahitaji sana kujua ulimwengu wa roho,
Mchawi ni mtu wa kiroho ndio maana anaweza kufanya mambo mengi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.